My mother is dying of Cancer

My mother is dying of Cancer

Status
Not open for further replies.
Paula Paul,
Am speechless...

Hapa ni ndo huwa uzalendo unanishinda nafakamia mapombe...

Anyway Mungu ni muweza wa yote. Usije kushangaa sisi tukatangulia kabla yake.

Uzuri Mungu kampa upendeleo, ole wetu ambao hatuijui siku wala saa. Tunakufa na madhambi yetu tunaenda kuwa kuni jehanam...

Mungu amrehemu mzazi wetu...
 
Amen Thad. Thank you.
Paula pole kwa magumu unayopitia ila kubwa mshukuru Mungu kwa maisha ya Mama yako kwa kipindi chote alichoishi hapa ulimwenguni,
Pia mtafuate kiongozi wa kiroho amuongoze sala ya toba na awasamehe wote waliomkosea na yeye kuomba msamaha kwa aliowakosea ili aende kwa amani. Mungu ni mwema atampatia pumziko la amani huko aendako. Ameni

$ There's clear light at the end of the Tannel $
 
Nitfute tumuwahi aanze tiba haraka kabla ya 48 Hrs nitafute whatAp 0654238640

Sent using Jamii Forums mobile app
Tiba? Labda Miujiza Alawido.
Jopo la Madactari wamesema haiwezekani yeye kuishi kutokana na madhara ambayo ameshayapata.
Palikuwa na njia za kumwongezea muda wa kuishi lakini nazo hawajatushauri kuzitumia zaidi ya kutushauri tumwache apumzike.
Asante Alawindo.
 
Pole Mama kwa wakati mgumu anaopitia na kwa familia nzima .
Jaribuni kutengeneza mazingira ambayo yatampatia Mama amani ndani ya moyo wake.Mungu wetu mkuu akamrehemu sawasawa na fadhiri zake.
 
Amina mama yangu alifariki 2016 , sikumwona wakti anakufa ilikuwa worst experience ilikuja kunisumbua coz nilipata shock flani sikuamini kma ameenda . kaa naye muda huu , hatuna jinsi zaidi ya kumshukuru Mungu ktka kila jambo .
Aurora Asante sana.
Ni kweli ni ngumu lakini hizi comments zinanipa nguvu ambayo sikuitegemea.
Mungu awabariki sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom