Mwijaku aachwa na Mke Kisa UZINZI

Mwijaku aachwa na Mke Kisa UZINZI

Cha muhimu hapo kwenye adultery iwe Mwijaku alikutwa anamwingilia mwanamke na sio yeye kuingiliana na mwanaume mwenzake. Dunia imebadilika.
Labda pia anaona TUNDU ¹linakua kubwa tu huko matako yananenepa tu.
Baada ya talaka kaenda kwa mabasha wake Dubai
 
NYIE WANAWAKE HUWA MNADHANI MKIONGEA HIVYO NDO UNAKUWA MWANAUME AUTOMATICALLY. STORY TU ULIYOLETA INAONESHA WEWE NI MWANAMKE TENA WA MTAANI HUNA ELIMU NA KAZI.
Wewe mpaka nikutatue marinda ndio ulete heshima
 
Tunataka uongelea jinsi mama yako anavyopumuliwa na mwijaku ...ili tuone kama anafaa kuwa mke wa mwijaku au akuchukue wewe
Wewe ndio mama yangu... ebu sasa elezea unavyopumuliwa na kupakuliwa tope hapo ulipo...

Naona unajitoa ufahamu kuwa wewe ndio mama mwenye ambaye unapakuliwa
 
Mbona una lazimisha liwe swala la kitaifa? kwa siku moja Tanzania ndoa ngapi zinakufa na sio big deal
Sasa zinakufia uchochoroni, zingekuwa public, zingepewa public attention
 
Watanzania ni wambea sana, na umbea wao ni katika mambo ya kijinga. Hao watu wanatumika sana kuandaa habari za uongo ili kuwapumbaza waache kujadili mambo ya msingi juu ya maisha yao.

Kiki zitakuwa nyingi sana safari hii ili kuwarudisha hao wasanii wajinga kwenye midomo ya watu.
​
Kuna siku utaambiwa mke wako anapelekewa moto bado utaamini ni uongo au kiki... husikariri maisha sio kila jambo ambalo halijakaa kisiasa ni kiki...
 
Issue ni Kwamba kabaini Kwamba former husband wake naye anapumuliwa kisogoni na matajiri wavaa kanzu Mjini, rinda Hana, boneti zimeshafumuliwa, nati zimeachia...!

Kaona AMUACHE aendeleze na Upinde wake
Jaku Boy ni ajatulia... mke ana UTI kila mara
 
Ni aibu kwa mzee kujadili upuuzi na umbea huku madogo wa gen Z wakijadili ukombozi
Acha madogo wajadili ukombozi... ndio kipindi chao, kitaaluma tunaita Active Age, ndio maana Jeshini wanachukua watu wa miaka 18-25 tu kwa ambao hawana taaluma kwa sababu umri huo mwili unakuwa wa moto.

Sisi wengine tupo kwenye umri ambao hautaki misukosuko, ni kutafuta pesa na kula maisha tu na kupiga zogo tu vijiweni kama tunavyofanya hapa kuhusu jaku boy
 
Wabongo na nyie mmeingia kwenye huu mtego wa machawa
 
Kizazi 99 bado kimebaki kwenye udaku Wakati watoto washaupiga chini
Kila mtu hawezi kuwa freedom fighter... acha madogo wa alfu 2 wakomboe nchi ndio wakati wao, tunaita Active Age... ndio maana michezoni na jeshini wanapenda kuchukuliwa watoto wa miaka 18-25 umri wao unakuwa Active

Mimi umri wangu sasa ni kutafuta pesa, na kula utawala
 
Sasa zinakufia uchochoroni, zingekuwa public, zingepewa public attention
Mambo ya ndoa kuvunjika ni swala la kawaida walivyo patana hawakutujulisha hata kuachana hatutakiwi kujulishwa
 
Mambo ya ndoa kuvunjika ni swala la kawaida walivyo patana hawakutujulisha hata kuachana hatutakiwi kujulishwa
Ukisema hivyo unakuwa huna tofauti na mtu anayesema, mambo ya siasa ni kawaida mno, watu wanaingiza mishahara kwa nini nikapigwe risasi kisa chadema au CCM.

Unachotakiwa kujua maisha ni mfumo wa kila kitu, hivyo unahitaji experience yako mwenyewe au ya kuona au kisikia kwa mwingine hili wewe ujue unaboresha vipi... hivyo husipuuzie kila habari

Kupitia kisa cha kuachana mwijaku na mkewe, mtu mwingine anaweza kujifunza athari za kuchepuka, athari za kutengana na kadharika na kisha kuboresha ili kadhia kama hiyo isitokee kwake...

Unachofanya ni Neglegence ambayo ukiiendekeza itakuusumbua...

