butiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku ni mnafiki, anasema Lissu hawezi kuachiwa kwa amri ya rais wakati fisadi Harbinder Seth na mwenzake waliachiwa kwa amri ya Rais

    Huyu mzee huenda kweli alimuuza Polepole akatekwa. Tulishuhudia baada ya Magufuli kufa Mafisadi papa wa CCM wakaachiwa kwa amri ya rais. Leo huyu mzee analeta porojo👇
  2. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo John Heche ameitisha Press ili kumjibu Mzee Butiku, CHADEMA ina wahuni wengi sana

    Nani asiyejua kuwa chadema wanapokea Hela za mabeberu ili kuhujumu ustawi wa Tanzania na Bara la Africa? Heche kumjibu Mzee Butiku ni kumkosea heshima Mzee wetu. ni vema akakiri wazi kuwa wanapokea Hela kutoka kwa mabebeb na mm naweka USHAHIDI hapa wa chadema kupokea Hela kutoka kwa mabeberu
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwasasa Wazee Makini wa Taifa, Wameamua Kujitenga na BUTIKU. Unafiki wa BUTIKU, umemfanya abakia kuitwa nà Jambo TV, TBC !!

    Siku hiI Mzee BUTIKU, HATA akija na kamkutamo kake, Wazee Makini hawaonekani, wanamuacha apambane na Unafiki wake. Kwa upande wa pili, Kwenye Mikutano inayohusu Wazee wenye Akili, Mzee BUTIKU haalikwi !!. BUTIKU kajipotezea sana Heshima yake !!. Kwa msiowafaham Wazanaki, Wazanaki ni watu wa...
  4. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku : CHADEMA Wanafadhiliwa na "Mabeberu "

    My Take Wakiambiwa wao ni vibaraka wa Mabeberu wanabisha ila utaona tuu Mabeberu wanavyowapigania na kuwapa platform ya kuyumbisha Nchi Kwa jina la Demokrasia,Haki za binadamu kumbe wanataka watuuze https://www.instagram.com/reel/DcmCPisMwdO/?igsi=MWJrZXVlNzFqYmlodQ==
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe Mzee Butiku alikuwa anamkubali Nchimbi?

    Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa Agosti 26, 2026 na M & S Podcast, alipoulizwa ni mwanasiasa gani anamkubali akamtaja aliyekuwa Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi Mzee Butiku amesema kama...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Butiku: Viongozi wote wa Zanzibar walikuwa wanamuunga mkono Seif kulinda Zanzibar ila Tanganyika mambo yao yote wameyaweka kwenye muungano

    Mzee Butiku anasema kwenye Ile tume ya katiba walipowahoji viongozi wote wa Zanzibar walionyesha kuwa na uchungu sana na nchi Yao na hapo viongozi wote walikuwa wanakubaliana na maalim Seif. Kwa upande wa bara wao mambo yao yote wamesalimisha kwenye muungano. Amesema hayo akihojiwa na mtaalamu...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku: CCM na vyama vingine sio serikali muwe na mipaka

    Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema vyama vya siasa sio Serikali na wawe na mipaka kikiwemo CCM Kuhusu tofauti kati ya chama na serikali katika maamuzi: "...opposition siku hizi utadhani ni serikali lakini ni vyama vyama sio...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku: CCM hawaamini kuna siku Watanzania watawaacha

    Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema anaamini kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza kupoteza uelewa wa nafasi yake kama chama kinachoongoza serikali, huku akidai kuwa baadhi ya sera zake zimeanza kuachwa. Akizungumza kwenye...
  9. Msanii

    JamiiForums Tanzania Je Mzee Butiku anastahili heshima?

    Nimemsikiliza mzee Butiku hivi karibuni akiwataka vijana kupuuza ushauri wa wanasiasa wanaodai Haki, Uwajibikaji na Katiba ya Wananchi (anaouita ni ushauri potoshi), badala yake anawaasa vijana kumsikiliza na kumheshimu Samia ambaye yeye anasema ANA NIA NJEMA. Huyu mzee Butiku. Anastahili...
  10. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mzee Joseph Butiku, Respect is not granted like a cake on the plate. Respect for public leaders is earned!!

