Elesx0
Member
- Oct 10, 2015
- 66
- 28
Hongera mkuu kwa kulitambua hilo maana ni wachache wenye kuona, usiendelee kupoteza mda wako hasa nguvu yako huko ambako moyo hautaki, kuwa tu na utayari ukijua kabisa maaisha ya kutafta hela na si kulipwa sio magumu wala sio rahisi. Ila ni mazuri kukufikisha na kufanya kile unachotaka kuliko ajira hasa hiyo ulionayo, usisubiri kujikusanya kuwa uwe vizuri ndo utoke No, kaa na shemeji muelezane hali mlio nayo, mnataka nini n.k! Si rahisi kupata nini cha kufanya baada ya hapo ikiwa bado unakumbatia ajira, Anza na ulicho nacho, Anzia Hapo hapo.
Kwa sasa utaanza kwa kuishi kuifikria Leo na sio kesho yako, itafika mda utaanza kuifikria kesho na kuendelea,
Make right decision now To make your next Joy
Kwa sasa utaanza kwa kuishi kuifikria Leo na sio kesho yako, itafika mda utaanza kuifikria kesho na kuendelea,
Make right decision now To make your next Joy