Naacha kazi serikalini

A

abuunadya

Member
Joined
Apr 20, 2019
Messages
55
Points
125
A

abuunadya

Member
Joined Apr 20, 2019
55 125
Habari wakuu wote wa jf
nawapenda sana hasa kwa mambo mazur nnayopata
Mmi ni mtumishi wa serikali kada ya elimu (mwl)

Sababu hasa ni hizi
1.interest au hob
Kiukweli hii kazi siipendi niliisomea bada ya kuwa sina otenative najitaidi niikubali but inashindikana so naona kama napoteza muda

2.kipato
Najua kuwa watumishi weng hasa awamu hii ya 5 weng wanalalamika hali ya uchumi but mmi naona hii yangu ni too much

Kiukweli najitahidi sana kujibana ila naona nashindwa, nashindwa kufanya hata mambo ya kawaida tu nikiwa kama baba natamani familiar yangu angalau iishi standard hata kias tu but huku nliko naona kama ndoto
Yan labda uwe mzee wa topup jambo ambalo naona pia ntaongeza ufukara mana ukiisha ndo utataabika kama nnavyoona wengine

Lengo la uzi huu ci kuwatangazia msimamo wangu bali ni kuwaomba wale ambao walishachukua maamuzi kama yangu au wanaotarajia hivyo waendlee kunipa moyo pia wote ambao watakua na wasaa basi wanisaidie kimawazo nifkie lengo langu

Naomba kuwaslisha

NB: Pls nmejitaidi kutumia lugha nzuri naomba bro o sister kama unanishaur bas lugha iwe ya kunielewesha isiwe ya kebehi au kunitusi kwan kuyaheshimu maamuzi ya mtu ni jambo la busara
 
KANYIMBI

KANYIMBI

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Messages
442
Points
250
KANYIMBI

KANYIMBI

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2011
442 250
Kufanya kazi usiyoipenda ni sawa na kujipotezea muda tu. Pia usiishi kwa kutegemea mshahara tu utaitesa bure familia yako na kilasiku utakuwa mtu wa kukopa unga dukani kwa mangi. Huko ulipo watu wanapatumia kwa ajili ya kujipatia dhamana ya kupata mkopo na kufanya mishe zingine.
 
Sanchez magoli

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2015
Messages
2,956
Points
2,000
Sanchez magoli

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2015
2,956 2,000
Mkuu wenzako wanaacha kazi wakiwa tiyari wana mitaji mizuri ama tiyari wame shafungua njia nyingine za vyanzo vya mapato we umejipangaje.

Pasi ndefu utaziweza mkuu? Siku ukikosa mkate. Maana kama ukiacha na ukiwa huna shughuli mtaani si lelema mkuu.
 
M

mysterio

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Messages
2,683
Points
2,000
M

mysterio

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2011
2,683 2,000
Jipange kwangu, baadae achana na utumwa wa kuajiriwa serikalini. Ungekuwa na miaka >55 ningekwambia mara moja achana na maisha ya utumwa lakini kwa vile bado usiache kwanza
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
95,898
Points
2,000
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
95,898 2,000
Usikurupuke kama hujajiandaa vya kutosha. Kitaani kumenuna ile mbaya utaadhirika.

Habari wakuu wote wa jf
nawapenda sana hasa kwa mambo mazur nnayopata
Mmi ni mtumishi wa serikali kada ya elimu (mwl)

Sababu hasa ni hizi
1.interest au hob
Kiukweli hii kazi siipendi niliisomea bada ya kuwa sina otenative najitaidi niikubali but inashindikana so naona kama napoteza muda

2.kipato
Najua kuwa watumishi weng hasa awamu hii ya 5 weng wanalalamika hali ya uchumi but mmi naona hii yangu ni too much

Kiukweli najitahidi sana kujibana ila naona nashindwa, nashindwa kufanya hata mambo ya kawaida tu nikiwa kama baba natamani familiar yangu angalau iishi standard hata kias tu but huku nliko naona kama ndoto
Yan labda uwe mzee wa topup jambo ambalo naona pia ntaongeza ufukara mana ukiisha ndo utataabika kama nnavyoona wengine

Lengo la uzi huu ci kuwatangazia msimamo wangu bali ni kuwaomba wale ambao walishachukua maamuzi kama yangu au wanaotarajia hivyo waendlee kunipa moyo pia wote ambao watakua na wasaa basi wanisaidie kimawazo nifkie lengo langu

Naomba kuwaslisha

NB: Pls nmejitaidi kutumia lugha nzuri naomba bro o sister kama unanishaur bas lugha iwe ya kunielewesha isiwe ya kebehi au kunitusi kwan kuyaheshimu maamuzi ya mtu ni jambo la busara
 
J

J.wawatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Messages
239
Points
500
J

J.wawatu

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2013
239 500
Naona wengi mliorudishwa kufundisha shule za msingi mmepagawa sana!
Punguza stress wape madogo elimu kwani mshahara si ulele uliotoka nawo secondary!
 
A

abuunadya

Member
Joined
Apr 20, 2019
Messages
55
Points
125
A

abuunadya

Member
Joined Apr 20, 2019
55 125
Kidogo nna experience ya ujasiria mali coz hata wakati naenda kweny ajiara nlitoka kwenye biashara ambayo nlishaiona inaangalau afadhali ya Maisha so nataka nirudi kulekule
Umepanga ukiacha kazi hiyo ujishughulishe na mambo (kazi) gani ya kukuingizia kipato chako??
 
Pyaar

Pyaar

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2018
Messages
13,960
Points
2,000
Pyaar

Pyaar

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2018
13,960 2,000
Kabla hujaacha kazi hakikisha una mhimili wa kukuwezesha wewe na familia yako kusurvive.. Baada ya kujihakikishia hilo piga chini kacharike kivingine.

Bila kuzingatia hilo utazikumbuka zile 500 ulizokuwa ukizipata nwisho wa mwezi.
 
A

abuunadya

Member
Joined
Apr 20, 2019
Messages
55
Points
125
A

abuunadya

Member
Joined Apr 20, 2019
55 125
Thx sana
Kabla hujaacha kazi hakikisha una mhimili wa kukuwezesha wewe na familia yako kusurvive.. Baada ya kujihakikishia hilo piga chini kacharike kivingine.

Bila kuzingatia hilo utazikumbuka zile 500 ulizokuwa ukizipata nwisho wa mwezi.
 
Forum statistics

Threads 1,325,448
Members 509,127
Posts 32,192,776
Top