Kama haufatilii umbea au showbiz za wasanii ungepita kushoto... kitendo cha wewe kuja ku-comment hapa huna tofauti na demu anayeenda getto la mwanaume alafu hataki kukazwa... kitendo chako na kupita kwenye post hii inamaanisha wewe pia ni mfuatiliaji wa umbea ila unakaza fuvu uonekane mjanjaUmbeya hatutaki sasa kama wanaachana sisi inatuhusu nini?
Utaweuka kwa kupenda vitu serious kila muda, lazima kuwepo na mada mkanganyiko hili watu wawe makini... Dunia ina priorities, vitu ambavyo wewe unaviita vya kijinga kwa wenzako ni ujanja, na vitu ambavyo kwako ni ujanja kwa watu wengine ni ujinga.Ndo hivyo mkuu
Wanajua wabongo wanapenda vitu vya kijinga
Wewe habari zako zenye akili zimetusaidia nini humu, Kaandike zako za kijanja. Alafu siku nyingine husipangie watu cha kuandika, umeona Heading kama haikukuvutia ungepita kushoto na kusoma uzi nyingine... alafu elewa maana ya Forum, shida ni kuwa mnajiunga JamiiForums alafu hamjui kazi za kila Forum zilizoko humu, alafu mnajikuta wataalamu wa kupanga uzi za wengineHata kama JF celebrities ila msilete habari za kipumbavu
Nakushauri tu acha kufatilia maisha ya watu hizo ni tabia za kike.Kama haufatilii umbea au showbiz za wasanii ungepita kushoto... kitendo cha wewe kuja ku-comment hapa huna tofauti na demu anayeenda getto la mwanaume alafu hataki kukazwa... kitendo chako na kupita kwenye post hii inamaanisha wewe pia ni mfuatiliaji wa umbea ila unakaza fuvu uonekane mjanja
Gutukeni mnabadilishiwa cd
Hakika wanataka kuwatoa watu kwenye reli..... tricks za kifala saaana yule d...CK head.Gutukeni mnabadilishiwa cd
Hili linanikera sana, kuyapa mamtu ya hovyo umaarufuUjinga na upumbavu wa watanzania wengi umefanya watu wengi wa hovyo kuwa maarufu na baadae kuanza kuutumia vibaya umaarufu wao dhidi ya watanzania hao hao.