Halafu hayo madeni nani atayalipa ?Hakikisha umekopa bank na saccoss ndipo uache kazi
Halafu hayo madeni nani atayalipa ?Hakikisha umekopa bank na saccoss ndipo uache kazi
Yes nimeona wengi sana ambao wanateseka kwa sababu ya hili. Ila ukiwauliza ,kwanini wanasema ualimu haulipi? Jibu lao ni kwamba hela ni ndogo.True.
Kuna umuhimu wa kuelimishana juu ya hili jambo.
Kuna wakati tunakosa cha kushauri kwa kuwa mhusika hajatoa mwanga wa nini anahitajiMimi sikushauri hata kidogo kuacha kazi serikalini, tafuta tu chanzo kingine cha mapato
Halafu atalipa nani? Mnataka afungwe?Hakikisha umekopa bank na saccoss ndipo uache kazi
Naomba niambie hii ni lugha gani umeandika, maana sio Kiswahili wala Kiingereza. Sasa wewe kama mwalimu ambaye unajua umuhimu wa kutoa ujumbe ambao utaeleweka kwa unaowapa taarifa, unaandika lugha isiyoeleweka hivyo, je watoto wetu utawafundisha nini.? Naomba jirekebishe hata unapoenda unaweza kuja kuandika andiko muhimu la biashara ukaandika lugha kama hii, ukanyimwa ukaona kuna wachawi kumbe ni wewe mwenyewe. Mwandiko huo unafanya uonekane hauko makini.Ila ingependeza ukarekebisha wapi kweny uandishi nmekosea nammi nkajifunza kutoka kwako
Jipange kwangu, baadae achana na utumwa wa kuajiriwa serikalini. Ungekuwa na miaka >55 ningekwambia mara moja achana na maisha ya utumwa lakini kwa vile bado usiache kwanza
No - miaka 55 mtu hajazeeka kiasi kwamba hawezi kusimamia project yake for the next ten years, baada ya hapo atakuwa 65, anasubiri miaka mingine 5, kabla hajaenda kuhukumiwa kwa matendo yake ya hapa dunianiMiaka 55 unamshaur aache kazi anakwenda kufanya nini? Yaani saiv ana nguv unamwambia asiache akizeeka ndo aache huuu utani mkubwa sana
No - miaka 55 mtu hajazeeka kiasi kwamba hawezi kusimamia project yake for the next ten years, baada ya hapo atakuwa 65, anasubiri miaka mingine 5, kabla hajaenda kuhukumiwa kwa matendo yake ya hapa duniani
Mkuu siku hizi hata utokaji wa pombe umekuwa magumu sanaUkiishi katika uoga hakika hautafanikiwa katika Maisha haya.
uoga ni adui mkubwa wa mafanikio.
Pia ujinga ni kung'ang'ana na kitu ambacho hakikunufaishi wala kukuletea mfanikio yoyote.
Fikiria umefanya kazi 5yrs but hauna hata nyumba wala gari.
Maisha yako kila kukisha yanazidi kuwa magumu sana.
But unazidi kung'ang'ana hukohuko. Huo ni ujinga mkubwa sana. Njoo tufanye ujasiriamali mkuu.
utateseka mwaka mmoja ila after 3ys utakuwa Tajiri mkubwa sana mwenye kipato kizuri sana.
Wekeza katika mambo madogo madogo mfano mradi wa chips, mgawahawa , sehemu ya kuuza pombe pamoja na kitimoto , ukumbi wa kuangalia mpira etc uone utakavyokuwa uaningiza hela mpaka utajuta kupoteza muda huko uliko.
