Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 45,632
- 135,671
My Take
Wakiambiwa wao ni vibaraka wa Mabeberu wanabisha ila utaona tuu Mabeberu wanavyowapigania na kuwapa platform ya kuyumbisha Nchi Kwa jina la Demokrasia,Haki za binadamu kumbe wanataka watuuze
View: https://www.instagram.com/reel/Dck84CJOSAv/?igsi=cGMxeWFxdG0wNnZ4
Amechagua njia mbaya sana ya kupita huyu mzee.