Mzee wa Upako amchana live TB joshua

Job 1:6-12 One day the angels
came to present themselves
before the LORD, and SATAN
also came with them. 7 The
LORD said to SATAN, "Where
have you come from?" SATAN
answered the LORD, "From
roaming through the earth and
going back and forth in it." Then
the LORD said to SATAN , "Have
you considered my servant Job?
There is no one on earth like
him; he is blameless and
upright, a man who fears God
and shuns EVIL." 9 "Does Job
fear God for nothing?" SATAN
replied. 10 "Have you not put a
hedge around him and his
household and everything he
has? You have blessed the work
of his hands, so that his flocks
and herds are spread
throughout the land. 11 But
stretch out your hand and
strike everything he has, and
he will surely curse you to your
face." 12The LORD said to
SATAN, "Very well, then,
everything he has is in your
hands, but on the man himself
do not lay a finger." Then
SATAN went out from the
presence of the LORD.
 
---- kuna mtu tapeli na hana unyenyekevu hata kwa madhabahu anayodai amemjengea mungu basi ni lusekelo,ameshindwa hata kuonyesha yeye binfsi kua anawajali wengine hasa maskini, ndani ya kanisa lake huku kunamadaraja wanaokaa mbele ni wenyenacho maskini nyuma.maandiko yanasema usimseme vibaya mtumishi wa mungu kwan mungu ndie aliemtuma na atamhuku kwanamna yake.so lusekelo ni mtu wa kashfa na kujiinua akiwepo mimbari alomjengea mungu,nadhani amejisahau sana nakuona anayetenda niYEYE si mungu kituambacho naamini hata hao kina elisha anaowataja hawakua hivyo.jishushe upandishwe lusekelo.joshua marazote anakataa kuwasema viba wengine na nimkarimu na mtoaji wa misaada.vp lusekelo?
 
TB Joshua aneni yatokayo kinywani kwake ila anachoambiwa na roho mtakatifu awezi kukulupuka kama lusekelo au kumjibu lusekelo kwa kuwa lusekelo anaongea anayoambiwa na mkwewe.roho wa MUNGU ni tofauti na roho wa shetani.TB JOSHUA ajahambiwa haongee kuusu boko haramu pindi roho wa MUNGU atakapo mruhusu ataongea.hata manabii wa zamani walikuwa wanahamlishwa na roho wa MUNGU na si kwa matakwa yao na pindi waombapo shida fulani uongozwa na roho jinsi ya kufanikishwa.upayukaji wa lusekelo ni wa kibinadamu yeye aongozwi na roho wa MUNGU na roho wa MUNGU awezi kuongea maneno ya kukashifu hapo ni pepo mchafu alimwingia anene hayo


Nakihurumia sana Kiswahili ulichokibomoa hapo!
 
Aliapa kuwa mvukubwa ingerudikunyesh n kuleta mafhara kama yale ya 2012 angeacha uchungaji sijajua kauli yake kweny mafuriko ya hivi majuzi
 
yeye mwenyewe anajiitaje na kumdharau mwenzake kwa kejeli hii: Mimi binafsi Nilikaa chini na kutafakari maneno yake na nimekiri kuwa watu hawa wanaojiita manabii ni wasanii, matendo yao hayafanani na Manabii kama Musa na Elisha lakini najiuliza swali ina mana tumeshindwa kabisa kuelewa usanii huu?, kila kukicha watu wanakimbilia kwa TB Joshua tena wengine wenye elimu kubwa za Masters na PHD lakini wanashindwa kufanya uchambuzi wa mambo hayo.
 
yeye mwenyewe yuko ukingoni anaondoka taratibu kwa kujiosha huku akiwasema wengine vibaya kweli nyani haoni.............
halafu yeye mwenyewe alikwenda huko kuchukua upako wa kiuzee alionao leo anaona hakufai hukko kweli nimeamini kuwa................
 
"Usihukumu usije ukahukumiwa" Hakuna kitu Lusekelo anachonisikitisha kama kusema watumishi wengine vibaya hasa TB Joshua.
Kama TBJ ni msanii Lusekelo amwache Mungu ni wa haki atajua jinsi ya kushughulika naye.
Yeye sio Mungu hata ahukumu wenzie.
 
Ohooooo imekuwaje tena watumishi wa kizazi cha mwisho wanatoleana siri?? Saa ya kumuona mwana wa Adamu imekaribia OLE wao manabii na wachungaji waongo.
 
Mbona ye hajatabiriii kazidiwa pesa na lijoshua tu akazane nae kuibia misukule
 
Kuna kiongozi mmoja aliwahi kusema kua watu wa nchi yake wana wivu wa kike kabisa.......wivu tu unamsumbua.
 
Ukiona mtumishi wa Mungu anaacha kufanya kazi yake ya msingi ambayo ni kueneza neno la Mungu; na badala yake anaongelea na kukosoa watumishi wengine muogope kuliko njaa…

Ni kweli kabisa ndugu, yani nimekua nikimsikiliza tb joshua, sikuwahi kumsikia akikashifu mtumishi yoyote wa Mungu au kujibu mashambulizi anayoyapata toka sehemu mbalimbali. Ana hekima ya ajabu sana mtu huyu.
 
Wache wafu wazike wafu wenzi wao........ sisi yetu macho maana tukisema tusije pigwa ban buree na JF twaipenda...... maana sisi twajua mtume wa mwisho ni nani hawa wengine ........opppssss nimeropoka tena
 
Back
Top Bottom