Naacha kazi serikalini

Naacha kazi serikalini

K
Ndugu yangu, umesema jambo hapa. Kuajiriwa kwa kweli ni utumwa. Mimi ni mtumwa kwa sasa ila sina namna ya kujinasua. Naomba siku moja niachane na hali hii ya utumwa wakati nikiwa bado na nguvu zangu.
Kwanini mkuu unasema hivo
 
mm mwenzako nlifanya maamuzi magum kama yako mwaka Jana/ nkajiingiza kwe kilimo cha mpunga, challenges zipo japo hazifanan na ulaji wa vumbi LA chaki na kipato chake , kwa sasa navuna kitunguu changu, najiaandaa tena na msimu mpya wa mpunga kiukwel though nashinda shamba lakin nanenepa kila uchwao! na mambo yanaenda vzr
Inawezekana shinda wengi humu sisi ni wafanyakazi fullu uoga sasa uoga wetu tunauhamishiwa kwa watu wengine. Yaani tinarithishana uoga.
 
Wewe sasa yeye ni yeye, hapo ndo tunapo kosea kwamba kwa sababu fulani alifeli basi na wewe utafeli

Pia kujipnga sio hoja. wa Mgapi wana filidika na walikuwa matajiri wakubwa kabisa na pesq za kutisha?

Unazania akijipanda ndo hatafilisika?

HII NDO MAANA INAITWA RISK TAKER.

Lazima ubebe risk zore usonge nazo mbele
Big mkuu
 
We nmekusamehe bure mkuu!

Unaweza kudhani mimi ni mtu mbaya, lakini nimefanya hivi makusudi ili kukumbusha umakini katika uandishi wako, ni tatizo ambalo vijana wengi wa sasa hatuna. Chukulia kama somo mwalimu mwenzangu.
Nami nimekusamehe nakutakia kila lakheri uendako, ila usirudi kufundisha.
 
Yaah hilo nimelianza mkuu mwaka jana nmefungua hiyo shughuli yangu (kuuza mitumba) japo changamoto dogo wakusimamia ndo shida nliempata alikuwa ananipiga sana wakati biashara yenyew ndo inaanza so nkaamua nimpige chini na kwasasa naenda job nkirudi nafungua na hapa ndo naona bora nisimamie mwenyewe coz mshika 2 moja humponyoka au ufanisi mdogo kwa yote 2
Mitumba mkoa gani mkuu...??
 
Sio lazima. Kuacha ni kuacha tu. Anaweza acha akiwa na zero ground na bado akatoboa.

Uoga ndo unao tutuma hivyo hakuna kingine
Mpango mkakati bila pesa ni ngumu mkuu.

Watu wapo mitaa hawana kazi na wana mawazo mazuri ukiwazikiliza, tatizo linakuja kwenye capital ya Ku apply mipango kazi yako.

Asijaribu kuwacha akiwa na zero
Mitaa ni mgumu sana zama hizi
 
Ok, kama umewahi kufanya huo ujasiriamali na ukaona mambo yanakwenda vyema basi hakikisha una mtaji wa kutosha wa kufanya hayo. Atleast zaidi ya nusu ya mtaji wako uwe nao kama akiba yako, kwa mfano kama unazo 5M unazotaka kuzitumia kama mtaji wa shughuli yako basi uwe na extra 2.5M ya akiba kwa ak ya emergency!

Usiwapuuze pia waliokushauri usiache kazi ambao naona ndio majority ila naweza kuungana na wewe katika kuchukua risk. Ili tufanikiwe sometimes inabidi tuchkuwe risks.

Hakikisha pia unapata full consent ya mke wako maana ndio mwenzako na mtapambana pamoja katika dhamira yenu.
Kiongozi kuwa na mtaji wa kutosha sio hoja na sio tiketi kabisa. wangapi ni wafanya biashara wakubwa na now wamefilisika?

Ni unavyo jipanga hasa Dunai ya sasa, kikubwa ni unacheza vipi mpira na hasa kuwa na commitment na unacho kifanya.

kwenye biashara kufeli kupo tena wakati wowote ule.
 
Mimi sikushauri hata kidogo kuacha kazi serikalini, tafuta tu chanzo kingine cha mapato
Binafsi nipo against hii idea maana hata hicho chanzo cha kipato kinahitaji msimamizi makini na sio rahisi kumpata maana watu wanaangalia maslahi yao zaidi kwa sasa. Kama ataanzisha chanzo cha kipato ni lazima akisimamie yeye mwenyewe
 
Mkuu wenzako wanaacha kazi wakiwa tiyari wana mitaji mizuri ama tiyari wame shafungua njia nyingine za vyanzo vya mapato we umejipangaje.

Pasi ndefu utaziweza mkuu? Siku ukikosa mkate. Maana kama ukiacha na ukiwa huna shughuli mtaani si lelema mkuu.
Halafu ukiwa huna hela, kila kitu mtaani kinakuwa kitamu sana, shauri yako.
 
Fanya hivi kusanya nguvu kidogo kidogo kwanza,ingia miji inayoendelea fungua duka la spare za pikipiki. Halafu ndio uache kazi,songa mbele hutajuta. Piga chini hiyo kazi
 
Fanya hivi kusanya nguvu kidogo kidogo kwanza,ingia miji inayoendelea fungua duka la spare za pikipiki. Halafu ndio uache kazi,songa mbele hutajuta. Piga chini hiyo kazi
Mkuu Hui biashara unafanya? Upo mkoa gani?
 
Kama kuupata mhimili kwasasa ni shida nakushauri usiache kazi. Ukiwa na kazi opportunities zinakuwa nyingi ila usipokuwa na kazi mambo yanagoma.
Cha kukushauri jaribu kutafuta namna ya kuongeza kipato ukiendelea na hiyo ajira yako ya sasa.
Opportunity zipi? hizi ndo shauri za sisi wasomi.

Tusha jenga akilini mwetu kwamba maisha ni uwe na kazi tofauti na hapo nazani utakufa.

Tunaamini bila kufanyia watu kazi basi within a week unaweza kufa.

Anaeza pika mandazi tu akaishi, tusiogopeshane.

Watu wana brash viatu tu wanaishi na wanasomesha tusiogopeshane kwamba hakuna maisha kabisa nje ya kazi.

kwamba maisha ni ndani ya kazi pekee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom