Mzee wa Upako amchana live TB joshua

Lakini Yesu tunaye msoma kwenye Bible alikuwa hatoi huduma ambayo ni Money oriented mfano kuuza Annointed Oil.... Fikiria Chukua Hatua.

Ni kwel Yesu alikuwa hatoi huduma ambayo ni money oriented but kumbuka zile anointing oil and anointing water TB Joshua ananunua na anapark ktk chupa na anasafirisha...so ulitegemea zigaiwe bure??hyo Huduma ingekuwepo had Leo??kumbuka dunia ya sasa bila pesa huwez kufanikisha kitu..
 
Dini nazo zimekuwa kama biashara za wamachinga unajichagulia tu saizi yako
 
Kwa mtazamo wangu naamini si busara kwa mtumishi wa Mungu hasa mwenye hadhi km ya Lusekelo kuacha kufafanua neno la Mungu na kurukia kukashifu huduma ya mwingine tena kwa kumtaja jina au kuongea kwa namna ambayo kila mtu ataelewa anayesemwa ni nani.Hivi Yesu angekuwa hapa dunian angefanya hivyo? Mbona watu km kina Mwakasege hatusikii wakipoteza muda kuponda wengine? YESU yu karibu sana watumishi kuweni makini hayo ni matumizi mabaya ya madhabahu na mtatoa hesabu.
 
Lusekelo kapotea njia, alishazoe kuwaponda wahubiri njaa wenzake lakin nasema kwa TBJ kagonga mwamba, na uzuri nachompendea TBJ ni kuwa hajibugi pumba za wachungaj mandazi kama hawa.

LET LOVE LEAD......
 
Hata Yesu aliambiwa kama yeye ni mtoto wa Mungu ajiokoe pale msalabani

One might ask why a nation like Nigeria that has a world class Prophet like T.B Joshua and other great Men of God known worldwide continue to experience bombings and killings of all sort, perpetrated by some extremist group in their country?,

Why can’t God use T.B Joshua to end the crisis in his own land
just as HE has been using the Prophet to do greater things in the life of many and other nations all over the world?But let us not be quick to forget that since the start of the present crisis in Nigeria, T.B Joshua has remained persistent in exposing the mind of God concerning the situation of terror presently facing the nation.

Prophet T.B Joshua has continued to advice the nation on how to handle the Boko-Haram crisis for peace to return to the land but, unfortunately, those in the higher authorities in the country, neither take him, his advices nor his prophetic declaration serious;all of his words where ignored and swept under the carpet.

It was in Prophet Elisha’s reign that there was a great famine in Samaria, where Parents were using their Sons for meal to survive and yet, Elisha could not do anything about it until the king recognized the God of Elisha (2King6). When a nation ignores Gods voice, such nation will keep on prolonging her crisis and keep fighting the wrong battle that may even consume them at the end.

In a battle of warfare everyone has his or her own role to play, the Prophet can’t do what is meant for the Soldier likewise, the Soldier cant do what is meant for the Prophet. The Crisis in Nigeria is a battle between light and darkness, you cannot fight darkness with darkness, you need light to fight darkness and this is why the nation needs to seek counsel from the Prophet to handle their present situation.

The killing and arrest of key leaders of the Boko-Haram sect and other extremist group will not guarantee the end of terrorism and militancy in Nigeria; only peaceful negotiation and Gods intervention can stop this act of terror in Nigeria. Let the leaders be united, throw sentiment away and seek for counsel from the Prophet; never say we are in a modern world and Prophets are not needed.

The God who raised a Prophet like T.B Joshua in this modern age has reasons for doing so; and the Prophet has shown his genuine willingness to help the nation.
The nation should take note that most of those International nations fighting terrorists and advocating for no negotiation with terrorists; are not fighting this extremist group in their own soil, neither are they fighting them in their territory and also, the terrorist they are fighting are not their citizens but foreigners.But the Nigeria case is a fight between the Government and some group of citizens brainwashed to fight their people due to some unclear motives. And the Government should not close its eyes to the fact that some of the politicians and security personnel are Sympathetic to this extremist group which is also very dangerous to the territorial integrity of the nation if immediate actions are not taking to invite all parties involved to a negotiation table to end the act of terror.

The more a nation ignores God’s instructions, the more the evil plans of the devil will continue to strive in that Land. First get the terrorist to drop their arms through a peaceful negotiation and God will take control of the rest. God loves sinners but hates sin; that is, He loves thieves, killers, homosexuals, kidnappers and terrorists but hates the spirit behind their misconduct. The battle is not a fight against flesh and blood but evil spirits therefore; our neighbors are not the enemies but evil spirit.
 
Nakumbuka kuna kipind bungen iliendaga hoja binafsi pale bungeni ya makanisa kufanyiwa auditing huyu bwana wa upako alikuwaga wa kwanza kung'aka...!! Mleta hoja alikua anawashtua shtua naona
 
huwa akishamaliza kuwapa "neno la mungu"kama hilo anamalizia kwa,yeee!yeeee!yeeee!yeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!nani mwenye laki hapo nimpige maombi mwezi ujao ananunua gari mpya sio mtumba.Utawaona kondoo wanasogea machinjioni fasta
 
Poleni sana wadanganyika tena kuna wengi wamemaliza kusali makanisa yote ya kiroho hapa mjini na Vila kufanikisha lolote hata ulaya hawajaenda kama yule mama anavyowahaidi mwisho wanarudi tena kule walikoasi nasi bila hiyana tunawapokea tu.
 
