Mzee Butiku : CHADEMA Wanafadhiliwa na "Mabeberu "

Mzee Butiku : CHADEMA Wanafadhiliwa na "Mabeberu "

Serikali ya Tanzania imefadhiliwa na hao unaowaita "mabeberu " kwa chanjo.dawa za ukimwi ukoma na tb.kijeshi .miradi ya maji afya na elimu na hata bajeti TANGU TUPATE UHURU HADI LEO
Majuzi mwanae Thabit Kombo katumwa kuomba wasiache kutusaidia
Elewa serikali inalipata mamilioni ya dollar Marekani kwa lobbyi groups kubembeleza hao Mabeberu.
Nchi sio kikundi Cha wahuni wanaoelekezwa Cha kufanya
 
Hii hoja ilishakua takataka kitambo sana, kwani kufadhiliwa dhambi?

Nchi inafadhiliwa, yeye anafadhiliwa, kigoda cha mwalimu kinafadhiliwa, mama abduli anafadhiliwa na kina GSM, Habith Singh, Rostam, na mafisadi wengine lukuki tena hadharani tu, abduli pia anafadhiliwa, sisiemu inafadhiliwa, jekee anafadhiliwa, mwigulu anafadhiliwa pia, napi anafadhiliwa, nchi nzima makanisa, misikiti, mahospitali, mikoa na wilaya, halmashauri, masoko taasisi mbalimbali hata watu mmojamoja wanafadhiliwa kwa njia mbalimbali au wanajiona wao wana hatimiliki ya kufadhiliwa!

Na hizo fweza chadema wanaletewa na mabeberu kwa mifuko ya sandarusi kama jekee na timu yake walivyochota za Escrow ya IPTL kule Stanbic? Na wakati wanazipitisha chawa wa mama wanakua wapi? Wanapitisha airport? Bandarini kama kago? Au kwa ungo wa kalumanzila? na kina wambura na kingaye na kina Muliroo wanatazama tu?

Wakifadhiliwa wengine wanaumwa? Maumivu yakizidi si wakawaone wachawi wao? Tunguli si zipo?

Hebu watupumzishe sasa, watanzania sio wajinga tena
 
Bi ChawaVariable hebu thibitisha CHADEMA inatumiwaje na hao mabeberu maana kama unatoa mifano kwa mzee wa hovyo kama Butiku ambaye ni chawa wa uzeeni sioni tofauti yenu.
 
Na wanachama au umewahi ona beberu anafadhili CCM?

ChawaVariable , beberu sio lazima atoke Ulaya au Amerika.

Ubeberu upo hapo hapo CCM..

Sasa tueleze huyu alifadhili au hakufadhili ukijumlisha na nyingi za nyuma ya pazia ili kulinda maslahi yake kibiashara.

images - 2026-08-15T021603.720.jpeg
 
Marekani pia anafadhiri Serikali ya Tanzania, majuzi tu Waziri wa Afya Mchengerwa kupitia wizara ya afya walituthibitishia hilo na wengine wengi na sekta nyingi sana
 
Back
Top Bottom