Nabaki Afrika

Mkuu umewakomalia..
Kuna story inabidi tu sasa kuisimulia hakuna namna
Ile Nabaki Africa ilikuwa inamilikiwa na watanzania wawili lakini baadae walikuja kuuza share zao kwa makaburu
Mmoja tulikuwa tunafahamiana sasa ile kwenda kwenda pale nikajenga mazoea ya binti mmoja wayback 2000+
Akaniambia anaishi kwao lakini ana mpango wa kupanga , nilitakiwa nichangie chochote
Wakati ule viwanja maarufu vya kawaida kwa mitaa ile vilikuwa Chagga bite, makumbusho village, Break point Rose garden Mama land na kona bar
huyu shostito hakuwa anapenda kabisa hivyo viwanja kwahiyo tukawa tunakaa sehemu nyingine kwa uchaguzi wake
Siku moja ikawa hakuna jinsi inabidi tukutane makumbusho village , nilikuwa na ahadi na mtu pale
Hamad yule jamaa kutukuta na yule demu akashtuka lakini akakausha na kumsalimia kama shemeji yake...niliisoma ile..kwa ufupi jioni ile haikuwa na amani kati yetu watatu
Tulimaliza na kuondoka wakati tunaondoka kuna mtu mwingine alituangalia sana na yule binti niliona kabisa hana amani. Kufika nje akagoma nisimpeleke kwao bali atachukua taxi (wakati ule hakuna pikipiki)
Kesho yake rafiki yake akanipigia akisisitiza tuonane jioni lakini nisimwambie shoga yake
Nilionana naye mitaa ya Morocco Neema bar akanimwagia ubuyu wote kumbe yule demu alikuwa na wanaume wawili wa kumhudumia mimi ilikuwa niwe wa tatu alikuwa kapanga sinza na alikuwa na kiserengeti boy kinasoma makongo sekondari hiki ndio kilikuwa kinahudumiwa na yule demu kwa pesa za wanaume wengine
Story ni ndefu sana lakini siku Ile ikawa ndio vile ( by then nilikuwa single)
Kumbe pale kuchukuliana mabwana ni kitu cha kawaida sana na hakuna mwenye mmoja hata mmoja....
Shikamooo Nabaki....mimi nilishindwa kubaki
 
Hivi kujenga ni kwaajili ya ukishafariki?
Hasa kwa wale wanaoishi nje ya nchi au nje ya mikoa walikozaliwa ni kwa ajili hiyo na likizo. Labda iwe unajenga kwa ajili ya biashara. Hebu niambie kama unaishi Dar es Salaam na tayari umejenga huko, ni kwa nini tena ujenge nyumba nyingine kule Machame ? Au unaishi USA na tayari umeishajenga huko, ni kwa nini unajenga tena huko Makete ?
 
