Nabaki Afrika

Nabaki Afrika

Uongozi wa Nabaki Africa wametumia mbinu ya ajabu sana kupunguza price bargaining power ya wanunuzi. Kuna siku nilienda kununua vifaa vya ujenzi, nilistukia kesho yake kwamba nilisahau kuomba discount.

Hahahaaaa kumbe wahanga tuko wengi hahahahaa.....
 
Nikianza tena ujenzi wa mjengo mwingine bidhaa zote za ujenzi nitazinunulia Nabaki Afrika.

9862_1004378282970656_157110671656397264_n.jpg
 
Arusha jinsi ilivyo ya kingese.. Barabara finyu,kuchafu,wavivu wengi, ulevi wa viroba kwa vijana mda wote. In short Arusha is the worst katika majiji maana hata mipango miji haipo. Moshi is far better than Arusha and Dar ni mara dufu ya Arusha.
Unaongelea Arusha ipi?
 
Unaongelea Arusha ipi?
Arusha ambayo mgeni akiingia anakutana nayo, ambayo ni kuanzia tengeru kuja ngarenaro,mbauda, kwa moromboo, majengo na moshono.

Arusha sehemu zenye kueleweka ni chache sana nazo ni njiro ule upande wa estates za matajiri sio njiro viwandani ama changanyikeni, hapo haile salesi hzo premises za wazungu na labda uende mbele ya nelson mandela univ. ambako ni green houses na big plots za watasha.

kidogo sakina na ngara mtoni ya juu karibia na mlimani ambako wameshika matajiri wa kimeru na wachaga
 
Back
Top Bottom