Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,394
- 138,602
- Thread starter
- #81
Nabaki Africa....interesting.....itabidi twende kuulizia ulizia
Bossman....nashangaa ulikuwa hujui!
Nabaki Africa....interesting.....itabidi twende kuulizia ulizia
Bossman....nashangaa ulikuwa hujui!
Labda hayo matusi yatokane na wivu tu, ila nifuate nini US wakati kama ni starehe kamili zipo Chugga?Hahahahaha mkuu utapewa matusi sasahivi
Wana mawakala wa products zao sikuwahi fikiria kwenda ofisin kwao
now umenipa idea...
Mi siku hizi hata nikihitaji misumari naenda Nabaki Afrika hapo hapo head office....
Umerudi lini bongo mbeba box mwenzanguHii sehemu ina totoz kali sana.
Kuanzia kule kwenye showroom hadi ile sehemu ya kulipia.
Ni totoz kali tu mwanzo mwisho hadi mteja unajiskia raha na kukufanya urudi hata kama huna cha kununua.
Nampongeza sana mmiliki wa Nabaki Afrika kwa kunifanya niwe mteja wa kudumu.
Halafu jiulize kwa nini hao mabinti na uzuri wote huo hakuna mwenye ndoa hata mmoja? Wote ni takeaway tuuNdani kipande cha mti. Naondoka Afrika (Nabaki Afrika) ina maduka mengi kidogo hata pale Mbezi Beachi katika kituo cha mafuta lipo duka lao na wamasai
Mkuu umekuja bongo kila mitaa ukikatiza unakutana na totoz za ukweli ndio maana kila mara unatuletea threads humu.... angalia usije ukasahau kurudi kwenye boxMi siku hizi hata nikihitaji misumari naenda Nabaki Afrika hapo hapo head office....
Mkuu una uzoefu na hilo eneo hadi unajua kuwa hawana ndoa!Halafu jiulize kwa nini hao mabinti na uzuri wote huo hakuna mwenye ndoa hata mmoja? Wote ni takeaway tuu
Nabaki Africa ya mikocheni naijua vizuri sana lakini ni miaka iliyopita..hii ni past experienceMkuu una uzoefu na hilo eneo hadi unajua kuwa hawana ndoa!
Mkuu umekuja bongo kila mitaa ukikatiza unakutana na totoz za ukweli ndio maana kila mara unatuletea threads humu.... angalia usije ukasahau kurudi kwenye box
Hujanza leo....tena upo kwa muda mrefu.Hahaha kwani umejuaje kuwa nimekuja bongo?
Kama natunga tu hizi stori kutokana labda na tajiriba ya mwaka jana au juzi je?
Au siwezi kuwa kwenye boksi halafu nikawa nawaletea habari kama hizi?
Halafu wote wana simati foniNasikia ata pale DSTV nako kuna watoto hatari!
Sasa sijui hao wa Nabaki Africa watakuwa wamewafunika?
Itabidi siku nifanye ziara ya kushtukiza...!
Hujanza leo....tena upo kwa muda mrefu.
zaidi ya mwezi na upo sana....What's muda mrefu....mwezi?