Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

Baada ya kugundulika maisha ya Migiru mwenye jina yako hatarini! kwenye siasa watu watafanya lolote kujisafisha
 
Vyeti vya zamani ndo anaonekana mkubwa, vyeti vya karibuni (shahada ya pili etc) ndo anaonekana mdogo. Huyu alikuwa anapunguza umri kama baadhi ya wafanyakazi wanaoogopa kustaafu wafanyavyo. Sasa imemjia fursa ambayo anahitaji umri wa zamani (aliouficha) lakini nyaraka zake za hivi karibuni zinamuumbua. Hii iwe fundisho kwa watu wote wanaochakachua umri. NO MATTER HOW BITTER IT IS, THE TRUTH SHALL ALWAYS STAND.
 
Lakini pia zipo habari kuwa huyo kada maarufu kabisa wa CCM, hilo siyo jina lake halisi.

İnasemekana kuwa huyo Mwigulu Nchemba 'original' ni msukuma fulani, anayetokea mkoani Shy.

İnasemekana pia Mwigulu 'artificiall' anafahamika kwa jina la Lameck Madelu.

Lakini kutokana na 'kufeli' darasa la saba enzi hizo, na kulazimika kurudia darasa hilo zaidi ya mara moja, hatimaye akalazimika kurudia darasa hilo kwa jina hilo lenye 'nyota' yake, ambapo huyo mwenye jina hilo, alishindwa kuendelea na elimu ya msingi,ndipo akafanikiwa 'kutoka' na kufanikiwa kuchaguliwa na kuingia form one.

Kwa kuwa Mwigulu mwenyewe, ana İD ambayo iko verified humu JF,ni vyema akajitokeza na kulitolea ufafanuzi suala hili, ili kuondoa utata, siyo tu kuhusu jina lake, bali pia umri wake, tukizingatia kuwa pia kuwa keshaanza kwa kasi kubwa 'kuikimbilia' İkulu, kwa style ile ambayo Mwalimu alituusia kuwa, watu wa design hiyo, watanzania tunapaswa kuwaogopa kama ukoma!
 
Wivu unakusumbua mtoa post!he has achieved a lot more than you will ever dream of!haya we kumaliza kwako shule mapema kumekusaidia nini?
 
Vyeti vya zamani ndo anaonekana mkubwa, vyeti vya karibuni (shahada ya pili etc) ndo anaonekana mdogo. Huyu alikuwa anapunguza umri kama baadhi ya wafanyakazi wanaoogopa kustaafu wafanyavyo. Sasa imemjia fursa ambayo anahitaji umri wa zamani (aliouficha) lakini nyaraka zake za hivi karibuni zinamuumbua. Hii iwe fundisho kwa watu wote wanaochakachua umri. NO MATTER HOW BITTER IT IS, THE TRUTH SHALL ALWAYS STAND.
kwani mulugo yuko wapi? Dhambi ya kudanganya huwa haina msamaa kama unataka kuwa kiongozi wa jamii! Na iwe hivyo ili iwe fundisho kwa vijana wanaokuwa na watu kama akina siti Mtemvu njia ipo wazi
 
Tatizo la Mwigiru ni kwamba amerudia shule mara nyingi na ndiyo maana anajichanganya kwenye umri wake!. Mimi nimesoma Ilboru kama Mwigiru lakini cha ajabu ni kwamba wakati namaliza form 4 alikuwa hata form 1 hajaingia na inaonekana kwenye vyeti ni mkubwa kuliko mimi kwa miezi sita. Sasa ina maana kamaliza mimi nikiwa form 5 na alikuwa na miaka 19 mwaka 1994 wakati akiingia form 1. Hata kama umetokea kijijini huwezi kuanza form 1 na miaka 19 kama hujarudia shule! huu ni umri wa mtoto wa form 5 au 6 na sio form 1. Waziri wa utalii Lazaro alikuwa kuwa form 5 wakati nikiwa form 3 na ametokea Singida kama Mwigiru lakini alikuwa akilingana na wenzake hivyo sio utamaduni wa watu wa singida bali ni kurudia hivyo tuelewe hilo. Lakini pamoja na kurudia kwake namsifu mwana Ilboru mwenzangu kwa kuwa waziri kila mtu ana njia tofauti lakini awe mkweli tu kuhusu kurudia.

