Mwezi wa RAMADHANI ndio umefika ila please tuvumiliane

Mwezi wa RAMADHANI ndio umefika ila please tuvumiliane

yani nile chakula changu sirini kwa ajili ya dini yako wewe
Lakini pia utambue Kuna mambo kwenu nyie wakristo hayawi dhambi lakini kwa wenzenu waislamu ni dhambi

Mfano wenzenu waislamu kitimoto ni haramu kwao lakini nyie wakristo mnaruhusiwa kumla kitimoto,au kusema yesu ni mwana wa mungu ni sahihi kwa ninyi wakristo lakini wenzenu waislamu mungu wao hakuzaa wala hakuzaliwa na hana mwana

Sasa kwanini wewe uwawekee masharti watu wa dini nyingine?

Ushauri wangu kwako kama unatambua ustaarabu na unaheshimu dini ya mwenzio basi kwa nyakati kama hizi huyo kitimoto ni vyema ukawa unamla sirini na mengine ambayo unaona hayawapendezi waislamu hususani kwa nyakati hizi pia uyafanye sirini
 
Ndugu zangu wanafunga lakini ndo kipindi wanachonenepeana sana..inabidi nifanye research shule ya biochemistry na physiology ninayo.
Usijihangaishe Mkuu.Hawa jamaa ndo muda wao wa kula vilivyo yaani kisawasawa.Kimsingi wanabadilisha ratiba ya kula, badala ya kula mchana wao wanakula usiku,ambapo mwili haufanyi kazi hivyo mtu hunenepeana kwasababu ya mlundikano wa mafuta.
 
Mimi nahisi wewe ndio unahitaji kuwa na uvumilivu mana usingelikuja na kiherehere hicho. Wivu unakusumbua kijana fanya yako ya wenzio achana nayo
 
Hawalazimishwi kula kwa kujificha. No wao wenyewe tu nao wanatuheshimu kwa sababu wanaona mwezi wa Ramadhan kuna kuwa kuna hali gani.

Na MashaAllah hata kama tunajua kuwa mchana wamekula inapofika maghrib tunafutari nao pamoja. Mana ofisi yetu sisi ni mpk saa 1 usiku.
Kwani mtu akila wakati wewe umefunga kuna shida gani?? Mbona hapa ofisini kwetu tunakula na wao wanatulia au wanabeba kwenda kulia kwao jioni??

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Unasema huyo kitimoto amlie sirini Ili asimtamanishe mwisilamu?
[emoji39][emoji39][emoji39]
Screenshot_20210416-161616_Facebook.jpg

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Sasa wangeposti nini??. Maana kila wanachokula wao sisi Wakristo tunakula lkn Si kila tunachokula sisi Wakristo na wao wanakula Mfano Kitimoto,Sasa mtoa uzi anawatahadharisha kuwa isije ikatokea biashara yake ikadorora mwezi huu maana wanaofunga sio walaji Sasa kwanini biashara idorore?!!.
Mkuu kuna wasabato pia kwenye kipengele cha mauzo ya kitimoto kupungua

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Kwani mtu akila wakati wewe umefunga kuna shida gani?? Mbona hapa ofisini kwetu tunakula na wao wanatulia au wanabeba kwenda kulia kwao jioni??

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
Ni sawa hakuna shida.

Nlichoona hapa kila mmoja hajui mazingira ya sehemu mwenzie hasa wewe unabisha wakati mazingira ya zanzibar huyajui. Huku Kwetu shekhe Ramadhan huwezi kuifananisha na siku za kawaida, inakuwa ni tofauti na ndio maana ukiacha wageni wa kizungu wanaotoka mataifa mengine..wakuja wengine huwa wanaheshimu mazingira wanayokutana nayo.

Pamoja na utalii kuwa sababu ya kubadilisha utamaduni wetu tuliozoea lkn bado ladha ya mwezi huu ipo, staha na heshima ipo bado Sio kama bara mazingira ya huko hayamzuii mtu kufanya ayafanyayo inapoingia Ramadhan. Si tunaona tunapokuja huko
 
Dada wala usijisumbue juu yao hapo kuna watu wanatafutwa, hongera sana kwa kuwajibu vyema. [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom