Sehemu nyingine ya Video hii hapa...
Ukiwa mtu mzima na unaelewa nchi utajenga hoja kwa misingi ya kuboresha, Nape ni moja ya vijana wanaoelewa na siasa zake zimekuwa safi na kukubalika tumsikilize na hapa.[
Security Guardy, Endelea kuleta vipande kwa njia hiyo hiyo mpaka story nzima ama mkanda before editing ukamilike ili tujue ukweli
- Yaani this is the best of JF, yaani FACTS zunawekwa hapa wananchi wanapewa mchele na pumba ahsante sana Katibu wa Uenezi wa Chama changu this is just super!!
KIDUMU CHAMA CHA MAPUNDUZI!!
Le Mutuz
Kama wewe unajua imechakachuliwa, lete ya kwako ambayo haijachakachuliwa tuione.
Jenga hoja kwa evidence na siyo mihemko ya kibavicha.
Hizi kelele unazopiga ni kelele za debe tupu. Huoni huyo aliyeleta uwongo kuhusiana na hili swala ameamua kufunga thread yake haraka na kuukimbia uongo wake.
Ha ha ha ha ha !
Naona hapa utapata ka-cheo
Lonesome,
Bila kuathiri majibu ya Nape akiamua kuja kujibu lakini, hivi mwanaume mwenye mtoto mwenye watoto naye anaitwaje kama sio Babu?!! Dr. Slaa ana watoto wenye watoto nao, kama sio babu tumwite bibi? Linageukaje kuwa tusi hili???!
Nimeziona hotuba zote mbili zikiwa zimeandikwa.Tatizo lenu ushahidi ukiletwa mnakimbia
We unahakika gani kasema?
Lete original nyie mabingwa wa kukataa hata ugaidi mnaukataa
Semantics is the structural meaning of meaning....kwa wanaoelewa Affirmative meaning....watamuelewa NAPE anamaanisha nini kuita Babu.
Unajua kuwajibu nyie ni kupoteza muda. Namshukuru securitygurd kwa kuweka kipisi cha kwanza. Video hizi zilikuwa kwenye mitandao siku ya pili tu baada ya stori kuchakachuliwa. Wengine hapa wanadai ilikua wapi!! Weka hiyo video yako,usitishie nyau hapa!Lakini cha kufurahisha hata walioandika walishaikanusha lakini kwakukisa hoja mnahangaiaka sanaaaaa! Poleni sina muda wa kupoteza kuwajibu tena kwa hoja mfu!
- HA! ha! ha! My Super Brother Ben, nilikwambia hizi siasa za majitaka kwa kijana mdogo kama wewe mwenye bright political future, sio sawa kwako wanaokutuma ni marafiki sana wa hawa wanaokutuma uwachafue, wanakuponza bure mkuu wangu shituka japo kidogo before it is too late!!
- NI USHAURI WA BURE TU KWAKO!!, KWA SABABU HATA UKIFIKIA NAFASI YA KUWA MKUBWA HUKO CHADEMA BADO UNAHITAJI KUWA NA MAHUSIANO MAZURI NA VIONGOZI WA JUU WA CCM, KAMA WALIVYO VIONGOZI WAKO WA JUU USIWAONE HIVYO NA KUJIFANYA VIBURI MWISHO WA SIKU NI MARAFIKI WA KARIBU SANA NA VIONGOZI WA JUU WA CCM, AMKA KIJANA MDOGO!!
LE MUTUZ
Sehemu nyingine ya Video hii hapa...
Ukiwa mtu mzima na unaelewa nchi utajenga hoja kwa misingi ya kuboresha, Nape ni moja ya vijana wanaoelewa na siasa zake zimekuwa safi na kukubalika tumsikilize na hapa.
Mbona ile ya soweto nyie hamuileti au munaiedit au ni kwa ajili ya "SYMPATHY VOTE" 2015?
Acha na hawa mkuu Nape wanaweza kukuharibia siku na hata unaweza kuwatukana bure.angalia Pm yako kaka.Hawa ni mabingwa wa kugeuza maneno na siasa za propaganda chafu
Kwa jinsi alivyotumia hilo neno hamaanishi kingine zaidi ya dharau na mabezo. Mbona hajawahi kusema babu Kikwete au Mwandosya? Mbona hamwiti Mangula babu? Nape amepoteza mvuto kwa sababu ya mdomo wake. Hivi anakumbukaalichowaambia watu wa Mwanza wakati fulani walipomzomea? Aje akanushe na yale matusi aliyoyatoa. Nape, it is high time you grew up and behaved like an adult. You are tarnishing the image of CCM dude!
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums