Mwijaku aachwa na Mke Kisa UZINZI

Mwijaku aachwa na Mke Kisa UZINZI

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,592
Reaction score
7,400
Moja wa influencers maarufu nchini Tanzania anayejulikana kwa jina la Mwemba Burton a.k.a Mwijaku au Jaku Boy amejikuta katika njia panda baada ya kuchwa mke wake Alice ambaye walibahatika kupata mtoto mmoja anayejulikana kwa jina la Marichui.

Kupitia chapisho la Instagram, aliyekuwa mke wa Mwijaku alichapisha maneno yanayohusiana na kutengana kunakotokana na Adultery yani kwa Kiswahili Uzinzi, ambapo chapisho linatoa maelezo kuhusu utengano au talaka na madai ya fidia yanayotokana na uzinzi. Uzinzi ni neno linalomaanisha tukio la usaliti linalotendwa na mmoja kati ya watu waliofunga ndoa. Chapisho hilo linasema

Screenshot_20251213_213304_Instagram.jpg

Hata hiyo aliyekuwa mke huyo wa Mwijaku pia aliweka maneno katika insta story yake yanayodai kuwa hana tena mapenzi na mwijaku.

Screenshot_20251213_213321_Instagram.jpg

Screenshot_20251213_213324_Instagram.jpg

Hata hivyo siku moja kabla ya hapo Mwijaku (Jaku Boy) aliandika maneno yanayoonesha kuwa katika sonona baada ya tukio la kuachwa na mke wake, kiasi cha kukosa usingizi.

Screenshot_20251213_213725_Instagram.jpg

Mwijaku amekuwa ni mtu mwenye matukio ya usaliti kwa mke wake na matukio mengine ufika hatua ya kusambaa mitandaoni ikiwemo Tukio la video ya ngono akiwa na msanii mwigizaji wa kike anayeitwa Menina, pia na Sakata lake la fumanizi la wanachuo wawili ambao amekuwa akitoka nao kimapenzi akiwachanganya kupelekea mabinti hao kupigana na kudhihirishana mitandaoni huku video zao za ugomvi zikisambaa.
 
Moja wa influencers maarufu nchini Tanzania anayejulikana kwa jina la Mwemba Burton a.k.a Mwijaku au Jaku Boy amejikuta katika njia panda baada ya kuchwa mke wake Alice ambaye walibahatika kupata mtoto mmoja anayejulikana kwa jina la Marichui.

Kupitia chapisho la Instagram, aliyekuwa mke wa Mwijaku alichapisha maneno yanayohusiana na kutengana kunakotokana na Adultery yani kwa Kiswahili Uzinzi, ambapo chapisho linatoa maelezo kuhusu utengano au talaka na madai ya fidia yanayotokana na uzinzi. Uzinzi ni neno linalomaanisha tukio la usaliti linalotendwa na mmoja kati ya watu waliofunga ndoa. Chapisho hilo linasema

View attachment 3515216

Hata hiyo aliyekuwa mke huyo wa Mwijaku pia aliweka maneno katika insta story yake yanayodai kuwa hana tena mapenzi na mwijaku.

View attachment 3515219
View attachment 3515220

Hata hivyo siku moja kabla ya hapo Mwijaku (Jaku Boy) aliandika maneno yanayoonesha kuwa katika sonona baada ya tukio la kuachwa na mke wake, kiasi cha kukosa usingizi.

View attachment 3515222

Sinema tu hizo

Usilete taharuki tulinde amani
 
Wapambane na hali zao.
 
Back
Top Bottom