Nabaki Afrika

Nabaki Afrika

Pale ukienda kuchukua bati zako za kutosha ndio watakuelewa hao warembo si unaona mbeba box hadi kafungua thread.

Basi ngoja nijikakamue mpwa...nikanunue bati za kumwaga mpaka wanishangae......pengine naweza kujichukulia mjuu mmoja wa kuninyoosha kiuno.....
 
Mwambie yule rafiki yako Copenhagen nae arudi kujenga.. Naona Nyani kashtuka baada ya wale watanzania kuuliwa double double kule US kaamua kurudi bongo kujenga
ha ha ha ha ngja aje akujibu MLA VUMBI.
 
Nilienda pale kununua bath tubs na bathroom sinks. Nilipoenda kwenye Accounting kulipia nikatoa CapitalOne Platinum card ili nichanje....kimdada kikanambia kwa bill kubwa namna hiyo nilipie kwa pesa taslimu tu.

Basi kakaiangalia hiyo kadi yangu....kakaniangalia na mimi...kakaanza kutabasamu tu.

Msukuma nikachukua namba......now stay tuned for the next episode which will be live from Spur Steak and Burgers......
Mimi nilifikiri una AMEX BLACK CARD!!
 
ha ha ha ha ngja aje akujibu MLA VUMBI.

Hahahahaha na mavumbini ndio karudi kujenga... Unafikiri kule mlikuwa mna uwezo wa kujenga.. Aaahh kujenga kuna raha yake, unaplan ni vipi nyumba yako unataka iwe kuliko kule ukipata sana unaishia kununua tu zilizojengwa..
 
Hii sehemu ina totoz kali sana.

Kuanzia kule kwenye showroom hadi ile sehemu ya kulipia.

Ni totoz kali tu mwanzo mwisho hadi mteja unajiskia raha na kukufanya urudi hata kama huna cha kununua.

Nampongeza sana mmiliki wa Nabaki Afrika kwa kunifanya niwe mteja wa kudumu.

Niliwahi kununua products zao...kuna toto moja nyeupe pana pana hivi unaweza kujikuta unanunua kitu usichotarajia bila kuhisi maumivu...asante sana mkuu kwa kuweka bandiko hili...nadhani soon meneja masoko hatakuwa na kazi maana mabazazi wengi tutaingia front line wenyewe!
 
Kule hata kuongeza balcony inabidi ukaombe kibali achilia mbali kujenga!
 
Mbona hata Dodoma iko hivyo mkuu na Arusha iko mbioni kuwekwa hiyo sheria.. Ni huo mji wenu tu utabaki bila mipango hahaha hahaha.. Amieni Kigomboni kule ndio naona kutakuwa makazi salama
 
Hii sehemu ina totoz kali sana.

Kuanzia kule kwenye showroom hadi ile sehemu ya kulipia.

Ni totoz kali tu mwanzo mwisho hadi mteja unajiskia raha na kukufanya urudi hata kama huna cha kununua.

Nampongeza sana mmiliki wa Nabaki Afrika kwa kunifanya niwe mteja wa kudumu.

,,TZ baby"
 
Niliwahi kununua products zao...kuna toto moja nyeupe pana pana hivi unaweza kujikuta unanunua kitu usichotarajia bila kuhisi maumivu...asante sana mkuu kwa kuweka bandiko hili...nadhani soon meneja masoko hatakuwa na kazi maana mabazazi wengi tutaingia front line wenyewe!

Enheee....kumbe we unajua ninachokiongelea.

Kuna siku niliamua tu kwenda kuangalia bei za brackets za gutters nikalinganishe na za kwa Mwarabu nikaishia kununua hizo hizo za hapo Nabaki Afrika.

Hapana kabisa chezea Grade A totoz bana.
 
Ndo maana H.E anavyosema watu walipwe 15 M naona kama anawaonea wengine...just imagine binti mmoja huyo anaweza kukuletea wateja kama 200 kwa siku kisha umlipe kidogo kwa kuwa ni amri elekezi....thubutuuuuu! Mwanzoni kabla hawajafanya mabadiliko makubwa ndani kule showroom nimepata kwenda mara kadhaa ila lastly nimeenda siku ya jumamosi wanayofunga nusu siku,nilizurura ndani kule hadi milango ikafungwa...Yule binti kama ameolewa basi bwanake anatakiwa kuwa na upofu plus ukiziwi ili aishi maisha marefu!
 
Nilienda pale kununua bath tubs na bathroom sinks. Nilipoenda kwenye Accounting kulipia nikatoa CapitalOne Platinum card ili nichanje....kimdada kikanambia kwa bill kubwa namna hiyo nilipie kwa pesa taslimu tu.

Basi kakaiangalia hiyo kadi yangu....kakaniangalia na mimi...kakaanza kutabasamu tu.

Msukuma nikachukua namba......now stay tuned for the next episode which will be live from Spur Steak and Burgers......
Serema selema NN selema Nabaki !!!
 
Hahahahaha na mavumbini ndio karudi kujenga... Unafikiri kule mlikuwa mna uwezo wa kujenga.. Aaahh kujenga kuna raha yake, unaplan ni vipi nyumba yako unataka iwe kuliko kule ukipata sana unaishia kununua tu zilizojengwa..
Sioni sababu ya kwenda USA wakati ARUSHA ipo.
 
Back
Top Bottom