Kuna story inabidi tu sasa kuisimulia hakuna namna
Ile Nabaki Africa ilikuwa inamilikiwa na watanzania wawili lakini baadae walikuja kuuza share zao kwa makaburu
Mmoja tulikuwa tunafahamiana sasa ile kwenda kwenda pale nikajenga mazoea ya binti mmoja wayback 2000+
Akaniambia anaishi kwao lakini ana mpango wa kupanga , nilitakiwa nichangie chochote
Wakati ule viwanja maarufu vya kawaida kwa mitaa ile vilikuwa Chagga bite, makumbusho village, Break point Rose garden Mama land na kona bar
huyu shostito hakuwa anapenda kabisa hivyo viwanja kwahiyo tukawa tunakaa sehemu nyingine kwa uchaguzi wake
Siku moja ikawa hakuna jinsi inabidi tukutane makumbusho village , nilikuwa na ahadi na mtu pale
Hamad yule jamaa kutukuta na yule demu akashtuka lakini akakausha na kumsalimia kama shemeji yake...niliisoma ile..kwa ufupi jioni ile haikuwa na amani kati yetu watatu
Tulimaliza na kuondoka wakati tunaondoka kuna mtu mwingine alituangalia sana na yule binti niliona kabisa hana amani. Kufika nje akagoma nisimpeleke kwao bali atachukua taxi (wakati ule hakuna pikipiki)
Kesho yake rafiki yake akanipigia akisisitiza tuonane jioni lakini nisimwambie shoga yake
Nilionana naye mitaa ya Morocco Neema bar akanimwagia ubuyu wote kumbe yule demu alikuwa na wanaume wawili wa kumhudumia mimi ilikuwa niwe wa tatu alikuwa kapanga sinza na alikuwa na kiserengeti boy kinasoma makongo sekondari hiki ndio kilikuwa kinahudumiwa na yule demu kwa pesa za wanaume wengine
Story ni ndefu sana lakini siku Ile ikawa ndio vile ( by then nilikuwa single)
Kumbe pale kuchukuliana mabwana ni kitu cha kawaida sana na hakuna mwenye mmoja hata mmoja....
Shikamooo Nabaki....mimi nilishindwa kubaki
Mkuu, hayo ndo hali halisi katika maeneo yote ambayo yana wadada bomba kama hao wa Nabaki Afrika, na sio wadada tu wanaochukuliana wanaume hata wanaume nao ni vivyo hivyo, si unajua kila mmoja anahudumiwa kwa wakati wake na hakuna anayeacha alama. wakati nikiwa UDSM kulikuwa na kitu kinaitwa "Mbanano" wadada walikuwa na aina tatu za mibanano -Academic huyu anakuwa mwanachuo mwenzake kwa ajili ya madesa na kusaidia kujibu take home essay, huyu anakula mzigo maeneo hay o hayo ya chuo kwa mtindo wa kupiga "exile"; Financial - huyu ni mfanyabiasha au mfanyakazi anasaidia katika masuala ya kiuchumi na urembo kwa ujumla, yeye hufaidi mzigo week'nd na wakati wa likizo; Lifemate - huyu kwa kawaida anakuwa ni mchumba au mume mtarajiwa ingawa ni kwa 50%, anaweza kumtembelea chuoni na kula mzigo wakati wowote maana hata yeye anasaidia katika masuala ya kiuchumi.
 
Myb wasasa wako wanaofaa bhana we mshana
 
Hii sehemu ina totoz kali sana.

Kuanzia kule kwenye showroom hadi ile sehemu ya kulipia.

Ni totoz kali tu mwanzo mwisho hadi mteja unajiskia raha na kukufanya urudi hata kama huna cha kununua.

Nampongeza sana mmiliki wa Nabaki Afrika kwa kunifanya niwe mteja wa kudumu.
Huyu mbeba box amerudi ana Ngunga hatari!!!hivi huko America hakuna wanawake wazuri?Mbona pieces za Nabaki za kawaida saaana

Hata sio za kusifia hapa?
Kweli kupiga box sawa na mfungwa aliyetoka Segerea.
 
Mkuu, hayo ndo hali halisi katika maeneo yote ambayo yana wadada bomba kama hao wa Nabaki Afrika, na sio wadada tu wanaochukuliana wanaume hata wanaume nao ni vivyo hivyo, si unajua kila mmoja anahudumiwa kwa wakati wake na hakuna anayeacha alama. wakati nikiwa UDSM kulikuwa na kitu kinaitwa "Mbanano" wadada walikuwa na aina tatu za mibanano -Academic huyu anakuwa mwanachuo mwenzake kwa ajili ya madesa na kusaidia kujibu take home essay, huyu anakula mzigo maeneo hay o hayo ya chuo kwa mtindo wa kupiga "exile"; Financial - huyu ni mfanyabiasha au mfanyakazi anasaidia katika masuala ya kiuchumi na urembo kwa ujumla, yeye hufaidi mzigo week'nd na wakati wa likizo; Lifemate - huyu kwa kawaida anakuwa ni mchumba au mume mtarajiwa ingawa ni kwa 50%, anaweza kumtembelea chuoni na kula mzigo wakati wowote maana hata yeye anasaidia katika masuala ya kiuchumi.
Kumbe wanawake wanatupanga kama magunia
 
Amekuja kuleta Zika virus maana USA inaenezwa kwa Ngono... Wadada kaeni Chonjo...
 
Hii sehemu ina totoz kali sana.

Kuanzia kule kwenye showroom hadi ile sehemu ya kulipia.

Ni totoz kali tu mwanzo mwisho hadi mteja unajiskia raha na kukufanya urudi hata kama huna cha kununua.

Nampongeza sana mmiliki wa Nabaki Afrika kwa kunifanya niwe mteja wa kudumu.
Uongozi wa Nabaki Africa wametumia mbinu ya ajabu sana kupunguza price bargaining power ya wanunuzi. Kuna siku nilienda kununua vifaa vya ujenzi, nilistukia kesho yake kwamba nilisahau kuomba discount.
 
Back
Top Bottom