Nadhani si vizuri na haipendezi

Nadhani si vizuri na haipendezi

Marry Diana

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,418
Reaction score
4,113
Shikamoon wakubwa

Wadogo zangu hamjambo!

Jamani si kila mtu ana njaa,au ana shida,si kila mwanamke anajiuza,kuuza mwili ni Aina na hulka ya mtu tu Marry Mimi siwezi ,napenda kuwa na mwanaume mmoja na kutulia naye, bahati mbaya hawapo pia unaishia kuumizwa na kuchukia mahusiano.

Tuachane na hili ,kuna mtu alinianzishia Uzi siku ya jumapili na kunisema Mimi Nina njaa ,najua huenda ni utani lakini unavyosambaza taarifa za uongo ni kwamba unamchafua muhusika na kuna baadhi hujikuta wanaamini

Uongo husambaa zaidi kuliko ukweli,tuheshimiane.
 
Screenshot_20260425-211738~2.jpg
 
Wanaume hawapo??
Ukiona wote unashindwana nao ujue wewe ndiyo mwenye tatizo.

Mtag huyo aliyekufungulia uzi wa kukusema na huo uzi wake.
 
Back
Top Bottom