Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,257
- 100,056
Hahahahahhahaaa tulia kwanza Mpwa, tulia kwanza, tuliza mzuka.Nambie mazee.....au nije inbobo?
Hahahahahhahaaa tulia kwanza Mpwa, tulia kwanza, tuliza mzuka.Nambie mazee.....au nije inbobo?
Si nione hao totozz au hupendi nionee
Nataka nipige kura nikuchagulie yupi anafaa
Amerudi kujenga
Tangaza uchumba, Mkuu.Kuna kamoja hivi kembamba kembamba kazuri kweli.
Nabaki Afrika ibarikiwe idumu milele.
Kuna umuhimu wa kujenga, siku ukifariki huko wakulete Bongo wakute unaingizwa kwnye nyumba ya Baba yako tena ambayo inavuja, maiti yako inaona aibu.Ndio kaja kututangazia kwamba anajenga kijanja janja hahaha kweli box limeshamiri
Ndani kipande cha mti. Naondoka Afrika (Nabaki Afrika) ina maduka mengi kidogo hata pale Mbezi Beachi katika kituo cha mafuta lipo duka lao na wamasaiUzuri wa mkakasi...!!!
Ndio kaja kututangazia kwamba anajenga kijanja janja hahaha kweli box limeshamiri
Kidada atakutengua kiuno ukimwacha auntie mchuchu usiseme nikusaidieHaya auntie Mchuchu.....kapige kura.

Kuna umuhimu wa kujenga, siku ukifariki huko wakulete Bongo wakute unaingizwa kwnye nyumba ya Baba yako tena ambayo inavuja, maiti yako inaona aibu.
Mbona nilishagajenga zamani tu. Nina mi apartments kibao Msasani na Masaki teh teh teh teh......
USA baby.......
Wacha wee kumbe una mpaka apartments.. Hongera sana box linalipa kumbe
Ulikuwa hujui? Nnazo kama 50 hivi teh teh teh teh
Ulikuwa hujui? Nnazo kama 50 hivi teh teh teh teh
Aiseee kweli NGO yako ya kutetea mashoga inakulipa
USA baby.....
Umeisahau na ile iliyopo Bariadi au unahesabu za Dar tu??
USA baby....Hahahahahaha
USA baby....
Bariadi, Igunga, Tinder, Majengo.....na nyingine namalizia kule Ng'wasele.
USA baby......