Huyu mzee huenda kweli alimuuza Polepole akatekwa.
Tulishuhudia baada ya Magufuli kufa Mafisadi papa wa CCM wakaachiwa kwa amri ya rais. Leo huyu mzee analeta porojo👇
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amemjibu Mzee Joseph Sinde Butiku kuhusu madai kwamba chama hicho kinapokea fedha na misaada kutoka Marekani.
Heche amewataka Watanzania kupuuza madai hayo, akisisitiza kuwa CHADEMA haifadhiliwi na Marekani. Kauli hiyo imeibua mjadala baada ya...
Nani asiyejua kuwa chadema wanapokea Hela za mabeberu ili kuhujumu ustawi wa Tanzania na Bara la Africa?
Heche kumjibu Mzee Butiku ni kumkosea heshima Mzee wetu. ni vema akakiri wazi kuwa wanapokea Hela kutoka kwa mabebeb na mm naweka USHAHIDI hapa wa chadema kupokea Hela kutoka kwa mabeberu
My Take
Wakiambiwa wao ni vibaraka wa Mabeberu wanabisha ila utaona tuu Mabeberu wanavyowapigania na kuwapa platform ya kuyumbisha Nchi Kwa jina la Demokrasia,Haki za binadamu kumbe wanataka watuuze
https://www.instagram.com/reel/DcmCPisMwdO/?igsi=MWJrZXVlNzFqYmlodQ==
Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa Agosti 26, 2026 na M & S Podcast, alipoulizwa ni mwanasiasa gani anamkubali akamtaja aliyekuwa Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi
Mzee Butiku amesema kama...
Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa Agosti 26, 2026 na M & S Podcast, amesema kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) inatakiwa ijitathmini na kujifanyia reform.
Mzee Butiku ameeleza kuwa hatua...
Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa Agosti 26, 2026 na M & S Podcast, amesema kuwa taifa limejengwa kwa zaidi ya miaka 60 kwenye misingi imara, lakini kwa sasa zimetokea kasoro kubwa zinazotokana...
Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, ameeleza sababu za yeye kuweka wazi umri wake, akibainisha kuwa kufanya hivyo kunawasaidia watu kumwelewa na kumsamehe pale anapotoa kauli zenye mtazamo wa kizee badala ya ujana wa siku hizi.
Ameongeza kuwa...
Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema vyama vya siasa sio Serikali na wawe na mipaka kikiwemo CCM
Kuhusu tofauti kati ya chama na serikali katika maamuzi: "...opposition siku hizi utadhani ni serikali lakini ni vyama vyama sio...
Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema anaamini kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza kupoteza uelewa wa nafasi yake kama chama kinachoongoza serikali, huku akidai kuwa baadhi ya sera zake zimeanza kuachwa.
Akizungumza kwenye...
Nimemsikiliza mzee Butiku hivi karibuni akiwataka vijana kupuuza ushauri wa wanasiasa wanaodai Haki, Uwajibikaji na Katiba ya Wananchi (anaouita ni ushauri potoshi), badala yake anawaasa vijana kumsikiliza na kumheshimu Samia ambaye yeye anasema ANA NIA NJEMA.
Huyu mzee Butiku. Anastahili...
Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Butiku, ametoa wito kwa Watanzania na vyama vya siasa nchini kudumisha utamaduni wa kuaminiana, kuheshimiana na kuweka mbele maslahi ya taifa kupitia mazungumzo badala ya upinzani usio na tija.
Mzee Butiku amebainisha...
Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Joseph Butiku, amewataka Watanzania kukubaliana na uhalisia kwamba nchi tayari ina Rais aliye tayari kwa maridhiano.
Butiku ametoa kauli hiyo leo Machi 4, 2026, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Maridhiano (Maridhiano Day)...
Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), imewataka Watanzania kuendelea kushikamana na misingi ya Taifa, hususan katika kipindi hiki ambacho nchi inatafakari matukio ya vurugu za Oktoba 29, 2025 kupitia Tume iliyoundwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan.
Hayo yameelezwa jijini Dar es Salaam leo, Alhamisi...
Mzee Butiku anaongea muda huu na wazee jijini Dar es salaam.
Aidha alizungumza kuhusu hali ya kisiasa nchini, akigusia masuala ya demokrasia na nafasi ya vyama vya siasa.
• Alitaja hoja kuhusu zuio la CHADEMA, akieleza mtazamo wake juu ya uhusiano wa CCM na tukio hilo.
2. Hoja Zilizojitokeza...
Akizungumza leo Januari 22, 2026 katika Mkutanao na wazee wa jiji la Dar es Salaam, Mzee Butiku amesitisha mkutano huo kurushwa mubashara akiwataka waaandishi wa habari kuwapisha na kwamba watarejea baadae kusikiliza maazimio ya mkutano huo.
Kwa muda mrefu Mzee Butiku alikuwa anaheshimika ndani ya CCM na vijana kwa ujumla. Ndani ya CCM aliheshimika kama mmoja wa waasisi na mlezi wa vijana. Pia viongozi wa CCM walikuwa wakienda kwake kupata ushauri katika mambo mbalimbali ya kisiasa ndani ya chama chao.
Kwa vijana Mzee Butiku...
Kwa kifupi Sana HOTUBA Yako na ajenda zako zote ulizoongea na waandishi WA habari hakuna hata Gen Z wa CCM amekuelewa, hujagusia suala lolote kuhusu hatma ya Taifa hili kwa Hawa Gen - Z ambao wanakabiliwa na changamoto lukuki ikiwemo ukosefu wa Ajira huku ukishindwa kuwakemea watawala...
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile amemshambulia kwa maneno Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Butiku, akimtuhumu kuonesha chuki dhidi ya aliyekuwa Balozi Humphrey Polepole, ambaye hivi karibuni kumeripotiwa sintofahamu juu ya alipo.
Mchungaji Mwakipesile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.