Naacha kazi serikalini

Naacha kazi serikalini

Hakika litakalo tokea ntakuja jf kuwaeleza nlipofkia najua inaweza kuwa chachu kwa wengine napenda vijana wenzangu tuwe free mind baada ya mwaka ntakuaja na mrejesho
Asilimia kubwa ya walikushauri wanaonesha kukupandikiza uoga kwenye ishu yako uliyopanga, hivyo usiwe muoga we kazana na maamuzi yako, cha muhim najua utakuwa umeshajiandaa vya kutosha mpaka unafika maamuzi hayo,

Tunakutakia kila la kheri na pia tunaomba baadae uje kutupa mrejesho baada ya mwaka

Britanicca
 
Ok nmekusoma mkuu
Kama hujajipanga nakushaur usipige chini mzigo ndugu yangu maisha ya kitaa Ni magumu kushinda unavyodhani

Mm Ni muhanga wa hayo nilipiga chini Kaz katika utawala wa mzee wa msoga na nikiwa na salary nzuri tu ya kuish mjini na kufanya mambo yangu mengne lakin nilikuwa sina ndoto za kuwa mwajiriwa.

Wakat natoka nilihakikisha kabisa Nina salio la kutosha la kuishi ndani ya miez sita bila bugza yeyote hapo nikaweza

Nilipotoka sikufanya ajiz ila smartphone yangu ikanipa Kaz nch moja huko ulaya japo sikukaa saana kutokana na ubaguz nikarud bongo then nika set connection zangu nikasepa Tena mbele kwa kupata kampun moja ambayo nishamaliza mkataba nayo

Ila cha msing kama hauna connection yeyote ile usije ukaacha Kaz tu jipange Kwanza

Na usiwaze haya mashirika kama Ni mvivu aisee kuvunjiwa mkataba Ni rahis sana

Pigana baba Kwanza
 
Pole kwa masahibu lakini kumbuka mvumilivu ula mbivu. Kama waalimu Magufuli, Majaliwa, Mhagama, Ali Hassan Mwinyi na Nyerere wasingevumilia, unadhani wangelifika hapo walipofikia? Wee vumilia, halafu tafuta kazi ya CCM, gombea Ubunge na baadae Urais. Kila kitu kina mwisho wake.
Da ivi kweli hawa wasingechukua maamuzi magumu wangefika hadi kuitwa president o Prime Minister nk
 
mkuu maisha yako hivi hata ikitokea ukafukuzwa kazi leo utaishi japo kwa shida ila baada ya muda utapata mbinu bora na unaweza pata dili ama kazi nzuri mpaka ukajiuliza ulikuwa wapi siku zote unang'ang'ania ppasipo eleweka.
Ni hivi mkuu ka ushajipanga na unambinu ya kutoboa katika maisha songa mbele usirudi nyuma nasema haya kwa sababu kuu mbili maslahi umekiri kuwa hayatoshelezi hata ukijibana vipi pili ni kuwa si kazi unayoipenda, kwahiyo inaweza kukuletea hata matatizo mbeleni. kwahiyo mkuu we endelea na mikakaati yako, pia nikupe pole kwa yote ulopitia najua adha ya kipato kidogo na hata kazi ya pesa
 
Naam, mkuu. Hii ni kama vile wengi wetu huwa tunafikiri kuwa kuna mtu mmoja tu duniani ambaye tulipangiwa kuoa ama kuolewa naye. Ukweli ni kwamba kuna mabilioni ya wanawake/wanaume huko nje ambao wangefaa tu kama huyo uliye naye ama wangekuwa bora kuliko uliye nane.
mkuu maisha yako hivi hata ikitokea ukafukuzwa kazi leo utaishi japo kwa shida ila baada ya muda utapata mbinu bora na unaweza pata dili ama kazi nzuri mpaka ukajiuliza ulikuwa wapi siku zote unang'ang'ania ppasipo eleweka.
 
Kidogo nna experience ya ujasiria mali coz hata wakati naenda kweny ajiara nlitoka kwenye biashara ambayo nlishaiona inaangalau afadhali ya Maisha so nataka nirudi kulekule
Kwani unashindwa kuendelea na ujasiriamali hali ukiwa kazini? Tumia watu wape ajira. Fanya ujasiriamali huku ukiendelea na ajira yako. Fahamu kwamba sasa hivi kila kona imekaza kwenye ujasiriamali ndo usiseme kabisa.
 
Habari wakuu wote wa jf
nawapenda sana hasa kwa mambo mazur nnayopata
Mmi ni mtumishi wa serikali kada ya elimu (mwl)

Sababu hasa ni hizi
1.interest au hob
Kiukweli hii kazi siipendi niliisomea bada ya kuwa sina otenative najitaidi niikubali but inashindikana so naona kama napoteza muda

2.kipato
Najua kuwa watumishi weng hasa awamu hii ya 5 weng wanalalamika hali ya uchumi but mmi naona hii yangu ni too much

Kiukweli najitahidi sana kujibana ila naona nashindwa, nashindwa kufanya hata mambo ya kawaida tu nikiwa kama baba natamani familiar yangu angalau iishi standard hata kias tu but huku nliko naona kama ndoto
Yan labda uwe mzee wa topup jambo ambalo naona pia ntaongeza ufukara mana ukiisha ndo utataabika kama nnavyoona wengine

Lengo la uzi huu ci kuwatangazia msimamo wangu bali ni kuwaomba wale ambao walishachukua maamuzi kama yangu au wanaotarajia hivyo waendlee kunipa moyo pia wote ambao watakua na wasaa basi wanisaidie kimawazo nifkie lengo langu

Naomba kuwaslisha

NB: Pls nmejitaidi kutumia lugha nzuri naomba bro o sister kama unanishaur bas lugha iwe ya kunielewesha isiwe ya kebehi au kunitusi kwan kuyaheshimu maamuzi ya mtu ni jambo la busara

Mimi nashauri uache, kwa uandishi wako huu, na ukichangia kuwa kazi yenyewe ulienda basi tu kwa kukosa "alternative" ni bora ukaondoka kuliko kutuharibia watoto wetu.
 
