Mwezi wa RAMADHANI ndio umefika ila please tuvumiliane

Mwezi wa RAMADHANI ndio umefika ila please tuvumiliane

Samahani nnatoka nje ya Mada kuna kitu sijaelewa kuhusu hyo kwa resma Mimi nimuislam katika dini yetu kufunga mwez wa Ramadhan ni lazima na asilimia kubwa wanafunga na wasiofunga huwa hata kula kwao wanajificha sana lakini sijaelewa funga yenu ndugu zetu Christians je pia ni lazima au mtu akiamua tu mwenyewe kufunga akitaka hafungi.
Sio lazima kufunga.....ni moyo wako tu ukubaliane na hilo jambo sio kwamba ni sheria lazima ufunge.....na kwa wakristo unaweza funga vitu vingi tu sio kula peke yake.......hata tabia unafunga
 
Samahani nnatoka nje ya Mada kuna kitu sijaelewa kuhusu hyo kwa resma Mimi nimuislam katika dini yetu kufunga mwez wa Ramadhan ni lazima na asilimia kubwa wanafunga na wasiofunga huwa hata kula kwao wanajificha sana lakini sijaelewa funga yenu ndugu zetu Christians je pia ni lazima au mtu akiamua tu mwenyewe kufunga akitaka hafungi.
Tunafunga kama kawa ila hamlazimishi mtu mwingine asile mbele yetu
 
Samahani nnatoka nje ya Mada kuna kitu sijaelewa kuhusu hyo kwa resma Mimi nimuislam katika dini yetu kufunga mwez wa Ramadhan ni lazima na asilimia kubwa wanafunga na wasiofunga huwa hata kula kwao wanajificha sana lakini sijaelewa funga yenu ndugu zetu Christians je pia ni lazima au mtu akiamua tu mwenyewe kufunga akitaka hafungi.
Sisi dini yetu mambo yote tunafanya kwa hiari kadri ya utayari wa mtu na hakuna kulazimishana. Hiyo kwaresma ni mwezi wa mfungo wa wakatoliki na sio kwa wakristo wote na hata hao wakatoliki wenyewe sio wote wanaofunga mwezu huo Bali ni wale wanaojisikia na wenye utayari
 
Ahsante sana Kaka nimekuelewa
 
Dini ya Kiislamu inatuzuia kumla Nguruwe tu na si kumfuga au kuvaa mikanda ya ngozi yake.
...
images%20-%202021-04-15T102837.004.jpg
 
Kwani uongo mkuu???

Wasabato na waislam hawatumii so tuliobaki tunaendelea na ratiba zetu so rate ya biashara yangu itabaki constant

any drop in sales will spark........................... some questions
Hata nyinyi pia mmekatazwa kula nguruwe Sema tu uroho wenu na kutofuata kitabu chenu wenyewe soma katika agano la kale walawi 11:7-8 inasema nguruwe msimle anakwato zilizogawanyika lakini pia hacheui kwenu ni najisi msile nyama yao Wala msiguse mizoga yao
 
Kwa kusema ukweli, Mungu alituumba na kutuweka Afrika na Mizimu yetu kwa maelfu ya miaka, halafu wakaja watu wakasema Mungu anataka hivi na hivi hivi tukasema sawa.

Mara wale waliotuletea habari za Mungu wakawa wengi, na kuanza kupingana wenyewe kwa wenyewe.

Wengine tukajisemea hewala ndio utumwa.
 
Nyie yenu mnalazimishana mno aisee.
Imani haijengwi kwa kulazimishana namna hiyo halafu wengi wenu mnafunga kinafiki tu!

Kwanza mimi sioni kama mnafunga maana usiku kucha mnakula.
Kuna muda maalumu wa kufunga na muda mwengine ruhusa kula halafu bahati mbaya au nzuri sisi dini yetu huwa hatujiamulii tu kwamba nikiamua nnafanya hyo sio dini ndio maana Christian kuna kipindi mnabadilisha hadi Sheria za kwenye bibble nakuweka zenu na Sasa hv mnataka kuruhusu kuoana jinsia moja

IMG_20210415_174017_419.JPG
 
Huyo Nguruwe ni mjinga anatakiwa kukishukuru hicho Kitabu, kimemuepushia Mauti ya kuchinjwa.

Wanaotakiwa kukilalamikia kitabu ni Mbuzi Ngombe Kondoo Kuku nk. Kwani kinaamuru wauwawe na waliwe.
Kwahiyo anayeamulu uuawe na anayekataza usiuawe unamshukuru aliyeamuru uuawe maana uislam hauruhusu aliwe Sasa situmemnusulu kifo maana bibble na qur an zote zimekata asile hila uroho wenu tu
 
Kuna muda maalumu wa kufunga na muda mwengine ruhusa kula halafu bahati mbaya au nzuri sisi dini yetu huwa hatujiamulii tu kwamba nikiamua nnafanya hyo sio dini ndio maana Christian kuna kipindi mnabadilisha hadi Sheria za kwenye bibble nakuweka zenu na Sasa hv mnataka kuruhusu kuoana jinsia moja

View attachment 1752904
Hayo ni mawazo ya Papa Wala si Maandiko yanenavyo.

Poleni Sana ndugu zangu kwa kushikiana bakora kufunga[emoji1787]
Safari ya Mbinguni ni ya mtu mmoja mmoja,na kila mtu anaguswa kwa namna Yake..acheni kufunga kinafiki.
Mmekwisha pata thawabu zenu.
 
Hata nyinyi pia mmekatazwa kula nguruwe Sema tu uroho wenu na kutofuata kitabu chenu wenyewe soma katika agano la kale walawi 11:7-8 inasema nguruwe msimle anakwato zilizogawanyika lakini pia hacheui kwenu ni najisi msile nyama yao Wala msiguse mizoga yao
Wewe mtu ngoja nikusaidie soma [emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]

Matendo ya Mitume 11
5“Nilikuwa katika mji wa Yafa nikiomba, nami nikapitiwa na usingizi wa ghafula, nikaona maono. Kulikuwa na kitu kama nguo kubwa ikishuka kutoka mbinguni, ikishushwa kwa ncha zake nne, nayo ikanikaribia. 6Nilipoangalia ndani yake kwa karibu niliona wanyama wenye miguu minne wa nchini, wanyama wa mwitu, watambaao na ndege wa angani. 7Ndipo nikasikia sauti ikiniambia ‘Petro, ondoka uchinje na ule.’

8“Nikajibu, ‘La hasha Bwana! Kitu chochote kilicho najisi hakijaingia kinywani mwangu.’

9 “Sauti ikasema kutoka mbinguni mara ya pili, ‘Usikiite najisi kitu chochote Mungu alichokitakasa.’
 
Back
Top Bottom