Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
Mfagizi tu yuko hivi....cashier je?
Hiyo ni kweli kabisa kuwa bidhaa zao ni za ubora wa hali ya juu.
Na ndo maana bei zao zako juu kidogo kulinganisha na wengine.
Yaani Donald Trump atawafanya wabeba box waikimbie USA kabla hata ya uchaguzi maana tumeshaona mmoja amerudi bongo na kuanza kufanya kibarua cha kuipa promo Nabaki Afrika.
Kama unaishi ARUSHA basi hakuna haja ya kwenda Ulaya wala USA.Siendi ulaya.
Hii sehemu ina totoz kali sana.
Kuanzia kule kwenye showroom hadi ile sehemu ya kulipia.
Ni totoz kali tu mwanzo mwisho hadi mteja unajiskia raha na kukufanya urudi hata kama huna cha kununua.
Nampongeza sana mmiliki wa Nabaki Afrika kwa kunifanya niwe mteja wa kudumu.
Kama unaishi ARUSHA basi hakuna haja ya kwenda Ulaya wala USA.
TZ Baby!!!!!!Umeonaje kuwa nimerudi bongo? We ndo ulikuja kunipokea uwanja wa ndege?
Kwani kwa mfano nikiwa Yaounde siwezi kuandika hivi nilivyoandika?
Huko USA ulishawahi kuniona? Kama huwa nadanganya nipo USA na huku nipo tu huku Mbezi chini wewe unalijuaje hilo?
Hakuna anayejua nilipo na hakuna anayejua ninapoishi humu.
Acheni kujifanya wajuvi wa mambo.
TZ Baby!!!!!!
Usitokwe povu kiongozi. Twende taratibu. Kama dawa inakuingia kaa kimya tu..Umeonaje kuwa nimerudi bongo? We ndo ulikuja kunipokea uwanja wa ndege?
Kwani kwa mfano nikiwa Yaounde siwezi kuandika hivi nilivyoandika?
Huko USA ulishawahi kuniona? Kama huwa nadanganya nipo USA na huku nipo tu huku Mbezi chini wewe unalijuaje hilo?
Hakuna anayejua nilipo na hakuna anayejua ninapoishi humu.
Acheni kujifanya wajuvi wa mambo.
Hapo umepatia , mimi pia natokea arusha. Nilipozunguka hii tanzania na baadhi ya maeneo mengine nilipona ushamba wangu na uarusha wanguVijana wa Arusha wanachekesha...a little exposure would help guys!
Kaka Nyani Ngabu maua ya hapa kwa mkoloni wangu hayafui dafu kwa totoz wa Nabaki Afrika?
Nabaki Africa....interesting.....itabidi twende kuulizia ulizia[/QUOTE
Nimekumiss tu!!!!!
Hivi kujenga ni kwaajili ya ukishafariki?Kuna umuhimu wa kujenga, siku ukifariki huko wakulete Bongo wakute unaingizwa kwnye nyumba ya Baba yako tena ambayo inavuja, maiti yako inaona aibu.