Nabii Frank Julius Kiwalah ni nani?

Kwani wanaotapeliwa wote hua wanatoaga wakiwa wamechukia??
Mungu ndio mtoa hukumu!
Kazi ya kuhukumu kwamba huyu ni tapeli au sio hiyo si yako.
Mungu hadhihakiwi, kama wanamdhihaki Mungu watakutana na hasira yake!
 
Mungu ndio mtoa hukumu!
Kazi ya kuhukumu kwamba huyu ni tapeli au sio hiyo si yako.
Mungu hadhihakiwi, kama wanamdhihaki Mungu watakutana na hasira yake!
Kwa hiyo wewe hata akija Mwizi nyumbani kwako akakuibia hautomuita mwizi sababu wewe sio Mungu??
 
Don't judge you will be judged..! Huwa sihukumu watumishi wa Mungu maana walishaniponya kutoka kwenye marogo ya dunia na Nina tabia tu ya kuwa non-judgemental.

Nimeona na bango lake pale Posta kwamba atakuwa na Semina kubwa ya kuvuka Mwaka kuanzia tarehe 27 jijini Dar pale Boko Magengeni..nitahudhuria kusikiliza injili ya bwana.
Zijaribuni kila roho lishikeni lililo jema
 
Ushaambiwa alikuwa na kanisa na akafukuzwa UNACHOHOJI NI KIPI?

huyo ni mpiga dili sababu dili la kwanza lilibuma ila hili la sasa limewateka vizur wakazi wa Dar ambao wasiokuwa na upeo mkubwa
Sio kweli!
Hajafukuzwa!
muwe mnauliza muachane na habar za vijiweni!
lile jengo lina mgogoro....ht halihusiani na ulichoandika!
 
Acha upuuzi huo, hakuna cha kuhukumu hapa. Tumepewa akili tuzitumie. Aende mawodini, Ocean road kuna watu wana cancer aende awaponye tuamini, awaponye watu siyo anadanganya watu mabarabarani, Kuna nyuzi nyingi humu zinamuongelea kama tapeli
Hizo akili ulizopewa ndo umeambiwa uwe una unahukumu?

Biblia imesema"usihukumu usije ukahukumiwa..." Ss sijui unabisha nn

Ss mkuu aende huko akawaponye kwani umesikia wanataka kuponywa?

Biblia inasema..."Yesu aliwaponya waliokuwa na haja ya kuponywa"

Hakuponya kila mtu!
 
Hizo akili ulizopewa ndo umeambiwa uwe una unahukumu?

Biblia imesema"usihukumu usije ukahukumiwa..." Ss sijui unabisha nn

Ss mkuu aende huko akawaponye kwani umesikia wanataka kuponywa?

Biblia inasema..."Yesu aliwaponya waliokuwa na haja ya kuponywa"

Hakuponya kila mtu!
Nonsense!
 
huyu jamaa anaponya 100% naaamini alimponya mdogo wangu alikua na kifafa ila sipendi watu wanavyomuabudu kanisani kwake akiingia wote mnampigia magoti hilo halikunifurahisha ila kwasababu nlikua na shida nlipiga na dogo akapona
Mkuu Mungu ndo alimponya huyo dogo,Frank alitumuwa!

Mungu anamtumia sn tu,hilo halina ubishi,[HASHTAG]#mapungufu[/HASHTAG] yake atajuana na aliyemtuma amtumikie,wengine hayatuhusu!#

Na la kupiga magoti walilielezea sio kumuabudu yy,japo mie pia hiyo ilinishinda!
 
Pamoja na hao waliopona ukumbuke wapo wengi ambao hawajapona maradhi yao ktk mikutano yake huku mikoani halikua walilipishwa laki kadhaa na kupewa maji tu wakiambiwa watapokea uponyaji.

Unayoyaona kwenye kamera tambua wazi yapo pia yaliyo nyuma ya kamera.
Mkuu hilo sio kosa lake ,
Mambo ya imani magumu sn,
Km walienda kwa Mungu km vile wanavyoenda kwa mganga wa kienyeji hawawezi kupona hiyo ni kwa watumishi wote!
 
Ni mpare wa same na ndiko alikozaliwa,kwa kuwa alikuwa yatima alilelewa na marehemu Moses Kulola,alifundishwa huduma na mwalimu CHRISTOPHER MWAKASEGE na baadae akaenda malawi kutumika chini ya NABII BUSHIRI,aliporudi TZ alifungua huduma IRINGA kisha akahamia TANGA ambako yuko hadi sasa.
Sijui kwnn watu wengi wameambiwa hii,jina la kilawah linawachanganya#
Mi nilikuwa muumini wake kipindi fulani....so nilifaham kidogo,sbb alikuwa anatoa baadhi ya shuhuda ya maisha yake ibadani!

Huyu ni mbena wa njombe,bt Iringa ndo alikokulia!
kalelewa na bibi ake baada ya wazaz kufariki!

Na anapoanza huduma iringa enzi hizo mi nilikuwaga sekondari....
Baadae akaondokaga....

Bt alituambia church siku moja kuwa mtumishi anaempenda ni mwal. Christopher Mwakasege sio kuwa kamlea kiroho(kapitia huduma nyingi sn)...ana baba ake wa kiroho,hayupo hapa nchini, ni nabii pia(not bushiri)na ndo alikua huko kwa baba ake karudi juzi!

Haya aliyaongea ibadani nilipokua hapo kwny ibada siku moja!
 
All, All, All all are thieves, con-men, wanajifanya eti wanaponya. Sikuona hata mmoja aliyejitokeza kumrudishia macho aliyetobolewa na scorpion!
So watu wanapopokea uponyaji inakuuma sana eti?
Kwamba hadi aliyetobolewa na macho aombewe apone ili wewe uamini?
Walikuepo watu kama wewe wengi tu kipindi cha Musa, Nuhu, na hata kipindi cha Yesu mwenyewe watu kama wewe walikuepo wakidai kua Yesu anatoa pepo kwa Jina la belzebubu (Marko 3.22)!

Wewe endelea tu kuwaita wezi! Hautaishangaza dunia!
 
Tafuta maana ya mpiga dili! Au wewe ndiye yeye? Nimekuchoma!
Haya umepona kapime ukimwi umepona- stupid! HIV virus anaondoka mwilini kwa kuguswa, stupid, kuwadanganya masikini wagonjwa!
Unapomtukana mtu ndio unampa kick zaidi watu wazidi kumfahamu.Ni kama vile kumpiga chura teke!
 
Kuna mfano. Moja Katika bibilia yesu alimponya mtu mmoja wengine wakamfwata wa kasema huyoo sijui nini na nini kawajibu mi ninachojua nimeambiwa bebagodoro lako uende kamani muyaudi au mfarisayo status mwenyewe sisi mradi tunapona
 
Back
Top Bottom