Pole sana mkuu, ningekushauri kabla ya kuacha uwe umeshaimarisha kipato chako na una njia nyingine mbadala ama sivyo utaitesa familia yako na wewe mwenyew
Fear of uknown.Usiache kazi maisha ni mtihani, haujui ya kesho!!
okay. Sina muda wa kubishana.Mkuu siku hizi hata utokaji wa pombe umekuwa magumu sana
We nmekusamehe bure mkuu!Naomba niambie hii ni lugha gani umeandika, maana sio Kiswahili wala Kiingereza. Sasa wewe kama mwalimu ambaye unajua umuhimu wa kutoa ujumbe ambao utaeleweka kwa unaowapa taarifa, unaandika lugha isiyoeleweka hivyo, je watoto wetu utawafundisha nini.? Naomba jirekebishe hata unapoenda unaweza kuja kuandika andiko muhimu la biashara ukaandika lugha kama hii, ukanyimwa ukaona kuna wachawi kumbe ni wewe mwenyewe. Mwandiko huo unafanya uonekane hauko makini.
Habari wakuu wote wa jf
nawapenda sana hasa kwa mambo mazur nnayopata
Mmi ni mtumishi wa serikali kada ya elimu (mwl)
Sababu hasa ni hizi
1.interest au hob
Kiukweli hii kazi siipendi niliisomea bada ya kuwa sina otenative najitaidi niikubali but inashindikana so naona kama napoteza muda
2.kipato
Najua kuwa watumishi weng hasa awamu hii ya 5 weng wanalalamika hali ya uchumi but mmi naona hii yangu ni too much
Kiukweli najitahidi sana kujibana ila naona nashindwa, nashindwa kufanya hata mambo ya kawaida tu nikiwa kama baba natamani familiar yangu angalau iishi standard hata kias tu but huku nliko naona kama ndoto
Yan labda uwe mzee wa topup jambo ambalo naona pia ntaongeza ufukara mana ukiisha ndo utataabika kama nnavyoona wengine
Lengo la uzi huu ci kuwatangazia msimamo wangu bali ni kuwaomba wale ambao walishachukua maamuzi kama yangu au wanaotarajia hivyo waendlee kunipa moyo pia wote ambao watakua na wasaa basi wanisaidie kimawazo nifkie lengo langu
Naomba kuwaslisha
NB: Pls nmejitaidi kutumia lugha nzuri naomba bro o sister kama unanishaur bas lugha iwe ya kunielewesha isiwe ya kebehi au kunitusi kwan kuyaheshimu maamuzi ya mtu ni jambo la busara
Sio lazima. Kuacha ni kuacha tu. Anaweza acha akiwa na zero ground na bado akatoboa.Mkuu wenzako wanaacha kazi wakiwa tiyari wana mitaji mizuri ama tiyari wame shafungua njia nyingine za vyanzo vya mapato we umejipangaje.
Pasi ndefu utaziweza mkuu? Siku ukikosa mkate. Maana kama ukiacha na ukiwa huna shughuli mtaani si lelema mkuu.
Wewe sasa yeye ni yeye, hapo ndo tunapo kosea kwamba kwa sababu fulani alifeli basi na wewe utafeliKama hujajipanga nakushaur usipige chini mzigo ndugu yangu maisha ya kitaa Ni magumu kushinda unavyodhani
Mm Ni muhanga wa hayo nilipiga chini Kaz katika utawala wa mzee wa msoga na nikiwa na salary nzuri tu ya kuish mjini na kufanya mambo yangu mengne lakin nilikuwa sina ndoto za kuwa mwajiriwa.
Wakat natoka nilihakikisha kabisa Nina salio la kutosha la kuishi ndani ya miez sita bila bugza yeyote hapo nikaweza
Nilipotoka sikufanya ajiz ila smartphone yangu ikanipa Kaz nch moja huko ulaya japo sikukaa saana kutokana na ubaguz nikarud bongo then nika set connection zangu nikasepa Tena mbele kwa kupata kampun moja ambayo nishamaliza mkataba nayo
Ila cha msing kama hauna connection yeyote ile usije ukaacha Kaz tu jipange Kwanza
Na usiwaze haya mashirika kama Ni mvivu aisee kuvunjiwa mkataba Ni rahis sana
Pigana baba Kwanza
Sio lazima. Kuacha ni kuacha tu. Anaweza acha akiwa na zero ground na bado akatoboa.
Uoga ndo unao tutuma hivyo hakuna kingine