Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,728
- 870,463
Nice sahihi kabisa Ila wanapush madaSio kila kitu ni CD, vitu vingine ni coincidence tu, na tukio la Jaku Boy limetokea kabla ya hayo matukio ya kisiasa ya sasa
Nice sahihi kabisa Ila wanapush madaSio kila kitu ni CD, vitu vingine ni coincidence tu, na tukio la Jaku Boy limetokea kabla ya hayo matukio ya kisiasa ya sasa
Moja wa influencers maarufu nchini Tanzania anayejulikana kwa jina la Mwemba Burton a.k.a Mwijaku au Jaku Boy amejikuta katika njia panda baada ya kuchwa mke wake Alice ambaye walibahatika kupata mtoto mmoja anayejulikana kwa jina la Marichui.
Kupitia chapisho la Instagram, aliyekuwa mke wa Mwijaku alichapisha maneno yanayohusiana na kutengana kunakotokana na Adultery yani kwa Kiswahili Uzinzi, ambapo chapisho linatoa maelezo kuhusu utengano au talaka na madai ya fidia yanayotokana na uzinzi. Uzinzi ni neno linalomaanisha tukio la usaliti linalotendwa na mmoja kati ya watu waliofunga ndoa. Chapisho hilo linasema
View attachment 3515216
Hata hiyo aliyekuwa mke huyo wa Mwijaku pia aliweka maneno katika insta story yake yanayodai kuwa hana tena mapenzi na mwijaku.
View attachment 3515219
View attachment 3515220
Hata hivyo siku moja kabla ya hapo Mwijaku (Jaku Boy) aliandika maneno yanayoonesha kuwa katika sonona baada ya tukio la kuachwa na mke wake, kiasi cha kukosa usingizi.
View attachment 3515222
Mwijaku amekuwa ni mtu mwenye matukio ya usaliti kwa mke wake na matukio mengine ufika hatua ya kusambaa mitandaoni ikiwemo Tukio la video ya ngono akiwa na msanii mwigizaji wa kike anayeitwa Menina, pia na Sakata lake la fumanizi la wanachuo wawili ambao amekuwa akitoka nao kimapenzi akiwachanganya kupelekea mabinti hao kupigana na kudhihirishana mitandaoni huku video zao za ugomvi zikisambaa.
Basi hao wananzengo ni wavivu Sana wa kufikiriWako wote Dubai, wanawachota wananzengo tu
Maku wewe... mpaka nimkaze dada yako ndio ujue mimi ni kidume.. acha kuleta assumption kwenye jinsia za watu, utakazwa... alafu jifunze matumizi ya herufi kubwa na ndogoNYIE WANAWAKE HUWA HAMNA KAZI ZA KUFANYA. MNALETA HBR ZA KIPUUZI JF UTADHANI WOTE SISI TUNAWAFAHAMU HAO MABWAMA ZENU
Maku wewe... mpaka nimkaze dada yako ndio ujue mimi ni kidume.. acha kuleta assumption kwenye jinsia za watu, utakazwa... alafu jifunze matumizi ya herufi kubwa na ndogo
if the shoe doesn't fit you, don't wear it...usenge tupu....ukishajua wameachana so what...
njooni huku, kuna mwana kapigwa na kitu kizito.NYIE WANAWAKE HUWA MNADHANI MKIONGEA HIVYO NDO UNAKUWA MWANAUME AUTOMATICALLY. STORY TU ULIYOLETA INAONESHA WEWE NI MWANAMKE TENA WA MTAANI HUNA ELIMU NA KAZI.
Tunataka uongelea jinsi mama yako anavyopumuliwa na mwijaku ...ili tuone kama anafaa kuwa mke wa mwijaku au akuchukue weweif the shoe doesn't fit you, don't wear it...
Au wewe ulitaka tukuongelee jinsi unavyopelekeshwa na mume wako... au unadhani kila muda tutaongelea maandamano na hilo jina lako la maandamano
Mbona una lazimisha liwe swala la kitaifa? kwa siku moja Tanzania ndoa ngapi zinakufa na sio big dealUtaweuka kwa kupenda vitu serious kila muda, lazima kuwepo na mada mkanganyiko hili watu wawe makini... Dunia ina priorities, vitu ambavyo wewe unaviita vya kijinga kwa wenzako ni ujanja, na vitu ambavyo kwako ni ujanja kwa watu wengine ni ujinga.
Hili uweze kufurahia maisha lazima uwe kati ya ujanja na ujinga... ukizidisha kimoja, lazima maisha yakuendee kombo.
Story kama za Jaku Boy wengine ndimo wanapatia experience ya maisha... wewe kaa hapo ukizani kila kitu ni ujinga, kumbe wewe ndio mjinga nambari one
Hili linanikera sana, kuyapa mamtu ya hovyo umaarufu
Moja wa influencers maarufu nchini Tanzania anayejulikana kwa jina la Mwemba Burton a.k.a Mwijaku au Jaku Boy amejikuta katika njia panda baada ya kuchwa mke wake Alice ambaye walibahatika kupata mtoto mmoja anayejulikana kwa jina la Marichui.
Kupitia chapisho la Instagram, aliyekuwa mke wa Mwijaku alichapisha maneno yanayohusiana na kutengana kunakotokana na Adultery yani kwa Kiswahili Uzinzi, ambapo chapisho linatoa maelezo kuhusu utengano au talaka na madai ya fidia yanayotokana na uzinzi. Uzinzi ni neno linalomaanisha tukio la usaliti linalotendwa na mmoja kati ya watu waliofunga ndoa. Chapisho hilo linasema
View attachment 3515216
Hata hiyo aliyekuwa mke huyo wa Mwijaku pia aliweka maneno katika insta story yake yanayodai kuwa hana tena mapenzi na mwijaku.
View attachment 3515219
View attachment 3515220
Hata hivyo siku moja kabla ya hapo Mwijaku (Jaku Boy) aliandika maneno yanayoonesha kuwa katika sonona baada ya tukio la kuachwa na mke wake, kiasi cha kukosa usingizi.
View attachment 3515222
Mwijaku amekuwa ni mtu mwenye matukio ya usaliti kwa mke wake na matukio mengine ufika hatua ya kusambaa mitandaoni ikiwemo Tukio la video ya ngono akiwa na msanii mwigizaji wa kike anayeitwa Menina, pia na Sakata lake la fumanizi la wanachuo wawili ambao amekuwa akitoka nao kimapenzi akiwachanganya kupelekea mabinti hao kupigana na kudhihirishana mitandaoni huku video zao za ugomvi zikisambaa.
Ni aibu kwa mzee kujadili upuuzi na umbea huku madogo wa gen Z wakijadili ukomboziSio kila kitu ni CD, vitu vingine ni coincidence tu, na tukio la Jaku Boy limetokea kabla ya hayo matukio ya kisiasa ya sasa
hao ndio mtaji wa mboga mboga ...wakishalipwa buku 3 anapayuka kumzid kasukuNi aibu kwa mzee kujadili upuuzi na umbea huku madogo wa gen Z wakijadili ukombozi
Kizazi 99 bado kimebaki kwenye udaku Wakati watoto washaupiga chinihao ndio mtaji wa mboga mboga ...wakishalipwa buku 3 anapayuka kumzid kasuku