Mzee Butiku : CHADEMA Wanafadhiliwa na "Mabeberu "

Nyerere huko aliko anaona aibu sana kulea mtu kama huyu ambae amekuja kugeuka kabisa
 
Bajeti ya Tanzania kwa karibu 60 percent inatoka kwa wazungu Hilo siyo baya Wala siyo kutuuza
Chadema ndo nongwa
Uchawa mbaya sana
Dogo wewe uko nyuma sana ya taarifa za sasa. Nikusaidie kidogo; Bajeti ya Tanzania kwa mwaka 2026/2027 ni shilingi za Kitanzania Trillion 62.33. Kati ya hizo, Misaada na Mikopo toka nje ya nchi ni shilingi za Kitanzania Trillion 9.3 sawa na asilimia 15.3. Upo Dogo?

Kwa pesa kidogo za misaada na mikopo hata tukizikosa bado nchi itaenda na maendeleo yatakuwepo. Na Kuna ushahidi mwingi tu hata hiyo misaada na mikopo haijawahi kufikia asilimia 100/= kwa mwaka wa fedha husika na nchi inaenda!
 
My Take
Wakiambiwa wao ni vibaraka wa Mabeberu wanabisha ila utaona tuu Mabeberu wanavyowapigania na kuwapa platform ya kuyumbisha Nchi Kwa jina la Demokrasia,Haki za binadamu kumbe wanataka watuuze

View: https://www.instagram.com/reel/DcmCPisMwdO/?igsi=MWJrZXVlNzFqYmlodQ==

"Mabeberu ni kina na ni?
Hao Hao wanaofundisha jeshi lenu? Kuwa pa, misaada ya afya!?
Chadema wanapewa pesa na, wazungu, America, UK, ulaya, sawa, serikali ya, ccm inapokea misaada ya fedha, kutoka US, UK, ulaya! So what is this, pesa ikitoka kwa, mzungu kwenda kwa, chadema ni mbaya, ila, ikija kwa ccm ni, sawa! Hakuna tofauti ya ccm na serikali, wote ni wale wale, jeshi la, polisi ni ccm, Zelote Stephen alikuwa RPC Dodoma, alipostaafu akawa mwenye kiti wa ccm kigoma!
Wizi, wa, EPa, Richmond, ufisadi kila Kona unafanywa, na, ccm, ccm ndio wanafukarisha hii nchi, kama hao mabeberu ni wabaya, kwa nini mnaenda huko kuomba mtambuliwe, mpewe misaada,? Fungeni balozi, zote za, Ulaya, na, America, acheni za, china na nchi za kikomunist!
Huyu mzee at a kuwa, kichwa limejaa makamasi matupu, pesa zote anazopokea chadema zipo bongo, hajonyesha ushahidi kama zinatumika vibaya! Anaongea kama makende
 
Huyu mzee ni wahovyo tena saana kabisa! Aliitumia imani ya Watanzania kwa Baba wa taifa kwa maslahi binafsi kabisa! Anacho kufanya, anajua ni uongo anasema, lkn anausema iki kujaribu kufukia damu za vijana zilizo mwagika Mo29!

Mzee kumbuka, kiasili wewe haupo mbali na safari ya kwenda kukutana na Mungu, sasa ingekuwa ni heri tu ukatibu!
Je wanna kwamba kwa hicho kitendo chako, kisheria uneshiriki 100% ktk mauaji hayo?
 
Kati ya huyo Mzee na nyie mliowadanganya hao Vijana nani ni WA hovyo anatakiwa kushitakiwa?
 
"Mabeberu ni kina na ni?
Hao Hao wanaofundisha jeshi lenu? Kuwa pa, misaada ya afya!?
Chadema wanapewa pesa na, wazungu, America, UK, ulaya, sawa, serikali ya, ccm inapokea misaada ya fedha, kutoka US, UK, ulaya! So what is this, pesa ikitoka kwa, mzungu kwenda kwa, chadema ni mbaya, ila, ikija kwa ccm ni, sawa! Hakuna tofauti ya ccm na serikali, wote ni wale wale, jeshi la, polisi ni ccm, Zelote Stephen alikuwa RPC Dodoma, alipostaafu akawa mwenye kiti wa ccm kigoma!
Wizi, wa, EPa, Richmond, ufisadi kila Kona unafanywa, na, ccm, ccm ndio wanafukarisha hii nchi, kama hao mabeberu ni wabaya, kwa nini mnaenda huko kuomba mtambuliwe, mpewe misaada,? Fungeni balozi, zote za, Ulaya, na, America, acheni za, china na nchi za kikomunist!
Huyu mzee at a kuwa, kichwa limejaa makamasi matupu, pesa zote anazopokea chadema zipo bongo, hajonyesha ushahidi kama zinatumika vibaya! Anaongea kama makende
Misaada ya kiserikali sio sawa na misaada ya kufadhili Vyama.
 
Back
Top Bottom