MC44
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 2,168
- 3,304
Haiko hivyo.ACHA KUMSHAURI MWENZIO UJINGA WA MIAKA YA ZAMANI,
SIKU HIZI TAASISI ZIKO SERIOUS-
LABDA KAMA ANA HAMU YA KUFUNGWA!!!
Ukikopa kuna bima ya mkopo halafu kuna mdhamini. Hivi vinahusika
Haiko hivyo.ACHA KUMSHAURI MWENZIO UJINGA WA MIAKA YA ZAMANI,
SIKU HIZI TAASISI ZIKO SERIOUS-
LABDA KAMA ANA HAMU YA KUFUNGWA!!!
Kama kuupata mhimili kwasasa ni shida nakushauri usiache kazi. Ukiwa na kazi opportunities zinakuwa nyingi ila usipokuwa na kazi mambo yanagoma.
Cha kukushauri jaribu kutafuta namna ya kuongeza kipato ukiendelea na hiyo ajira yako ya sasa.
Mmmh ngumu kumeza but nmeskiaPole kwa masahibu lakini kumbuka mvumilivu ula mbivu. Kama waalimu Magufuli, Majaliwa, Mhagama, Ali Hassan Mwinyi na Nyerere wasingevumilia, unadhani wangelifika hapo walipofikia? Wee vumilia, halafu tafuta kazi ya CCM, gombea Ubunge na baadae Urais. Kila kitu kina mwisho wake.
Kuna sehemu niliwahi kuishi kule watu wanaishi kwa sifa vijana wanaoingia kazini wanashindana kuchukua mikopo na kujaza fanicha ndani na mziki mnene.kipindi Cha kulipa ndio mtihani,sema kule Kuna options nyingi unaweza kutoka asubuhi huna kitu unamwambia tu Mama chanja bandika sufuria la maji ya ugali baada ya dakika kumi mtume mtoto aje kuchukua salio.ingawa ule ushamba wa hivyo naona wanao watumishi wengi hasa wa serikali.Changamoto kubwa tunayokutana nayo huwa hatupati elimu za kifedha katika shule zetu.
Tunamaliza vyuoni, tunapata kazi, tunajiingiza kwenye mikopo ya magari au ya kununua viwanja. Mkopo wa miaka 5 mpaka 6.
For all that period tunajikuta tunafanyia kazi bank, na hela tuliyoichukua tunakuwa kama tumeizika. Haiingizi faida yoyote.
Nadhani Kuna umuhimu wa hili somo kuanza kufundishwa vyuoni, au hata iwe kwa mifumo ya seminars.
Nitajaribu kuandika thread kuhusu hizi kitu na jinsi banks zinavyofaidika kutokana na elimu yetu duni juu ya maswala haya.
Kabisa fanya ivo mkuu bank zinafaidika sana utasaidia wengiChangamoto kubwa tunayokutana nayo huwa hatupati elimu za kifedha katika shule zetu.
Tunamaliza vyuoni, tunapata kazi, tunajiingiza kwenye mikopo ya magari au ya kununua viwanja. Mkopo wa miaka 5 mpaka 6.
For all that period tunajikuta tunafanyia kazi bank, na hela tuliyoichukua tunakuwa kama tumeizika. Haiingizi faida yoyote.
Nadhani Kuna umuhimu wa hili somo kuanza kufundishwa vyuoni, au hata iwe kwa mifumo ya seminars.
Nitajaribu kuandika thread kuhusu hizi kitu na jinsi banks zinavyofaidika kutokana na elimu yetu duni juu ya maswala haya.
Kabisa fanya ivo mkuu bank zinafaidika sana utasaidia wengi
Ukiishi katika uoga hakika hautafanikiwa katika Maisha haya.
uoga ni adui mkubwa wa mafanikio.
Pia ujinga ni kung'ang'ana na kitu ambacho hakikunufaishi wala kukuletea mfanikio yoyote.
Fikiria umefanya kazi 5yrs but hauna hata nyumba wala gari.
Maisha yako kila kukisha yanazidi kuwa magumu sana.
But unazidi kung'ang'ana hukohuko. Huo ni ujinga mkubwa sana. Njoo tufanye ujasiriamali mkuu.
utateseka mwaka mmoja ila after 3ys utakuwa Tajiri mkubwa sana mwenye kipato kizuri sana.
Wekeza katika mambo madogo madogo mfano mradi wa chips, mgawahawa , sehemu ya kuuza pombe pamoja na kitimoto , ukumbi wa kuangalia mpira etc uone utakavyokuwa uaningiza hela mpaka utajuta kupoteza muda huko uliko.
Haiko hivyo.
Ukikopa kuna bima ya mkopo halafu kuna mdhamini. Hivi vinahusika
Mkuu Sauti uisikiayo kutoka nafsi yako ndio usahihi wako...
Mara zote public opinions za mambo yasioyo na ukawaida huwa ni negative .. Kwa maana kuwa haijazoeleka kuona mtu akiacha kazi na kufanya issues zake ... Tegemea kukutana na vitisho na kuvunjwa moyo..
Ila amini nakwambia kuajiriwa ni utumwa na hautakuja kuishi maisha ya ndoto yako kwa kuajiriwa. Utaishia saaaaNa kuishi maisha MAZURI na sio BORA.
Maisha Bora ni kuwa free na familia yako , kupata muda Wa kuumzika etc..
Ushauri wangu ni Sikiliza nafsi yako... Hakuna anaejua hali yako .. Wewe ndio unajijua Gap lako la maisha likoje kuwa kama ukiacha kazi utalifill vipi na kwa muda gani ...
Nakuomba utafute shughuli ya kufanya kabla ha kuacha kazi atleast miezi sita kabla ya kuacha kazi ... Katika kipindi hicho fanya Reformations za unavyoishi ili uanze kuadapt utakavyoishi kwa kujiajiri.. Kama ulikuwa kwa mwezi unatumia 200,000 kwa matumizi ya nyumbani jitahidi upunguze ..
Nunua friji uwe unanunua vifaa vyote kwa mwezi , gharama isiwe hiyo 200,000... Kama ulikuwa unakaa katikati ya mji na unalipa kodi kubwa , jitahidi uhamie nje ya mji kuna nyumba nzuri sana kwa bei nafuu sana na unaweza kupata hata sehemu kubwa ya kuanzisha mradi Wa ufugani Kuku na mayai ...
KwA ufupi nifanyie self assessment yako halafu njoo na Work plan yako ...
Amini nakwambia utapitia uchungu kwa kipindi kifupi ila utamu wake utakuwa Wa muda mrefu kuliko walioajiliwa ambao wanakuona hujielewi ..
Please Follow Where Your Heart Tells You To Follow.
Utaililia hiyo kazi nakuhakikishia
Nitajitahidi over the weekend, inaweza kuwasaidia sana vijana wanao anza kazi recently.
Maana nina two way experience, I played both sides, as a banker and the customer pia.
Nasisitiza tu katika hili, ni vyema kuwa na vyanzo tofauti vya kukuingizia pesa kuliko kuegemea chanzo kimoja.Yaah hilo nimelianza mkuu mwaka jana nmefungua hiyo shughuli yangu (kuuza mitumba) japo changamoto dogo wakusimamia ndo shida nliempata alikuwa ananipiga sana wakati biashara yenyew ndo inaanza so nkaamua nimpige chini na kwasasa naenda job nkirudi nafungua na hapa ndo naona bora nisimamie mwenyewe coz mshika 2 moja humponyoka au ufanisi mdogo kwa yote 2