    Wazee kama hawa wanatukosea sana vijana. Tukiwakosoa, wanatuona hatuna adabu wala heshima kitu ambacho sio kweli kwa sbb wao ndio wakekosa kujiheheshimu ili na jamii iwape heshima yao.. Laiti angejua kuwa heshima hapewi mtu kwa sababu tu ya umri wake au cheo chake, basi asingeweza kutoa...
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Warioba Joseph Butiku amelazwa ICU. Ni rafiki wa Polepole

    Tangu tuhuma ziripotiwe za kuhusika katika kupotea kwa Balozi Humprey Polepole, Mzee Butiku hana Amani kabisa na tangu hapo nahisi Presha ilipanda. Sasa kalazwa ICU Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(Kwangwa) huko Mara. Kama anajua aliyehusika kumteka Polepole, asiache...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Butiku na Wazee wenzake wa Ovyo, hawajataja Hatua kwa Walioua, wanaoteka Watanzania , hawasemi walotekwa waachiwe, Akina Lissu

    Mzee Butiku na Genge lako la Wazee wahuni huni ,Wazee wa Hovyo, tuliwakataa kitambo sana.
  13. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku: Watanzania tujitathmini kwa utulivu baada ya vurugu za Oktoba 2025

    Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), imewataka Watanzania kuendelea kushikamana na misingi ya Taifa, hususan katika kipindi hiki ambacho nchi inatafakari matukio ya vurugu za Oktoba 29, 2025 kupitia Tume iliyoundwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Hayo yameelezwa jijini Dar es Salaam leo, Alhamisi...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Butiku: Yaliyotokea Oktoba 29 yametuachia doa la aibu, majirani wanasikitika pamoja na sisi

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema kuwa katika siku za hivi karibuni Tanzania imepitia kipindi kigumu kilichosababisha taifa kutetereka, lakini halikuanguka. Akizungumza leo Januari 22, 2026 wakati wa kufungua mkutano wa Taasisi ya Mwalimu...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku asitisha Mkutano wake na Wazee kuwa mubashara

    Akizungumza leo Januari 22, 2026 katika Mkutanao na wazee wa jiji la Dar es Salaam, Mzee Butiku amesitisha mkutano huo kurushwa mubashara akiwataka waaandishi wa habari kuwapisha na kwamba watarejea baadae kusikiliza maazimio ya mkutano huo.
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku na Wazee Wakizungumza Juu ya Haki, Umoja na Amani Kwa Watanzania Muda Huu

    https://www.youtube.com/live/C6io6iky7I0
  17. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Butiku na Wazee uliopangwa kufanyika leo (Januari 22, 2026), je, utafanyika au utakumbana na figisu?

    Mzee Butiku aliitisha mkutano na wazee kutoka kada mbalimbali kushiriki mazungumzo yanayoweza kuchochea mawazo ya kuondoa mkwamo wa kisiasa uliopo nchini. Katika mkutano wake na waandishi wa habari (press conference), alizungumza mambo mbalimbali, ikiwemo suala la kufungwa kwa ofisi za CHADEMA...
  18. Ileje

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku sasa ni yatima; CCM hawamtaki na vijana hawamtaki!

    Kwa muda mrefu Mzee Butiku alikuwa anaheshimika ndani ya CCM na vijana kwa ujumla. Ndani ya CCM aliheshimika kama mmoja wa waasisi na mlezi wa vijana. Pia viongozi wa CCM walikuwa wakienda kwake kupata ushauri katika mambo mbalimbali ya kisiasa ndani ya chama chao. Kwa vijana Mzee Butiku...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Butiku watanzania wamechoka kuongea ongea bila vitendo! Unapoteza muda wako

    Butiku watanzania wamechoka kuongea ongea bila vitendo! Unapoteza muda wako mzee wetu. Bila katiba mpya ambayo inasimamiwa na chombo huru cha kitaalamu sio makada hali hii itaendelea kubaki hivi. Wanzania wataendelea kuwa na hasira na hiyo unayoita vacuum haitaishia nchini. Watanzania wanataka...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku - Gen Z bado hawajakuelewa, wanakuona kama ni Babu unayezeeka vibaya ni Bora ukanyamaza huku ukisubiri siku ya kutwaliwa na MUNGU

    Kwa kifupi Sana HOTUBA Yako na ajenda zako zote ulizoongea na waandishi WA habari hakuna hata Gen Z wa CCM amekuelewa, hujagusia suala lolote kuhusu hatma ya Taifa hili kwa Hawa Gen - Z ambao wanakabiliwa na changamoto lukuki ikiwemo ukosefu wa Ajira huku ukishindwa kuwakemea watawala...
Back
Top Bottom