abdi ally
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,563
- 2,154
Kama hujajipanga nakushaur usipige chini mzigo ndugu yangu maisha ya kitaa Ni magumu kushinda unavyodhani
Mm Ni muhanga wa hayo nilipiga chini Kaz katika utawala wa mzee wa msoga na nikiwa na salary nzuri tu ya kuish mjini na kufanya mambo yangu mengne lakin nilikuwa sina ndoto za kuwa mwajiriwa.
Wakat natoka nilihakikisha kabisa Nina salio la kutosha la kuishi ndani ya miez sita bila bugza yeyote hapo nikaweza
Nilipotoka sikufanya ajiz ila smartphone yangu ikanipa Kaz nch moja huko ulaya japo sikukaa saana kutokana na ubaguz nikarud bongo then nika set connection zangu nikasepa Tena mbele kwa kupata kampun moja ambayo nishamaliza mkataba nayo
Ila cha msing kama hauna connection yeyote ile usije ukaacha Kaz tu jipange Kwanza
Na usiwaze haya mashirika kama Ni mvivu aisee kuvunjiwa mkataba Ni rahis sana
Pigana baba Kwanza