Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

Sio Iramba tu mkuu sehemu kubwa ya nci yetu ilikuwa hvyo, miaka ya 80 watu walikuwa wakifeli darasa la saba wanenda sehemu nyingine anaenda kurudia, akifeli tena anapelekwa kwingine kama sio mtu wa kukata tamaa atahakikishah hadi nafaulu. Yawezekana kweli Mwigulu alifanya hivyo kutokana na mazingira ya wakati ule. Karudia Muhongo sembuse Mwigulu...... acheni kumchafua bana

Nadhani ndilo tatizo kubwa la WTZ, mimi ningekuwa mwigulu,ningeenda kuapa kwa wanasheria na kusafisha jina basi. Tunajua kipindi chetu, hususani iramba, watu walirudia sana, "maripita" huyu alikuwa "ripita". Nakumbuka mtu alisoma shule ile ile akiitwa, Joani Matayo baadaye Wankembeta Shilla.
 
Siku chache baada ya Mwigulu Nchemba kupewa barua ya kumtaka ache ziara zake ,sasa wabaya wake wamejitokeza na kuleta visibitisho vinavyo onyesha Mwigulu amezaliwa miaka miwili tofauti. Wakati cheti chake cha masters kinaonyesha amezaliwa 1978 ,cheti cha form four kinaonyesha huyu jamaa amezaliwa 1975 Mwigulu njoo hapa utuambie ulizawaje miaka miwili tofauti. .. Source wall page IG by Alberto msando.
attachment.php

attachment.php

" Kwanza unatakiwa ujue siasa ni uongo, siasa ni uhuni, siasa ni mchezo mchafu ndio maana hawaaminiki na katika siasa kuchafuana ni jambo la kawaida"

by Dk.Kitine
 
Kwani umri ndo unadhirisha uwezo wake kikazi,kielimu,angalieni mambo yenu.Wangapi hawana utata kwa hilo na bado si waadilifu?
 
mtoto wa mfugaji ameshakosea step ya mbio za urais amesha lidanganya taifa kwa kitu kidogo tu.je akipewa nchi si itakuwa shiiiiiiiiiida.

kwani tunautambuaje uongo wa mtu na ukweli wa mtu
 
Nilichoangalia kwa makini ni Marks zake, kumbe shuleni alikuwa Jembe! hata Kisiasa yupo juu ndio maana inakuwa shida kwa walio wengi
 
Nilichoangalia kwa makini ni Marks zake, kumbe shuleni alikuwa Jembe! hata Kisiasa yupo juu ndio maana inakuwa shida kwa walio wengi

Nilichoangalia zaidi ni udanganyifu, nashangaa kitengo cha fraud kinafanya nini mpaka sasa kwa huyu muhalifu.
 
Kwani umri ndo unadhirisha uwezo wake kikazi,kielimu,angalieni mambo yenu.Wangapi hawana utata kwa hilo na bado si waadilifu?

Kinachozungumziwa hapa si mahusiano kati ya umri na uwezo wa mtu kikazi. Kinachozungumzwa hapa ni sifa ya kusema uongo aliyonayo Bw. Mwigulu Nchemba, Naibu Waziri wa Fedha. Nafasi anayoshikilia ni nyeti. Nafasi anayoitaka ya Urais ni nyeti zaidi. Sasa huoni kwamba taifa liko hatarini kwa nafasi hizi kushikiliwa na mtu msema uongo? Kwamba kazi yeye itakuwa ni kudanganya wananchi na hatutakaa tujue ni nini kinaendelea. Hili ndilo linalozungumziwa. Na kama kuna viongozi wengine unaowafahamu ambao wana tabia kama ya Mwigulu ya kusema uongo, tafadhali wataje bila kujali umri wao.
 
mwigulu hajajibu hoja ila kaendeleza mjadala kwa kuleta cheti cha matokeo ya undergraduate. tunataka alete cheti cha masters anachodai kilikosewa halafu kikarekebishwa, pia aambatanishe na cheti chake cha kuzaliwa ili tujiridhishe. Pia atoe ufafanuzi kuhusu majina yake halisi na ilikuwaje akaaza kutumia majina ya mtu mwingine. Na ikiwa huyo mtu aliyemwachia jina huyu Madelu aje hapa au atafutwe popote alipo ili atufafanulie hili suala. Ni muhimu sana sisi wananchi kujiridhisha kwa kila anayeshika nasafi za juu za uongozi isitoshe anayetamani nafasi ya urais.
 
Sio Iramba tu mkuu sehemu kubwa ya nci yetu ilikuwa hvyo, miaka ya 80 watu walikuwa wakifeli darasa la saba wanenda sehemu nyingine anaenda kurudia, akifeli tena anapelekwa kwingine kama sio mtu wa kukata tamaa atahakikishah hadi nafaulu. Yawezekana kweli Mwigulu alifanya hivyo kutokana na mazingira ya wakati ule. Karudia Muhongo sembuse Mwigulu...... acheni kumchafua bana

Mtu msafi hawezi kuchafuliwa, haya anapaswa kuyatolea ufafanuzi yeye mwenyewe tena kwenye press conference na siyo wapambe kujipachika kuwa wasemaji wake.
 
Nilichoangalia kwa makini ni Marks zake, kumbe shuleni alikuwa Jembe! hata Kisiasa yupo juu ndio maana inakuwa shida kwa walio wengi
Alidanganya kuwa ana first class kumbe ni upper second. Mbona hizo alama alizopata wengi tunazo hatujataka sifa za kijinga eti nina first wakati ni upper second? kwa nini asijivunie daraja alilopata kwani upper second ni ndogo? mimi hapa nilipata upper second first degree na ninajivunia hapo kamwe siwezi kumwambia mtu nilpata first class
 
Kwani umri ndo unadhirisha uwezo wake kikazi,kielimu,angalieni mambo yenu.Wangapi hawana utata kwa hilo na bado si waadilifu?
Kwa jitihada zako za kutetea udanganyifu kaazie kwa sitti Mtemvu hadi arudi ulingoni kwa miss tz! Ndugu ukishafanya forgery ni ngumu sana kukutofautisha na tapeli mwingine awaye
 
Wewe fisadi wa elimu Mwigulu Nchemba njoo huku utuambie kama ulizaliwa mara mbili ka mtume Muhammad! Unadanganga hata umri? Mpuuzi mkubwa!
 
Last edited by a moderator:
Wewe fisadi wa elimu Mwigulu Nchemba njoo huku utuambie kama ulizaliwa mara mbili ka mtume Muhammad! Unadanganga hata umri? Mpuuzi mkubwa!
 
Last edited by a moderator:
Nilichoangalia kwa makini ni Marks zake, kumbe shuleni alikuwa Jembe! hata Kisiasa yupo juu ndio maana inakuwa shida kwa walio wengi

Hata kwa ugaid yuko juu!!
Uongo yuko juu!!!
Kwa mfano tumpe uraisi na muhongo
Akawa wazir Mkuu , yaan Nchi itakimbia sana
Kwa kuzalisha waongo!!
Utafurah sana wewe mtumwa wake
 
Mwigulu kazaliwa kijijini, wazazi wake wanaguess kwa kuwa hawajasoma, hayo ni makosa madogo. Nape atuambie nani alimwandikia thesis pale Mzumbe?

Enheee, Nepi, twambie. Pale Mzumbe Univeristy! Naaani? Nani alikwandikia Sesisi? Ndio! Ile Thethith ya Mathtath!
 
Back
Top Bottom