Kama kweli Mzee wa Upako uliyasema hayo; weye una matatizo tayari. Kwanza, hujielewi wala hujawahi kumwelewa Mungu anavyotenda kazi yake.
Kama unalijua hilo, lazima ujue kuwa Mungu humfunulia Nabii wake kama apendavyo Yeye Mungu wala si kama atakavyo Nabii.
Kuhusu Boko Haram, Mungu amewaweka wawe jiwe la kujisugulia. Makusudi ya Mungu nani awezaye kumwuliza lolote? Anajua Boko Haram wapo na anaujua mwisho wao. Kila jambo kwa wakati wake na kila kusudi kwa wakati wake pia.
Chukulia hili jambo kama nafasi yako ya kujipatia upako wa kweli kweli kwa kumwomba Mungu akufunulie walipo hao watoto walio tekwa kinyume na mapenzi yao.
Mungu akikuonesha weye, si upakao wako utakuwa umezidi zaidi ya TB Joshua?? Nani hataki kujulikana Bahnaa?? Ila kama huna huo upako, basi ni kweli sasa umezeeka. Fumba kinywa usiwazomee watumishi wa Mungu aliye hai.
Weye si saizi ya TB Joshua wala huthubutu kujipima naye wala kutokufunuliwa kwake walipo mateka hakumfanyi kuwa si nabii
 
Mimi binafsi ni mesikitishwa na haya niliyo ya soma kwenye uzi uhu wa rev lusekelo juu ya kumkashifu prophet joshua, labda ni weke andiko kutoka kitabu cha [1wakorinto12:4>11] naomba tusome kwa makina maneno haya: >>>> [4] basi pana tofauti za karama: Bali roho ni yeye yule, [5] tena pana tofauti za huduma,na bwana ni yeye yule. [6] kisha pana tofauti za kutenda kazi,bali mungu ni yeye yule azitendaye kazi zote katika wote.[7] lakini kila mmoja hupewa ufunuo wa roho kwa kufaidiana.[8] maana mtu mmoja kwa roho apewa neno la hekima na mwingine neno la maarifa,apendavyo roho yeye yule: [9] mwingine imani katika roho yeye yule:na mwingine karama za kuponya katika roho yule mmoja: [10] na mwingine matendo ya miujiza:na mwingine unabii:na mwingine kupambanua roho:mwingine aina za lugha:na mwingine tafsiri za lugha [11] lakini kazi hizi zote huzitenda roho huyo mmoja,yeye yule,akimgawia kila mtu kama apendavyo yeye: Mwisho wa kunukuu: Sasa ni vyema watumishi wa mungu waka zitumia madhabau vizuri maana watatoa hesabu mbele za mwenye madhabau ambaye ni bwana wangu yesu, wewe mtumishi mwenye kumnyooshea kidole mwenzako je yesu alikupa huduma ya kuibomoa huduma ya mtumishi mwenzako? Au kuhubiri habari njema? Na kumpiga shetani? Ivi kweli hata shetani siatatucheka? Kwa kushambuliana tena madhabahuni??? Nawasii watumishi wahubiri injili na sio kusemana kama,yesu mwenyewe hakufanya ishara nyingi aliko zaliwa soma [marko 6:1>6] tusi muhukum mtu sababu ya boko haram!!!!! Hikiwa serikali yake haiamini mungu yeye awalazimishe???? Mungu ni mungu wa utaratibu wala mungu haku lazimishi umwamini ila ni uamuzi wako kumwamini au kuto mwamini, nakuto kumwamini kuna asara zake, ni vyema kunyamaza kuliko kupingana na mungu, [2timotheo3:1>5] >>> lakini ufahamu neno hili kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari:maana watu watakua wenye kujipenda wenyewe,wenye kupenda fedha,wenye kujisifu wenye kiburi,wenye kutukana,wasio tii wazazi wao,wasio na shukrani,wasio safi,wasio wapenda wa kwao,wasio takasuluu. Wasingiziaji,wasio jizuia,wakali,wasio penda mema,wasaliti,wakaidi,wenye kujivuna,wapendao anasa kiliko kumpenda mungu,wenye mfano wa utauwa,lakini wakikana nguvu za mungu,hao ujihepushe nao: Wito wangu watumishi tupendane tuache wivu.
 
poleni sana wadanganyika tena kuna wengi wamemaliza kusali makanisa yote ya kiroho hapa mjini na vila kufanikisha lolote hata ulaya hawajaenda kama yule mama anavyowahaidi mwisho wanarudi tena kule walikoasi nasi bila hiyana tunawapokea tu.

labda nikusaidie wewe na wengine wenye kusumbuka utasoma kwa muda wako [ebrania 11:]
 
kwa mtazamo wangu naamini si busara kwa mtumishi wa mungu hasa mwenye hadhi km ya lusekelo kuacha kufafanua neno la mungu na kurukia kukashifu huduma ya mwingine tena kwa kumtaja jina au kuongea kwa namna ambayo kila mtu ataelewa anayesemwa ni nani.hivi yesu angekuwa hapa dunian angefanya hivyo? Mbona watu km kina mwakasege hatusikii wakipoteza muda kuponda wengine? Yesu yu karibu sana watumishi kuweni makini hayo ni matumizi mabaya ya madhabahu na mtatoa hesabu.

ni kweli mkuu,
 
Ni udhaifu kupambana na mtu ambae hana time na wewe. Lusekelo hata hujishtukii! We ndo kila siku unamfatilia Tb, unaangalia tv yake.jiulize kama yeye anajua km unaexist chini ya jua.
 
Back
Top Bottom