Acha kumfundisha jinsi ya kujitetea.Ukiona kimya sana ujue bado anatafakari jinsi ya kujinasua katika sakata ili ambalo kwa upande wangu nalifananisha na ufisadi.Kitu kingine nilichogundua ukiona mtu anajifanya ana mapenzi sana na CCM ujue kuna mambo mabaya anayafanya sasa anatumia chama cha majambazi kama mwamvuli wa kujikingia.Fanya utafiti utagundua na Mwigulu ni mmojawapo
 
kwani mulugo yuko wapi? Dhambi ya kudanganya huwa haina msamaa kama unataka kuwa kiongozi wa jamii! Na iwe hivyo ili iwe fundisho kwa vijana wanaokuwa na watu kama akina siti Mtemvu njia ipo wazi

Kudanganya ni kawaida kwa CCM nani anamkumbuka jamaa aliyekuwa anagombea ubunge jimbo la Temeke kwa tiketi ta CCM akishindana na Mrema enzi izo alivyoenguliwa baada ya kugundulika amefoji!
 
Kudanganya ni kawaida kwa CCM nani anamkumbuka jamaa aliyekuwa anagombea ubunge jimbo la Temeke kwa tiketi ta CCM akishindana na Mrema enzi izo alivyoenguliwa baada ya kugundulika amefoji!

Kihiyo! Mpaka ukapatikana msemo wa KIHIYO
 
Siku chache baada ya Mwigulu Nchemba kupewa barua ya kumtaka ache ziara zake ,sasa wabaya wake wamejitokeza na kuleta visibitisho vinavyo onyesha Mwigulu amezaliwa miaka miwili tofauti. Wakati cheti chake cha masters kinaonyesha amezaliwa 1978 ,cheti cha form four kinaonyesha huyu jamaa amezaliwa 1975 Mwigulu njoo hapa utuambie ulizawaje miaka miwili tofauti. .. Source wall page IG by Alberto msando.
attachment.php

attachment.php

jamaa ame danganya mwaka wa kuzalia mpaka mwezi na tarehe!!!!
 
Mkuu mbona umeandika pumba kama vile hujasoma iliyokua special school au na wewe ni kati ya wale magwiji wa kununua nafasi za watu. Umeandika pumba sana inachukua muda mtu kuelewa ulikua unataka kusema nini.
 
Nhnnnn.......Chemba amebanwa na hizi facts.....hachomoki hapo mbali na tuhuma zake za ughaidi. Chama chake kikikahidi.....havuki pingamizi za mahakama. wanasheria.....pesa nje nje kwa chemba...nendeni mmsaidie.
 
Mkuu mbona umeandika pumba kama vile hujasoma iliyokua special school au na wewe ni kati ya wale magwiji wa kununua nafasi za watu. Umeandika pumba sana inachukua muda mtu kuelewa ulikua unataka kusema nini.

Ugumu wa kichwa chako pia ni tatiz..

..jihoji
 
Sokoine wa pili? hapa pia familia ya marehemu Sokoine,inatakiwa imfu gulie mashtaka huyu jamaa kwa kuiba jina la marehemu.
 
Wivu unakusumbua mtoa post!he has achieved a lot more than you will ever dream of!haya we kumaliza kwako shule mapema kumekusaidia nini?

Mafanikio ni jambo moja,na kudanganya ili kupata mafanikio ni jambo lingine.
Mafanikio yake,yapo katika udanganyifu. Jenga tabia ya kuwa mwelevu.
 
Mmmnnh!! Hajaja tu kukanusha.......!! Mwigulu Madilu...this time umeukalia wa moto!! Kwenye Chopa ulikuja faster kukanusha, inakuwaje kwa hili!!!!???
 
Back
Top Bottom