Mwisho: Ndoa sio jambo la wawili, ndoa ni kitu public na ndio maana zipo mpaka sheria za ndoa watu wanasoma darasani vyuo vikuu
 
Wewe mpaka nikutatue marinda ndio ulete heshima

NYIE WANAWAKE HUWA MNADHANI MKIONGEA HIVYO NDO UNAKUWA MWANAUME AUTOMATICALLY. STORY TU ULIYOLETA INAONESHA WEWE NI MWANAMKE TENA WA MTAANI HUNA ELIMU NA KAZI. UNAKOSA MUME KIPUUZI TU
 
Moja wa influencers maarufu nchini Tanzania anayejulikana kwa jina la Mwemba Burton a.k.a Mwijaku au Jaku Boy amejikuta katika njia panda baada ya kuchwa mke wake Alice ambaye walibahatika kupata mtoto mmoja anayejulikana kwa jina la Marichui.

Kupitia chapisho la Instagram, aliyekuwa mke wa Mwijaku alichapisha maneno yanayohusiana na kutengana kunakotokana na Adultery yani kwa Kiswahili Uzinzi, ambapo chapisho linatoa maelezo kuhusu utengano au talaka na madai ya fidia yanayotokana na uzinzi. Uzinzi ni neno linalomaanisha tukio la usaliti linalotendwa na mmoja kati ya watu waliofunga ndoa. Chapisho hilo linasema

View attachment 3515216

Hata hiyo aliyekuwa mke huyo wa Mwijaku pia aliweka maneno katika insta story yake yanayodai kuwa hana tena mapenzi na mwijaku.

View attachment 3515219
View attachment 3515220


Hata hivyo siku moja kabla ya hapo Mwijaku (Jaku Boy) aliandika maneno yanayoonesha kuwa katika sonona baada ya tukio la kuachwa na mke wake, kiasi cha kukosa usingizi.

View attachment 3515222


Mwijaku amekuwa ni mtu mwenye matukio ya usaliti kwa mke wake na matukio mengine ufika hatua ya kusambaa mitandaoni ikiwemo Tukio la video ya ngono akiwa na msanii mwigizaji wa kike anayeitwa Menina, pia na Sakata lake la fumanizi la wanachuo wawili ambao amekuwa akitoka nao kimapenzi akiwachanganya kupelekea mabinti hao kupigana na kudhihirishana mitandaoni huku video zao za ugomvi zikisambaa.


SASA uTUMIE HII FURSA KUOLEWA WEWE DADA. SEMA NAWE UNAJIPA KAZI KUFUATILIA MAISHA YA WANAWAKE WENZIO NA WAUME ZAO.
 
Kila mtu hawezi kuwa freedom fighter... acha madogo wa alfu 2 wakomboe nchi ndio wakati wao, tunaita Active Age... ndio maana michezoni na jeshini wanapenda kuchukuliwa watoto wa miaka 18-25 umri wao unakuwa Active

Mimi umri wangu sasa ni kutafuta pesa, na kula utawala
We tumbili wa kihaya kwa umri ulionao sahau kupata pesa...labda uuze figo ...mhaya wa kwanza chawa na hana pesa
 
Moja wa influencers maarufu nchini Tanzania anayejulikana kwa jina la Mwemba Burton a.k.a Mwijaku au Jaku Boy amejikuta katika njia panda baada ya kuchwa mke wake Alice ambaye walibahatika kupata mtoto mmoja anayejulikana kwa jina la Marichui.

Kupitia chapisho la Instagram, aliyekuwa mke wa Mwijaku alichapisha maneno yanayohusiana na kutengana kunakotokana na Adultery yani kwa Kiswahili Uzinzi, ambapo chapisho linatoa maelezo kuhusu utengano au talaka na madai ya fidia yanayotokana na uzinzi. Uzinzi ni neno linalomaanisha tukio la usaliti linalotendwa na mmoja kati ya watu waliofunga ndoa. Chapisho hilo linasema

View attachment 3515216

Hata hiyo aliyekuwa mke huyo wa Mwijaku pia aliweka maneno katika insta story yake yanayodai kuwa hana tena mapenzi na mwijaku.

View attachment 3515219
View attachment 3515220


Hata hivyo siku moja kabla ya hapo Mwijaku (Jaku Boy) aliandika maneno yanayoonesha kuwa katika sonona baada ya tukio la kuachwa na mke wake, kiasi cha kukosa usingizi.

View attachment 3515222


Mwijaku amekuwa ni mtu mwenye matukio ya usaliti kwa mke wake na matukio mengine ufika hatua ya kusambaa mitandaoni ikiwemo Tukio la video ya ngono akiwa na msanii mwigizaji wa kike anayeitwa Menina, pia na Sakata lake la fumanizi la wanachuo wawili ambao amekuwa akitoka nao kimapenzi akiwachanganya kupelekea mabinti hao kupigana na kudhihirishana mitandaoni huku video zao za ugomvi zikisambaa.
Waongo hao......
 
Back
Top Bottom