Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

mwigulu ni walewale ukoo wa panya.minafikiri tulizani amepona ugonjwa wake kumbe umezidi.anakuja na kutuhubiria wezi wafilisiwe na wapelekwe mahakamani.sasa a kituambia sie hayo yanatusaidia nini wakati sisi katiba haitupi mamlaka ya kuwawajibisha wakati yeye na chama chake wamekataa katiba yenye maadili tuliopendekeza ni mnafiki mkubwa.
 
Nimegundua kwa nini tunapata viongozi wabovu nchi hii, na rais wetu akiona tu mtu ni prof.Au Phd Au kamasters anampa uwaziri bila kuchunguza, ndio mana tunakuwa na escrow muhongo,,,, :-D. Escrow Tibaijuka nk. Kuna uwezekano Mkubwa sana asilimia kubwa ya sisi watanzania Elimu yetu ni ya kuunga na majina ya kununua kama akina mwigulu nchemba.
 
Mdogo wangu Mwigulu hongera sana, yaani unakula keki mbili za besdei per year!
 
Hivi huyu jamaa ni kweli kabisa kwamba ni msomi haswa aliyesoma na akafaulu vizuri au?
Nauliza hivi kwa sababu huwa namuonaga hata ongea yake ni kama anagushi, 'eeeh eeeh eeeh' yaani hajiamini na akiongea huwa anaongea pumba tu.
Sasa hapo ndipo huwa najiuliza huyu mtu ni timamu kweli mental &physical?

Kwahiyo ww ni zaidi ya mwigulu cio??? U cant be serious. Acha majungu km mtt wa kike.
 
Ha ha haha!! Hapo atakwambia aliyetype alikosea.
Mchumi no. 1 huyu a.k.a Nyerere a.k.a Sokoine.
Na mimi namuongezea a.k.a Mulugo
Hahahahaaaaaa! ubarikiwe na mungu wangu kwa kuniongezea cku za kuishi, nimecheka sana.
 
ndio maana alipewa chopper halafu anadai wenzake walipe kodi hii ni zaidi ya escrow, kuzunguka nchi nzima mafuta, posho, muda wa selikari, kuhonga mmmmmmh
 
Mgombea Urais kadanganya umri, mengine atashindwa kutudanganya Watz?

Tafakari, chukua hatua....!
 
Chini ya miaka 40 anatafuta nini kwenye uraisi?
 
Mwigulu Nchembaas.jpg
 
ok! Umekunja kiasi gani kutoka kwake? Mgao wa ESCROW? ... Please spend wise maana nyakati za taabu na dhiki zitakujia soon ...
Kwenye red, simtetei kwa sababu kadanganya umri lakini kuchelewa kuanza shule "form one "akiwa na 19 yrs inawezekana kutokana na matatizo ambayo huenda yakachangia kuchelewa kuanza shule. Mm nilianza Form One nikiwa tayari nina 20!!!!!.
 
Hivi vielelezo hapa

Tunaomba popote alipo aeleze umma mwaka wake wa kuzaliwa ni upi




​
 
Kughusi vyeti ni jinai akamatwe mala moja Madelu.mambo ya kijinga anakuja haraka kukanusha ila kwa ishu nyeti kama hii hawezionekana utafikiri kakatwa vidole hawezi ku type kwenye keyboard
 
mkuu kama haumkubali sasa unataka nini na umejuaje kuwa yeye ndo mwenye hoja kuliko wengine .nyie ndo kila siku mnaandikaga eti mimi sina chama kama hauna chama kwenye jukwaa la siasa unatafuta nini?
 
Ukawa na wasaka Urais uchwara wamepigwa dhoruba kali na Ujio mpya wa Kijana mzalendo katika mbio za Urais ndugu Mwigulu (Sokoine 2). Mwigulu usitishwe na uzushi huu Watanzania wanakuhitaji zaidi ya hao wazushi kwa kweli Mwigulu hazuiliki Octoba 2015

una mental blindness wewe!!!
 
Back
Top Bottom