Nabii Frank Julius Kiwalah ni nani?

Nabii Frank Julius Kiwalah ni nani?

Mponyanyi ?? Kwani hajui wagonjwa walipo ? Utamuitaje kiwete aliye Mwananyamala aende magengeni akaponywe ? Atawapata hao hao wasio na ufahamu wengi wao wakiwa ni wanawake na wanaume wanaotawaliwa au kukaliwa na wake zao. Apitie Muhimbili Kama nabii kweli. Yule ni mwizi tu Kama yule mlevi kijana wa mipasho mzee wa bapa. Au yule mzinzi mhudumu wa mortuary aliyeharibu ndoa za watu kwa kuwaingilia kimwili wake na watu.
Sasa atawafata wangapi?
 
Pamoja na hao waliopona ukumbuke wapo wengi ambao hawajapona maradhi yao ktk mikutano yake huku mikoani halikua walilipishwa laki kadhaa na kupewa maji tu wakiambiwa watapokea uponyaji.

Unayoyaona kwenye kamera tambua wazi yapo pia yaliyo nyuma ya kamera.
 
Leo wakati nawasha televisheni yangu ghafla nikakutana na kipindi chake cha uponyaji wa maradhi. Nimeona watu wakitoa shuhuda mbalimbali na wengine wakipokea uponyaji mbele ya camera, nikapata shauku ya kumfahamu huyu mtumishi ni nani maana inaonekana huduma zake si mchezo maana watu wanatoa shuhuda kupona maradhi wanayosema kwamba walishindwa kutibiwa hospitalini.
Kuwa makini sana na hao watu...kila kitongoji siku hizi kina nabii na mtume wake lakini wote hao ni feki
 
Ni mpare wa same na ndiko alikozaliwa,kwa kuwa alikuwa yatima alilelewa na marehemu Moses Kulola,alifundishwa huduma na mwalimu CHRISTOPHER MWAKASEGE na baadae akaenda malawi kutumika chini ya NABII BUSHIRI,aliporudi TZ alifungua huduma IRINGA kisha akahamia TANGA ambako yuko hadi sasa.
 
Acha upuuzi huo, hakuna cha kuhukumu hapa. Tumepewa akili tuzitumie. Aende mawodini, Ocean road kuna watu wana cancer aende awaponye tuamini, awaponye watu siyo anadanganya watu mabarabarani, Kuna nyuzi nyingi humu zinamuongelea kama tapeli
Inakuuma Sana bro eeh!
Kunywa maji mengi!
 
Hamuyaamini maandiko? Nanukuu. "Siku za mwisho watawajieni mitume na manabii wa uongo jiazarini nao" unasubiri baragumu ndio Namibia dunia imekwisha? Msiishi kwa miujiza ili muamini ata shetani nae ufanya miujiza
Utamtambuaje Nabii wa uongo?
 
Alhamudulah! Nilitamani sana kuanzisha uzi juu ya huyu jamaa nashukuru mkuu nawe umeliona ila kiufupi jamaa ni tapeli maana anatembea na madkari wake fake akiombea watu wenye ukimwi wakipima madaktari wake fake wanatoa majibu non-reactive(negative) ili wajaze waumini.
Kuna siku mama mmoja akawa anatoa ushuhuda eti alitolewa kizazi ameenda kupimwa akaambiwa ana kizazi am not sure mama amefanyiwa total hesterectomy kesho uniambie uterus imerudi huyu bwana niwakusoka rumande anapotosha uma mpaka watu waliokuwa wanahudhuria clinic nakupatiwa ARVs wanaacha kumeza mwisho afya zinazofika na kupoteza maisha sababu ya huyu mpiga dili na kama kweli tanga kafukuzwa asipokelewe kokote hapa tanzania kwa maana ni muuaji huyu anapotosha uma mwisho auibia uma mchana kweupe.
Hakika bwana ulisema siku za mwisho watu hawa utawakana alihali walitoa mapepo kwa jina lako, naanza kuamini siku za mwisho zinakaribia ee mola tusamehe sisi wakosefu.
 
Huyu hana tofauti na pickpockets!
 
Kuna jamaa hapa amesema mdogo wake amepona kifafa, sasa huo utapeli unaingiaje hapo?
 
kuna mfanyabiara fulani wa mafuta yupo mzambarauni mwenye asili ya kilimanjaro.....nae ni shuhuda eti....akampa hadi eneo maeneo ya pugu kajiungeni.ajenge kanisa na kwa mbele...ambapo anajenga kituo kipya cha mafuta.....
 
Back
Top Bottom