Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,846
- 236,205
Omba tu Mungu siku isiyo na jina unakuta kitu kimetema,uzi huooo[emoji276][emoji847][emoji39]
Omba tu Mungu siku isiyo na jina unakuta kitu kimetema,uzi huooo[emoji276][emoji847][emoji39]
Hivi "Crush" kwa Kiswahili maana yake nini ? Kabla sijachangia.
Niliyekuwa namuhisi kajiunga 2014......ngoja niwaachie wapiga ramli mashuhuri waendelee na game.😀😀Jiridhishe mkuu
Okoa muda tu kuniambia, maana nataka niwataje hapa.Mwalimu wetu wa kiswahili mbona unatuangusha?
Tafuta dikshenari hapo
Kwahiyo ina maana kati ya wote waliotaja huko juu hakuna hata Mmoja aliyepatia badoVizuri kwama umeelewa
Omba tu Mungu siku isiyo na jina unakuta kitu kimetema,uzi huooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsante.Ni kusagika, ukisikia moyo wenye kubondeka ndo hivyo sasa.[emoji276][emoji16][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rudi tena rohoni
VizuriKweli kabisa mkuu, binafsi nimechagua kuwa mcheshi tu... nikijaribu kuwa siriazi mitandaoni huwa naona nateseka sana.
Bado jamani dada! Bado nasubiri huruma za baba!Hahaahaha hivi lile deni letu la picha bado eeeh?
Mimi nikimtaja mjadala unafungwa..Kwahiyo ina maana kati ya wote waliotaja huko juu hakuna hata Mmoja aliyepatia bado
Ticha wangu wa kiswahili unazinguaOkoa muda tu kuniambia, maana nataka niwataje hapa.
Nimeshaambiwa maana tayari.Ticha wangu wa kiswahili unazingua
Mmhh kama ni huyo basi nafikiri mtoa mada atakuwa hajawahi kukutana na yale Majibu yake konkiNi Mkongwe sana yule. ID yake ya mwanzo naona ina Life Ban.
My crush ana ID ya 2010
Hadi hapa nimeshaconfirm .Acha wivu, sio mtu mzima, i can gues labda she in around 32 au 33, kuna mahaki niliona ameandika alimaliza chuo 2011 kwa hiyo nahisi sio mtu mzima sema tu bahati ilimfondokea akaolewa mapema na kuoata watoti mapema, natamani hata ningemuoa mimi na kumzalisha
Nimetokea huko na huko nikizunguka dunian😂😂😂Hebu huko na wewe umetokea wapi sijui😁😁
Siyo huyo kwa mujibu wa maelezo ya mtoa mada...Mmhh kama ni huyo basi nafikiri mtoa mada atakuwa hajawahi kukutana na yale Majibu yake konki