Nabii Frank Julius Kiwalah ni nani?

Mwizi tu, mhuni m1 anayewaibia wananchi mazezeta kwa kupitia maigizo yake hayo. Ni muhuni tu huyo hana Mungu huyo.
 
Don't judge you will be judged..! Huwa sihukumu watumishi wa Mungu maana walishaniponya kutoka kwenye marogo ya dunia na Nina tabia ya kuwa non-judgemental.

Nimeona na bango lake pale Posta kwamba atakuwa na Semina kubwa ya kuvuka Mwaka kuanzia tarehe 27 jijini Dar pale Boko Magengeni..nitahudhuria kusikiliza injili ya bwana.
Eeeeh yani kabisa uache usingizi wako uende ukamsikilize yule muhuni? Unao muda wa kupoteza sana wewe
 
Leo wakati nawasha televisheni yangu ghafla nikakutana na kipindi chake cha uponyaji wa maradhi. Nimeona watu wakitoa shuhuda mbalimbali na wengine wakipokea uponyaji mbele ya camera, nikapata shauku ya kumfahamu huyu mtumishi ni nani maana inaonekana huduma zake si mchezo maana watu wanatoa shuhuda kupona maradhi wanayosema kwamba walishindwa kutibiwa hospitalini.
Unaweza kuulizia Biblia msikitini?
 
Yule jamaa na mm nilimwona leo napata shauku ya kutaka kumjua ni nani hasa,tena background,mungu ananiona
 
Kwa wakristu acheni kuwasemea vibaya watumishi wa Mungu haijalishi anajiita mtumishi wa mungu au anaitwa Mtumishi wa Mungu ila kumsemea vibaya haitakiwi jamani, Actually mambo ya kiroho yanapimwa kiroho sio kimwili kama unadhani upo vizuri kwenye spiritual world wapime na ulete matokeo ila sidhani kama una Holy Spirit anaweza kukuruhusu ulete huo utumbo hapa may be kwa maslahi ya umma ila sidhani.
 
Jamaa ni msanii hatari, yani yeye kuongea na mungu ni kawaida kwake. Juzi kasema mungu kamwambia afanye semina ya siku nne kukaribisha mwaka mpya.

Yaani haihitaji degree kujua jamaa ni mpiga dili ila watu wanamsikiliza na kumuamini sijui wanashida gani huwa sielewi. Nikimkuta channel 10 huwa naangalia nipunguze stress kama futuhi
 
Leo wakati nawasha televisheni yangu ghafla nikakutana na kipindi chake cha uponyaji wa maradhi. Nimeona watu wakitoa shuhuda mbalimbali na wengine wakipokea uponyaji mbele ya camera, nikapata shauku ya kumfahamu huyu mtumishi ni nani maana inaonekana huduma zake si mchezo maana watu wanatoa shuhuda kupona maradhi wanayosema kwamba walishindwa kutibiwa hospitalini.
Angalia asije akasema hutafika mwezi March 2017
 
Mponyanyi ?? Kwani hajui wagonjwa walipo ? Utamuitaje kiwete aliye Mwananyamala aende magengeni akaponywe ? Atawapata hao hao wasio na ufahamu wengi wao wakiwa ni wanawake na wanaume wanaotawaliwa au kukaliwa na wake zao. Apitie Muhimbili Kama nabii kweli. Yule ni mwizi tu Kama yule mlevi kijana wa mipasho mzee wa bapa. Au yule mzinzi mhudumu wa mortuary aliyeharibu ndoa za watu kwa kuwaingilia kimwili wake na watu.
 
Ukishaugua au ukiuguliwa au ukapata matatizo yasiyo na masuluhisho ndio utaamini kuwa wanaponya kwa nguvu za Mungu.Usitukane wakunga wakati uzazi ungalipo.Unajudge kuwa ni tapeli,mpiga dili,haya mambo ni ya kiroho,una proof gani ya kuthibitisha kuwa wanayoyafanya sio nguvu za Mungu?
 
Leo wakati nawasha televisheni yangu ghafla nikakutana na kipindi chake cha uponyaji wa maradhi. Nimeona watu wakitoa shuhuda mbalimbali na wengine wakipokea uponyaji mbele ya camera, nikapata shauku ya kumfahamu huyu mtumishi ni nani maana inaonekana huduma zake si mchezo maana watu wanatoa shuhuda kupona maradhi wanayosema kwamba walishindwa kutibiwa hospitalini.
Wajinga ndio waliwao
 
Back
Top Bottom