Anzisha jambo unalotaka kulifanya baada ya kuacha kazi, ili ukiacha kazi upate kazi ya kufanya vinginevyo ukiacha kazi utakumbana na hali ngumu sana
 
Naam, mkuu. Hii ni kama vile wengi wetu huwa tunafikiri kuwa kuna mtu mmoja tu duniani ambaye tulipangiwa kuoa ama kuolewa naye. Ukweli ni kwamba kuna mabilioni ya wanawake/wanaume huko nje ambao wangefaa tu kama huyo uliyenaye.
kweli mkuu, ukiona mtu mzima anakiri kuwa hali ni ngumu na anataka kimbia usidhani kuwa ni mwepesi ni kumtia moyo, but lazima ajue namna ya kupgana huko aendako ili asije dondokea tena huko
 
Mimi nashauri uache, kwa uandishi wako huu, na ukichangia kuwa kazi yenyewe ulienda basi tu kwa kukosa "alternative" ni bora ukaondoka kuliko kutuharibia watoto wetu.
Du umetisha kwa hii comment ubarikiwe kwa kuchangia
 
Ila ingependeza ukarekebisha wapi kweny uandishi nmekosea nammi nkajifunza kutoka kwako
Mimi nashauri uache, kwa uandishi wako huu, na ukichangia kuwa kazi yenyewe ulienda basi tu kwa kukosa "alternative" ni bora ukaondoka kuliko kutuharibia watoto wetu.
 
Changamoto kubwa tunayokutana nayo huwa hatupati elimu za kifedha katika shule zetu.

Tunamaliza vyuoni, tunapata kazi, tunajiingiza kwenye mikopo ya magari au ya kununua viwanja. Mkopo wa miaka 5 mpaka 6.

For all that period tunajikuta tunafanyia kazi bank, na hela tuliyoichukua tunakuwa kama tumeizika. Haiingizi faida yoyote.

Nadhani Kuna umuhimu wa hili somo kuanza kufundishwa vyuoni, au hata iwe kwa mifumo ya seminars.

Nitajaribu kuandika thread kuhusu hizi kitu na jinsi banks zinavyofaidika kutokana na elimu yetu duni juu ya maswala haya.
Karibia nusu ya wanaoacha kazi sababu ni hii. So mnaotarajia kuajiriwa, kuweni makini na kitu kinaitwa MKOPO WA BENKI.
Mtu anachukua take home 470000, na anakopa 10m na kinunua uwanja au kupeleka sehemu yoyote ambayo haimuingizii kipato chochote, na mwisho wa siku anakuja kusema kazi ya ualimu haimsaidii, kumbe pupa imechangia, na kujikita anapata 250000 tu kwa mwezi au chini ya hapo kwa sababu ya kulipa deni.
 
Karibia nusu ya wanaoacha kazi sababu ni hii. So mnaotarajia kuajiriwa, kuweni makini na kitu kinaitwa MKOPO WA BENKI.
Mtu anachukua take home 470000, na anakopa 10m na kinunua uwanja au kupeleka sehemu yoyote ambayo haimuingizii kipato chochote, na mwisho wa siku anakuja kusema kazi ya ualimu haimsaidii, kumbe pupa imechangia, na kujikita anapata 250000 tu kwa mwezi au chini ya hapo kwa sababu ya kulipa deni.

True.

Kuna umuhimu wa kuelimishana juu ya hili jambo.
 
Mkuu, naheshimu mawazo yako na uamuzi wako ila hapa ulipo sasa maamuzi sio yako peke yako ni pamoja na familia. Unajua unapokuwa mwenyewe ni vyepesi kufanya maamuzi magumu ila ukiwa na familia unatulia kidogo.
Mie nashauri kwamba kabla haujaondoka hakikisha una salio la pembeni ambalo hata kama usipoingiza chochote ndani ya miezi mitatu basi familia yako itaishi bila shida. Yaani maandalizi ya kuishi bila kutegemea mwisho wa mwezi. Mie niliachana na kazi ya ualimu mwaka 2011 nilihangaika sana ila kwakuwa nilikuwa bado single nilimudu kidogo. Na kama ningechelewa kufanya maamuzi basi hadi leo ningekuwa mwalimu huko Ukerewe. Angalia familia kisha fanya maamuzi na hautajuta
 
Da ivi kweli hawa wasingechukua maamuzi magumu wangefika hadi kuitwa president o Prime Minister nk
Mkuu hao hawakuchukua risk yoyote, kwasababu mfanyakazi anaruhusiwq kugombea huku bado akiwq kwenye ajira, na pindi atakapo shindwa kwenyr siasa, basi mlango wa kurudi kwenye ajira unakuwa wazi.

Na siasa inalipa kuliko kuajiriwa, kwahiyo mtu akiacha kazi na kuhamia kwenye siasa na akafanikiwa, basi huyo kalamba dume.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom