Naacha kazi serikalini

Naacha kazi serikalini

Fanya hivi kusanya nguvu kidogo kidogo kwanza,ingia miji inayoendelea fungua duka la spare za pikipiki. Halafu ndio uache kazi,songa mbele hutajuta. Piga chini hiyo kazi
Kwa nini spare za pikipiki? au kwa sababu ndo unayo ifanta wewe?

Mkuu ujasiriamali ni kutatua changamoto za watu basi hakuna kingine.

Wewe unasema Spare yeye anaweza uza mchicha tu na akafanikiwa.

Kikubwa ni je unaon furusa gani? Unaona nini mbele?
.Hakuna kingine
 
Binafsi nipo against hii idea maana hata hicho chanzo cha kipato kinahitaji msimamizi makini na sio rahisi kumpata maana watu wanaangalia maslahi yao zaidi kwa sasa. Kama ataanzisha chanzo cha kipato ni lazima akisimamie yeye mwenyewe
Lazima uwe Against mkuu. tuna sumbuliwa na Fear of Uknown?

Tuna hofioa vitu visivyo kuwepo, hizi ni fear mbaya mno kuziondoa sio mchezo.
 
Kopa taasisi zote, kuanzia bank hadi vikoba. Kopa baba usiogope.
Nb hii Nchi inadaiwa toka enzi za Mwl Nyerere na bado mambo yanaenda.
 
Mzunguko upoje kwenye biashara yako mkuu? Je unapata faida kuzidi salary ya mwl kwa mwezi?
Mkuu swala sio mzuguko make unawexa kuwa na mzunguko mzuri baada ya miaka hata 4 ukafilisika.

Kikubwa ni kuondoa hofu na kusonga mbele kwa lolote lile.

Nazani basi wanajeshi wasingekuwa wanaenda vitani kuhofia kufa.

Ila wanaenda na wako tiyari na chochote kile ikiwemo kifo
 
Mpango mkakati bila pesa ni ngumu mkuu.

Watu wapo mitaa hawana kazi na wana mawazo mazuri ukiwazikiliza, tatizo linakuja kwenye capital ya Ku apply mipango kazi yako.

Asijaribu kuwacha akiwa na zero
Mitaa ni mgumu sana zama hizi
Hao ni wao. pia wapo wenye pesa. Hao ni wao na wasomi wajinga waoga.

Wale vijana wanao uza tu karanga stend mbona hawajakaa mtaani?

Wanaona pale stend kuna furusa ya wasafiri na kweli wanauza.

Sasa wale sisi tunawaonea hofu tukiwa kwenye AC na suti zetu.
 
Mkuu swala sio mzuguko make unawexa kuwa na mzunguko mzuri baada ya miaka hata 4 ukafilisika.

Kikubwa ni kuondoa hofu na kusonga mbele kwa lolote lile.

Nazani basi wanajeshi wasingekuwa wanaenda vitani kuhofia kufa.

Ila wanaenda na wako tiyari na chochote kile ikiwemo kifo
Mkuu nakuelewa sana
 
Hao ni wao. pia wapo wenye pesa. Hao ni wao na wasomi wajinga waoga.

Wale vijana wanao uza tu karanga stend mbona hawajakaa mtaani?

Wanaona pale stend kuna furusa ya wasafiri na kweli wanauza.

Sasa wale sisi tunawaonea hofu tukiwa kwenye AC na suti zetu.
Aya bana boss.

Naka project kangu ka kilimo
nipe mashamba boss.
 
Mshahara ni mtamu sana na ni wa uhakika kila mwezi.
Mimi sikushauri uache kazi , ila kama una wazo la biashara unaweza kufungua biashara yako na ukaweka msimamizi, huku ukitoka kazini unapitia kukagua.

Ila kuacha kazi , tena kama ni serekalini usiache , maisha ya biashara msimu huu wa Magu ni magumu sana.
Mtamu kwako, hata anaye uza mchicha ile pesa ni tamu kwake Shida kuu sisi tusha aminishwa vizazi na vizazi kwamba kazi ni uajiriwe ukatumikishwe na ulipwe mwisho wa mwezi.

Kwamba nje ya ajira there is no life.

Kwani pale unapo enda kununua mchicha au samaki au Mihogo unazani hawana maisha wale? Au unawaona kama marehemu fulani tu?
 
Kuna wakati tunakosa cha kushauri kwa kuwa mhusika hajatoa mwanga wa nini anahitaji

Hapa anahitaji tushauri aache kazi au asiache

Maana hajaweka nini kinahitaji ushauri zaidi
Swala la yeye kuacha ni personer sana shida ni pale kila aina ya ushauri ni ya hofu tu kana kwamba huko wasio ajirwa wamekufa wote mtaani wameisha.
 
Kwa nini spare za pikipiki? au kwa sababu ndo unayo ifanta wewe?

Mkuu ujasiriamali ni kutatua changamoto za watu basi hakuna kingine.

Wewe unasema Spare yeye anaweza uza mchicha tu na akafanikiwa.

Kikubwa ni je unaon furusa gani? Unaona nini mbele?
.Hakuna kingine
Mimi sifanyi hiyo kazi. Nimemshauri hiyo kazi ksbb haitahusu mtaji mkubwa,halafu haina ugumu sana kuiendesha. Nina mdogoangu kama huyo nae alitaka kuacha kazi kama hiyo ya ualimu. Kitu cha kwanza nilimkatalia lakini baada ya kuona amekomaa kutaka kuacha kazi nikamshauri kabla ya kuacha kazi afungue duka la spare. Akafanya hivyo. Akadumu dumu nalo miaka mi2 ndio akaamua kuacha kazi. Hivi sasa yuko kujenga,hana wasiwasi. Kuhusu kuuza mchicha kama ulivyosema,hapo ni bora abaki kwenye kazi yake
 
Wanatesekaje? ulipimaje utesekaji wao? Ulitumia kigezo kipi?

Make nazani hata wafyatua tofali wewe utaona wanateseka

ukiona kijana ana mkokoteni wake ndo ofisi yake basi kwako anateseka. ulitaka akae ofisini ndo hateseki?

Utesekaji uko kwa walio tekwa
Yes nimeona wengi sana ambao wanateseka kwa sababu ya hili. Ila ukiwauliza ,kwanini wanasema ualimu haulipi? Jibu lao ni kwamba hela ni ndogo.

Lakin unamuuliza mbona wengine wanajenga, na wanaendesha biashara zingine kubwa kando ya ualimu? Anakuwa hana jibu. Kumbe alikopa parefu na kuwekeza sehemu ambayo haiwarudishii kipato chochote ambacho kingeenda kuziba pengo lililowekwa kwenye mshahara.
 
Mtamu kwako, hata anaye uza mchicha ile pesa ni tamu kwake Shida kuu sisi tusha aminishwa vizazi na vizazi kwamba kazi ni uajiriwe ukatumikishwe na ulipwe mwisho wa mwezi.

Kwamba nje ya ajira there is no life.

Kwani pale unapo enda kununua mchicha au samaki au Mihogo unazani hawana maisha wale? Au unawaona kama marehemu fulani tu?
Ulichoona ni hapo niliposema mshahara ni mtamu?
 
Hao ambao hawana lazi hawaishi? Kuna Makaburi mangapi ya kuonyesha kwamba walmsio kuwa na kazi wamekufa?

Naogopa tu kitu kinacho nitoa uhai basi.

Kama una milo mitatu kwa siku,wenzako hawana ...wewe mponze mwenzio..
 
Mkuu Hui biashara unafanya? Upo mkoa gani?
Sifanyi mimi,anafanya dogo. Nae alikuwa mwalimu kama huyo. Nae alikuwa analalamika. Nikamshauri afungue kwanza hilo,aliendeshe kidogo kidogo,likamnogea. Ameacha mwaka wa pili sasa. Sasa hivi yuko poa sana, na anashukuru mara mia. Yuko mbeya lakini si town,tuko mji (kijiji) fulani inayoendelea
 
Wanatesekaje? ulipimaje utesekaji wao? Ulitumia kigezo kipi?

Make nazani hata wafyatua tofali wewe utaona wanateseka

ukiona kijana ana mkokoteni wake ndo ofisi yake basi kwako anateseka. ulitaka akae ofisini ndo hateseki?

Utesekaji uko kwa walio tekwa
Haujanielewa mkuu, ninaposema wanateseka ninamaanisha, mtu anakuwa analalamika kwamba haoni faida ya ualimu kwasababu pesa anayopata haitoshelezi mahitaji. Sasa ukijiuliza 470000+ inashindwaje kumtosha?

Ndipo unagundua kuwa alikopa hela nyingi kama 10m, ambapo benki inamkata nusu ya mshahara wake. Pia alipokopa hakuenda kuwekeza kwenye kitu ambacho kitamrudishia faida ambayo inatuwa ina cover ule mshahara nusu anaopewa.

Pia unakuta muda wa kurudisha deni ni miaka 5 hadi 6. Sasa mtu anateseka kwasababu kiasi anachopata ni kidogo, na pia muda wa kulipa ni mrefu sana

Ndipo wanaanza kulalamika kwamba ualimu haulupi, lakini kumbe aliutu.ia pupa ambayo inamtesa.
 
Wanatesekaje? ulipimaje utesekaji wao? Ulitumia kigezo kipi?

Make nazani hata wafyatua tofali wewe utaona wanateseka

ukiona kijana ana mkokoteni wake ndo ofisi yake basi kwako anateseka. ulitaka akae ofisini ndo hateseki?

Utesekaji uko kwa walio tekwa
Unapomuona muona mtu anakuambia ana miaka 5, lakin hana chochote na anamadeni tu. Hapo anakuwa anateseka na analalamika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom