Mwezi wa RAMADHANI ndio umefika ila please tuvumiliane

Mwezi wa RAMADHANI ndio umefika ila please tuvumiliane

Wewe mtu ngoja nikusaidie soma [emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]

Matendo ya Mitume 11
5“Nilikuwa katika mji wa Yafa nikiomba, nami nikapitiwa na usingizi wa ghafula, nikaona maono. Kulikuwa na kitu kama nguo kubwa ikishuka kutoka mbinguni, ikishushwa kwa ncha zake nne, nayo ikanikaribia. 6Nilipoangalia ndani yake kwa karibu niliona wanyama wenye miguu minne wa nchini, wanyama wa mwitu, watambaao na ndege wa angani. 7Ndipo nikasikia sauti ikiniambia ‘Petro, ondoka uchinje na ule.’

8“Nikajibu, ‘La hasha Bwana! Kitu chochote kilicho najisi hakijaingia kinywani mwangu.’

9 “Sauti ikasema kutoka mbinguni mara ya pili, ‘Usikiite najisi kitu chochote Mungu alichokitakasa.’
Kwahyo unamsikiliza huyo muhuni mwenzio Petro au unamfuata yesu maana yesu hyo sheria kukataza kula nguruwe yesu hajaikataa iliendelea na agizo hilo limerudiwa katika kumbukumbu ya shariah 14:7-8 na pia isaya 66:17 na agano jipya amesema kuwa hakuja kutengua sheria na mafundisho ya manabii Bali kukamilisha mathayo 5:17 kwahyo yesu hakufuta sheria alizozikuta moja wapo ikiwa hyo ya kula nguruwe ambayo ilikuwa tangu agano la kale ndio aje huyo Msela alete sheria zake
 
Naomba mstari YESU alipokataza kula [emoji200] usiniambie habari za MGERASI mwenye MAJINI

Maana majini ni "WAISLAM" kwa kuwa Mudi aliwasilimisha wao hadi sheitwain
 
Umeingia kwenye nchi umekuta na utamaduni wao fuata utamaduni uliyokuta kama unataka kula hadharani tanzania bara utakula mpk unye Hakuna atakaye kufuata heshimu sheria sehemu unapoenda.
Niambie kama wazungu pia hawali kule hotelini
 
Kwahyo unamsikiliza huyo muhuni mwenzio Petro au unamfuata yesu maana yesu hyo sheria kukataza kula nguruwe yesu hajaikataa iliendelea na agizo hilo limerudiwa katika kumbukumbu ya shariah 14:7-8 na pia isaya 66:17 na agano jipya amesema kuwa hakuja kutengua sheria na mafundisho ya manabii Bali kukamilisha mathayo 5:17 kwahyo yesu hakufuta sheria alizozikuta moja wapo ikiwa hyo ya kula nguruwe ambayo ilikuwa tangu agano la kale ndio aje huyo Msela alete sheria zake
Mkuu ngoja nikuambie kitu

Torati iliandikwa baada ya wana wa Israel walipotoka Misri kuja Kaanan wengi wao 99.999% walizaliwa njiani wakati wa safari watu wazima walikuwa Haruni na Joshua so kizazi chooooooooote kilizaliwa njiani so walikumbushwa sheria za baba zao.

Agano jipya lilikuja kutimiza mambo yaliyotabiriwa enzi za kale na sio sheria
 
Hyo sheria inayokataza kula nguruwe ipo agano LA kale na yesu alivyokuja alisema hakuja kufuta sheria zilizokuwepo Kabla yake na sheria moja wapo ni hyo walawi 11:7-8
 
Hyo sheria inayokataza kula nguruwe ipo agano LA kale na yesu alivyokuja alisema hakuja kufuta sheria zilizokuwepo Kabla yake na sheria moja wapo ni hyo walawi 11:7-8
Yesu hajawahi kuongelea kitimoto bhana si unipe mstari wenye matamshi ya Yesu???
 
Yesu hajawahi kuongelea kitimoto bhana si unipe mstari wenye matamshi ya Yesu?

Yesu hajawahi kuongelea kitimoto bhana si unipe mstari wenye matamshi ya Yesu???
Endelea tu kula nguruwe maana unajitoa tu ufahamu nimekupa hadi Hayo ambazo zipo kwenye bibble ambazo zilikuwepo tangu agano LA kale na yesu akasema hakuja kutengua sheria zilizokuwepo kabla yake Bali kuzikamilisha na moja wapo ni hyo Hakuna kula nguruwe ni najisi unajifanya Huelewi,ww endelea kula nguruwe simmezoea kupinga vitabu vyenu
Yesu hajawahi kuongelea kitimoto bhana si unipe mstari wenye matamshi ya Yesu???
 
Hayo ni mawazo ya Papa Wala si maandiko yanenavyo.

Poleni Sana ndugu zangu kwa kushikiana bakora kufunga[emoji1787]
Safari ya Mbinguni ni ya mtu mmoja mmoja,na kila mtu anaguswa kwa namna Yake..acheni kufunga kinafiki.
Mmekwisha pata thawabu zenu.
Uislam pamoja na kufuata kitabu kitakatifu cha Quran na Sunna za Mtume SAW pia kuna nguzo (sharia) tumewekewa ambazo nazo pia zimetajwa kwenye Quran. Na zipo kwa mpangilio kutokana na umuhimu wake wa kuzitekeleza kwa mpangilio huo.

1. Shahada
2. Kuswali
3. Kutoa Zakka
4. Kufunga mwezi wa Ramadhan
5. Kwenda Makka kuhiji kwa mwenye Kuweza

Na kila nguzo hapo imeelekezwa namna ya kuzitekeleza katika Quran.

Turudi kwenye hio ya nne yaani swaum.

Kuna aya inayosema Enyi Mlioamini mmefaradhishiwa kufunga kama walivyofaradhishiwa waliokuja kabla yenu ili mpate kumcha Mwenyezimungu.

Faradhi maana yake ni lazima. Hivyo kufunga kwa muislam mtu mzima mwenye akili timamu na mwenye afya nzuri lazima.

Ili mpate kumcha Mwenyezimungu (kwa nini? Kwa sababu Funga Ni kati ya mja na Mola wake) Anaweza mtu akajifanya kufunga mbele ya macho ya watu lakini akala au kunywa maji kwa kujificha. Hio ni khiari yake. Ila kwa mtu mwenye imaan kuwa atarudi kwa Mola wake na ataulizwa juu ya matendo yake na atahukumiwa na Mola wake basi anafunga ili kupata fadhila kama alivyoahidiwa na Mola wake. (Swaum ni baina ya mja na Mola wake)

Na aya hiohio iliendelea kueleza kuwa kwa mtu alie mgonjwa au yupo safafini basi Anaweza kuwacha kufunga na akaja mukamilisha (kulipa alizoziacha wakati ana dharura)

Pia kwa wajawazito, wanaonyonyesha pamoja na vikongwe wanaruhusiwa kutokufunga na kuja kulipa siku za mbele au kutoa fidia.

Faida za swaum kwa binaadam au kwa mwenye kuamini ni pamoja na kumcha MwenyeziMungu kwani unajizuia kula na kunywa pamoja na kulala na mkeo au mumeo wakati wa mcha ilhali una uwezo wa kufanya hayo lkn unaachana nayo kwa kutegemea malipo Ya kheri.

Pia tumeambiwa tufunge tupate afya. Funga inasaidia kuacha kula kula ovyo wakati mwengine pasi na uhitaji Hivyo basi unauepushia mwili na vitu vingi.

Funga pia inaweka usawa wa walio nacho na wasionacho kwani wote hukaa bila kula kwa masaa kadhaa na kufeel how hunger inakuwaje kwa wasio na chakula cha kutosha. Ndio maana inasisitizwa sana pia kutoa sadaka kwa wasiojiweza kwenye mwezi huu zaidi.

Kwa wanaokula kupitiliza linapozama jua hio haifai. Tunashauriwa kula kiasi tu kwani kuna ibada nyengine zinaendelea usiku kama kuswali taraweikh na tahajjud.

Na pia ni thawabu mtu kula daku karibia ya alfajiri japo maji na tende ili usiwe dhaifu kwani dini haimkalifishi mtu.
 
Mkuu nenda Zenji halafu wakuhisi unatafuna BAZOOKA utatembezewa kichapo kama mwizi
Hamna izoo bhana.

Zenji imekuwa nchi ya wazungu siku hizi.

Uzuri tu kuwa wengi wa wakaazi wa huku washazoea tamaduni za huku hata kama Sio wazaliwa. So huwa kuna staha kwa mambo kama hayo pamoja na mavazi.

Binafsi nafanya kazi na wenzetu wakristo wametoka bara wana nguo zao special za kuvaa Ramadhan.

Na wanapohitaji kula wanakula kuna sehemu ndani wanakaa wanakula hata hatuwabughudhi.

Huku ukiskia mtu kapigwa Ramadhan basi labda awe kalewa na kufanya fujo
 
Endelea tu kula nguruwe maana unajitoa tu ufahamu nimekupa hadi Hayo ambazo zipo kwenye bibble ambazo zilikuwepo tangu agano LA kale na yesu akasema hakuja kutengua sheria zilizokuwepo kabla yake Bali kuzikamilisha na moja wapo ni hyo Hakuna kula nguruwe ni najisi unajifanya Huelewi,ww endelea kula nguruwe simmezoea kupinga vitabu vyenu
Kwani mi sijakupa mistari ya bible?? Haya nioe Quran?

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Hamna izoo bhana.

Zenji imekuwa nchi ya wazungu siku hizi.

Uzuri tu kuwa wengi wa wakaazi wa huku washazoea tamaduni za huku hata kama Sio wazaliwa. So huwa kuna staha kwa mambo kama hayo pamoja na mavazi.

Binafsi nafanya kazi na wenzetu wakristo wametoka bara wana nguo zao special za kuvaa Ramadhan.

Na wanapohitaji kula wanakula kuna sehemu ndani wanakaa wanakula hata hatuwabughudhi.

Huku ukiskia mtu kapigwa Ramadhan basi labda awe kalewa na kufanya fujo
Juzi mmewazingua wazungu eti wasivae vipensi

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Juzi mmewazingua wazungu eti wasivae vipensi

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
Vipensi vyenyewe kama hivi???

Vipensi vya kawaida poa tu
20210302_165644.jpg
 
Okey suppose ni just sherehe huyu jamaa anaruhusiwa kuwa na hio kitu??

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
Asiruhusiwe kwa sababu gani?

Dini yake?
Mavazi yake?
Umri wake?
Au afya yake?

Na suppose dini yake inamkataza lkn yeye anafanya, so?

Ndio uta generalise kuwa waumini wote wanacheat kama anavyocheat huyo mzee?
 
Back
Top Bottom