Dodoma: Aua Mke kisa chakula na wivu wa mapenzi

Dodoma: Aua Mke kisa chakula na wivu wa mapenzi

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,516
Reaction score
46,368
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linaendelea na uchunguzi wa mauaji ya Lea Eliud Mazengo (50), mkazi wa Kijiji cha Lamaiti, Wilaya ya Bahi, ambaye alikutwa amefariki dunia akiwa shambani baada ya kuripotiwa kupotea.

Kwa mujibu wa taarifa za familia, marehemu aliondoka nyumbani Julai 20, 2026 kuelekea shambani kwa ajili ya kuvuna alizeti, lakini hakurejea. Ndugu na watoto wake walianza msako na baadaye waligundua mwili wake ukiwa umefichwa chini ya magunia ya alizeti yaliyokuwa shambani.

Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ACP Gallus Hyera, amesema uchunguzi wa awali unaonesha kuwa marehemu aliuawa kwa kukabwa shingoni na aliyekuwa mume wake, huku chanzo kinachodaiwa kuhusishwa na tukio hilo kikiwa ni wivu wa kimapenzi.

Mmoja wa wanafamilia amesema kabla ya tukio hilo, marehemu na mume wake walikuwa na migogoro ya kifamilia, ikiwamo masuala ya chakula. Amesema hali hiyo ilifikia hatua ambapo marehemu alifukuzwa katika chumba walichokuwa wakilala na kuanza kulala sebuleni.

Kamanda Hyera amesema uchunguzi bado unaendelea ili kubaini mazingira yote ya tukio hilo, huku viongozi wa kijiji wakieleza kuwa marehemu alikuwa kiongozi wa serikali ya kijiji na mtu aliyekuwa akiheshimika katika jamii.
 
Huyo mtu ni mpumbavu wa kutupwa, siku hizi hutui wanawake kwa makosa hayo, dawa ni kujitenga nao salama. Mwanamke kaliwa, kapika chakula kibovu hujaridhika unaachana naye kimya kimya, usiue mtoto wa watu na epuka kupelekwa jela kisa umeua kwa wivu wa mapenzi. Nje kuna masingo mama wa kumwaga wanataka waume wa kuwaoa, unaenda tu kuopoa kifaa kipya chenye dosari tofauti
 
Alikuwa akiheshimika katika jamii? Sawa! Si ana lile shimo tamu? Kama aligawa uroda kwa mwingine basi mume wake hajapenda akaona isiwe taabu akajizima data ufahamu ukamtoka akaamua kutoa uhai wa mke wake kuliko kuishi kwa fedheha.

Wote wana makosa katika mahusiano ya ndoa yao ila wameshindwa kuepuka hatari iliyosababishwa na makosa hayo. Tunasisitiza siku zote humu ukiona viashiria sugu vya tabia hatarishi ndoani kimbia haraka sana, tena acha vitu, hata wato, jinusuru usije ukaua au ukauawa
 
Mmama mwenyewe ana miaka 50 mbunye yake itakuwa imepoteza ubora na imekaukiana haina ute wala hasisimki halafu huyo mshamba anaenda kuua kikongwe. Ni mpumbavu wacha akamalizie maisha yake jela. Mbunye zipo nyingi tena mbichichi mpaka za miaka 18 zinapatikana halafu kenge huyo anakomalia ajuza, ni mjinga na atakuwa ni mlevi wa mataptapu tu huyo mshambenga
 
Back
Top Bottom