My mother is dying of Cancer

My mother is dying of Cancer

Status
Not open for further replies.
Wazungu hawatamtafuta kwa uvumbuzi ,bali watampoteza kwa kuwaharibia biashara yao.
Mtafute Dr Sebi na machapisho yake.
Cancer inatibika na kuzuilika kwa vyakula tu
View attachment 1294623View attachment 1294624View attachment 1294625
Sijui niseme nini hapa, naogopa nikizungumza nitaonekana muongo. Sitamani ugonjwa huu utokee kwangu au kwa mtu yoyote yule na ninazidi kumwomba Mungu huu ugonjwa uondoke kabisa, kwa Mungu yawezekana.

Mkuu ulichoandika ni ukweli mtupu, wala hatotafutwa kwa nia njema ila kwa kuondoshwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amina mama yangu alifarik 2016 , sikumwona wakti anakufa ilikuwa worst experience ilikuja kunisumbua coz nilipata shock flani sikuamini kma ameenda . kaa naye muda huu , hatuna jinsi zaidi ya kumshukuru Mungu ktka kila jambo .

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kwa kumpoteza mama.
Alifariki kwa Cancer? Ilikuchukua muda gani maumivu kupungua?.
Maana hapa mimi taarifa tuu ila hadi nimeshikwa homa, najaribu kufikiria itakuwaje ikifika hiyo saa.
 
Paula Paul, Kama ungekuwa umeoteshwa na mungu kuwa atafariki sawa, ila kwasababu aliokuambia ni binadam ondoa hofu mungu ni muweza wa yote hata kwa yale yaliomshinda binadam, naamini kwa uwezo wa mungu hayo masaa alioyatoa binadam yatapita na mama atakuwepo mpaka mungu atakapo amua maamuzi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani iwe hivi.
Natamani Muujiza utokee. Natamani amalize huu mwaka na zaidi ya yote natamani apone.
.
Asante sana friend.
 
Philipo D. Ruzige,
Jamani Cancer inatumalizia ndugu zetu na wazazi wetu na watoto wetu.
Kwanini Cancer lakini..why is this happening to us?
Pole Philipo. Asante sana kwa ushauri.
 
Daaah Cancer ilimuondoa Steve Jobs na kuacha Kampuni kubwa Sina hamu na hili gonjwa....


Halafu hawa wapuuzi wanavyotushika akili wanatuaminisha HIV ni hatari na hela nyingi zinapotezwa huko badala ya kuwekeza kwenye Saratani ...

RIP Ali Mufuruki Pia Kwa Cancer.


RiP our Beloved Mom....






Sent using Jamii Forums mobile app
 
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Nimejikuta machozi yananitoka.
Nawaza vile mama yangu alivyofariki hivi ingekuwa nina taarifa atatutoka baada ya muda gani ningekuwa kwenye hali ipi!
Nimekosa hata neno la faraja la kukupa Paula, unaumia sana mpendwa!
Asante NAKWENDE.
Pole kwa kumpoteza Mama.
Na yeye alifariki kwa Cancer?
 
Pole sana Paula... Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi...
Poleni na familia Mungu awatie nguvu
 
Pyaar,
Mungu anajua ni namna gani nilikuwa natumai faraja za namna hii.
Asante sana Pyaar. Nafarijika sana .
 
Mama anaitwa nani ili tumuweke kwenye maombi maana majina yetu nayo changamoto unaweza kusema Mama Paula kumbe siyo mlengwa

Hakuna jambo lisilowezekana kwa Mungu kama tukiomba kwa imani hizo siku zinaweza kupita akiwa hai na hata kupona kabisa. Mungu wetu ni mkubwa tena mwenye uweza wa kutisha kuliko yale yote tupitiayo

View attachment 1294701
Anaitwa Paulina.
Hata Mama Paula ni sahihi kabisa.
Be blessed🙏🙏🙏🙏
 
Guys Asanteni sana.
Natamani ningeweza kuweka picha ya mwonekano wangu kabla sijaleta hii thread hapa na mwonekano baada ya kuleta hii thread.

Before nilikuwa na hali mbaya sana, mnajua kuomboleza kifo cha mtu akiwa hai bado? Niliona dunia imenielemea. Ila baada ya kuleta hii thread nimebadilika kabisa na nimeuvaa ujasiri wa ajabu sana. Nimekuwa jasiri hadi wananishangaa.

Kwa sababu ya this thread Mimi sasa ndio nawabembeleza na kuwafariji ndugu zangu.

Asanteni wote ambao mmeguswa na hili na poleni wote ambao mmepoteza wazazi wenu kwa Cancer. Asante kwa kila aliyechukua muda kunifariji na ambao bado wanaomba kwa ajili ya mama.

Sikujua huku ndani kuna upendo wa namna hii. Nalia kwa furaha. Nimepata responses ambazo sikuzitegemea kabisa na kwa namna ya tofauti zimenipa nguvu.

Nawapenda sana guys, nathamini kila mchango wa mtu. Na nitahakikisha nasoma kila mchango maana ndio tulizo langu kwa sasa.

May God bless y'all. 🙏🙏 Nawapenda Sana dears.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom