Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,247
- 42,004
Asante HannahJamani jamani.
Pole sana Paula.
Amen.Mungu aendelee kumlaza mahala pema peponi.
Paula were ni jasiri. Were ni mwanamke wa shoka.
Mimi nimesoma mpaka hapa uso umejaa machozi ningekuwa kwenye hii situation yako sijui ningekuwa kwenye hali gani.
Unaendeleaje sasa hivi,? Baba, kaka yako na pacha wako?
Oh No Kumbe Mama alitangulia mbele ya haki?Amen.
Sasa hivi tunaendelea vizuri japo vitu havipo sawa kama mwanzo. Karibia kila kitu kimebadilika ila we are fine. Life Must Go On.
Asante Hannah
Ndio Pakawa.Oh No Kumbe Mama alitangulia mbele ya haki?
Pole sana
Sisi wote ni wake
Mungu azidi kukupa faraja uvumilivu
Dah pole sana sana
May Her Soul RIP
Stay Strong Mkuu!
Amen Himawari.Pole sana, kufiwa na mzazi inauma sana. Apumzike kwa amani.
Thank you.pole sana hata mimi nilimpoteza Mama yangu mzazi miezi mitatu iliyopita.Ni kazi ya Mungu. Who feels it knows it. RIP
Amennnnnnn she is defo in peace now.May the soul of your mama rest in peace too.Stay strong,Nimekuja PM lakini nimekosa kitufe cha send naona attach tu.Thank you.
Miezi mi3 iliyopita ilikuwa ni mwezi wa pili/watatu.
Pole sana kwa kumpoteza mama Blackcornshman. May the soul of your mother rest in peace.
Thank you Blackcornshman.Amennnnnnn she is defo in peace now.May the soul of your mama rest in peace too.Stay strong,Nimekuja PM lakini nimekosa kitufe cha send naona attach tu.