Mzee wa Upako amchana live TB joshua

Mzee wa Upako amchana live TB joshua

Nchi hii ina majanga kibao...mara albino dili mara mtoto wa box....na tz ni kinara wa uchawi africa! Huoni km una assignment ya kutosha wewe km mtumishi.yatima kibao, wagonjwa, wafungwa, watoto wa mitaani na makundi mbalimbali yanayoteseka.jifunze bas upendo kwa Tb Joshua mn kila siku anagusa maisha ya wanyonge
 
Katika Misa ja Jumapili kama wiki mbili zilizopita Mzee wa Upako Mch Antony Lusekelo amechukizwa na tabia ya watu wanaojiita manabii, anasema, nashangaa kumsikia mtu akijiita nabii, akiweza kutabiri juu ya ndege ya malaysia Airline kupotea huku akishindwa kutabiri juu ya watoto wasio na hatia waliotekwa na Boko haramu tena kwenye nchi yake mwenyewe.

Anaendelea kusema hebu waangalie matendo makubwa aliyofanya Nabii Elisha, Elisha alikuwa na upako hata wa kuweza kujua kwamba kwa sasa nafatwa na maadui na hata kuwapofoa macho maadui zake.

Mzee wa upako anasema nashangaa kumuona TB Joshua yeye kushindwa kuwashikisha adabu Boko Haramu kama Nabii Elisha alivowashikisha adabu maadui zake.Mzee wa upako anaendelea kusema anachokifanya TB Joshua ni kununua habari hata kabla hazijatoka, kwa kuwapa fedha waandishi wa habari na CIA.

Mimi binafsi Nilikaa chini na kutafakari maneno yake na nimekiri kuwa watu hawa wanaojiita manabii ni wasanii, matendo yao hayafanani na Manabii kama Musa na Elisha lakini najiuliza swali ina mana tumeshindwa kabisa kuelewa usanii huu?, kila kukicha watu wanakimbilia kwa TB Joshua tena wengine wenye elimu kubwa za Masters na PHD lakini wanashindwa kufanya uchambuzi wa mambo hayo.

Karibuni wote tujadiri swala hili.

Huyu sijui Lusekelo hajui maana ya nabii na kazi zake. Sad and shame.
 
Uwongo siku zote haudumu....swali la kujiuliza je mtu huyo mweusi anapesa gani kuwalipa CIA....vilele tujiulize kipindi cha yesu wanafunzi wake waliweza kufufua wafu ( siyo misukule) na kuponya viwete hata km wakuzaliwa nao na aksema yeyeto atayeamini na kuokoa atatoa pepo atafufua wafu swali la msingi wakristo wa ngapi leo wanafufua wafu na kupoza wagonjwa licha yakupewa mamlaka yote au hawajafikia imani yakufanya hayo makubwa zaidi? Au Mungu amewaadhibu kutowapa uwezo wote huo akijua watakuwa viburi na kujitukuza wenyewe.Pia ikumbukwe enzi za elisha na sasa nitofauti hiki ni kizazi cha nyoka
 
Nani alikwambia imani inahusiana PhD au Masters? Elimu yenyewe ya bongo ya vitini na tests??
Shida moja ni kuwa mnatumia ulimwengu wa mwili kwa mambo ya kiroho, hamtakaa muelewe mtaishia kubisha na kukashifu tu. Hivi hujui hata Yesu walimuita msanii nyakati zake? Sasa kama Yesu aliyeponya watu akafufua mpaka wafu walimuita msanii, unachoshangaa kwa TB Joshua ni nini? Hivi huyo mzee wa upako yeye kipi hasa cha kumuamini nacho ikiwa anakashifu watu wanaofanya kazi kama yake? Ni vema kujua, nyakati hizi shetani yuko very busy na wenye tamaa za mali na wavivu wa kufikiri. Nenda kiroho utaelewa ikiwa ni kweli au la.

Sure viongozi wa kiroho wa siku hizi hawataki kukubali fulani mungu amempa neema wamejawa na wivu ikumbukwe kuwa anayetoa unabii hatoi bila kuambiwa na roho mtakatifu km hatajaambiwa atasemaje? Au aseme ya kwake lisipotimua waseme wa uongo.
 
Mzee wa upoko mwizi na nashangaa watu wanaoabudu kwake.
 
katika misa ja jumapili kama wiki mbili zilizopita mzee wa upako mch antony lusekelo amechukizwa na tabia ya watu wanaojiita manabii, anasema, nashangaa kumsikia mtu akijiita nabii, akiweza kutabiri juu ya ndege ya malaysia airline kupotea huku akishindwa kutabiri juu ya watoto wasio na hatia waliotekwa na boko haramu tena kwenye nchi yake mwenyewe.

Anaendelea kusema hebu waangalie matendo makubwa aliyofanya nabii elisha, elisha alikuwa na upako hata wa kuweza kujua kwamba kwa sasa nafatwa na maadui na hata kuwapofoa macho maadui zake.

Mzee wa upako anasema nashangaa kumuona tb joshua yeye kushindwa kuwashikisha adabu boko haramu kama nabii elisha alivowashikisha adabu maadui zake.mzee wa upako anaendelea kusema anachokifanya tb joshua ni kununua habari hata kabla hazijatoka, kwa kuwapa fedha waandishi wa habari na cia.

Mimi binafsi nilikaa chini na kutafakari maneno yake na nimekiri kuwa watu hawa wanaojiita manabii ni wasanii, matendo yao hayafanani na manabii kama musa na elisha lakini najiuliza swali ina mana tumeshindwa kabisa kuelewa usanii huu?, kila kukicha watu wanakimbilia kwa tb joshua tena wengine wenye elimu kubwa za masters na phd lakini wanashindwa kufanya uchambuzi wa mambo hayo.

Karibuni wote tujadiri swala hili.

mzee wa upako anaganga njaa,hawezi kujilinganisha na tb joshua,tb joshua ni ngazi nyingine.mimi mzee wa upako nikikuta anahibiri ktk tv station nazima kabisa hiyo tv.
 
kamwe asijilinganishe na TB JOSHUA,huyo ni mtu mwingine na sio saizi yake hata kidogo.pia nawaomba kila kiongozi wa dini lazima aubiri mambo yanayomhusu,kwa nini anaongelea manabii wengine?lusekelo Fanya yako ya TB JOSHUA hayakuhusu,
 
Hakuna mwenye uwezo wa kiroho wa kuona yanayokuja, wote ni wasanii na wanamtukana Mungu. Miujiza ya kimungu iliisha baada ya wanafunzi wa Yesu kufa, wengine wote baada hapo wanatumia nguvu za shetani kuwahadaa waumini, lengo kuu SADAKA.
 
Lusekelo anamjua TBJ ni nani kiroho na hata ktk maisha ya kawaida wakati TBJ hata hajui Kuwa kuna kiumbe kinaitwa Lusekelo duniani hapa.

-Ukiangalia Emmanuel TV utaona watu wameenda na Kansa, kidonda hakitazamiki, wanaombewa then mtu huyo huyo anakuja kuonyesha kovu, kapona. Pia watu wanaombewa kwa jina la Yesu wanapona magonjwa mbalimbali yaliyoshindikana hospitali.

Kuna kipindi alisaidia vijana kupata ajira ktk makampuni mbalimbali.

TBJ anatoa sponsorship za kimasomo kwa watu wenye uhitaji ila hawana uwezo wanasoma wanamaliza.

Anasaidia wajane, yatima, walemavu, wazee na hata vijana walio ktk makundi hatarishi kama ukahaba au ujambazi anawapa cha kufanya ili waachane na maisha ya upotevuni.

Anatoa utabiri kwa mtu binafsi na kwa mataifa.

Wote wanaomkashifu wangejitahidi wakaangalia Emmanuel TV kwa hakika wataacha kumkashifu mtumishi wa Mungu.

Lusekelo yeye kashafanya lipi la kumfanya akashifu wenzie? Yeye ahubiri waumini wake wamtunze stejini kama mcheza mnanda baaaasi.
 
Ni udhaifu kupambana na mtu ambae hana time na wewe. Lusekelo hata hujishtukii! We ndo kila siku unamfatilia Tb, unaangalia tv yake.jiulize kama yeye anajua km unaexist chini ya jua.

kwini;
Watumishi wa namna hii hawana time ya kusoma biblia bali kuangalia TV za wengine na kupatia ujumbe humo. Mzee wa Upako, ulisoma kitabu gani ukaupata huo ujumbe wa kumshambulia TB Joshua?
Tumekosa maandiko mpaka tukatafute Boko Haram?? Kutokufunuliwa walipo TB Joshua si kwamba Mungu hamtumii. Kwini umesema kweli, hivi Mzee wa Upako, umewahi kujiuliza kama huyo Mtumishi wa Mungu anajua kama weye una exist chini ya jua hili?
Kama upako wako ni mkuu kiasi hicho, Bwana akuoneshe walipo ili TB Joshua akuzimie kwani umeoneshwa yaliyo chini ya pua yake mwenyewe.
 
Katika Misa ja Jumapili kama wiki mbili zilizopita Mzee wa Upako Mch Antony Lusekelo amechukizwa na tabia ya watu wanaojiita manabii, anasema, nashangaa kumsikia mtu akijiita nabii, akiweza kutabiri juu ya ndege ya malaysia Airline kupotea huku akishindwa kutabiri juu ya watoto wasio na hatia waliotekwa na Boko haramu tena kwenye nchi yake mwenyewe.

Anaendelea kusema hebu waangalie matendo makubwa aliyofanya Nabii Elisha, Elisha alikuwa na upako hata wa kuweza kujua kwamba kwa sasa nafatwa na maadui na hata kuwapofoa macho maadui zake.

Mzee wa upako anasema nashangaa kumuona TB Joshua yeye kushindwa kuwashikisha adabu Boko Haramu kama Nabii Elisha alivowashikisha adabu maadui zake.Mzee wa upako anaendelea kusema anachokifanya TB Joshua ni kununua habari hata kabla hazijatoka, kwa kuwapa fedha waandishi wa habari na CIA.

Mimi binafsi Nilikaa chini na kutafakari maneno yake na nimekiri kuwa watu hawa wanaojiita manabii ni wasanii, matendo yao hayafanani na Manabii kama Musa na Elisha lakini najiuliza swali ina mana tumeshindwa kabisa kuelewa usanii huu?, kila kukicha watu wanakimbilia kwa TB Joshua tena wengine wenye elimu kubwa za Masters na PHD lakini wanashindwa kufanya uchambuzi wa mambo hayo.

Karibuni wote tujadiri swala hili.

a good Man never honoured in his home country...!Nabii hakubaliki kwao....!
 
Ni kwel Yesu alikuwa hatoi huduma ambayo ni money oriented but kumbuka zile anointing oil and anointing water TB Joshua ananunua na anapark ktk chupa na anasafirisha...so ulitegemea zigaiwe bure??hyo Huduma ingekuwepo had Leo??kumbuka dunia ya sasa bila pesa huwez kufanikisha kitu..

Mambo yanabadilika na ndio maana Bible inasema wahubirije wasipopelekwa?! Huku kupelekwa ni pamoja na kifedha.Siku hizi kuna hata injili kupitia Tv na Redio, na je hizi zinajiendesha kwa mawe?! Ni pesa inatumika na itaendelea kutumika kupeleka injili
 
Upo sahihi binti sayun nashangaa watu wanaomponda TB Joshua kwa kuuza anointing water wanadhan bla pesa hzo huduma zitaendelea vp????
 
Back
Top Bottom