Mwezi wa RAMADHANI ndio umefika ila please tuvumiliane

Mwezi wa RAMADHANI ndio umefika ila please tuvumiliane

Lakini pia utambue Kuna mambo kwenu nyie wakristo hayawi dhambi lakini kwa wenzenu waislamu ni dhambi

Mfano wenzenu waislamu kitimoto ni haramu kwao lakini nyie wakristo mnaruhusiwa kumla kitimoto,au kusema yesu ni mwana wa mungu ni sahihi kwa ninyi wakristo lakini wenzenu waislamu mungu wao hakuzaa wala hakuzaliwa na hana mwana

Sasa kwanini wewe uwawekee masharti watu wa dini nyingine?

Ushauri wangu kwako kama unatambua ustaarabu na unaheshimu dini ya mwenzio basi kwa nyakati kama hizi huyo kitimoto ni vyema ukawa unamla sirini na mengine ambayo unaona hayawapendezi waislamu hususani kwa nyakati hizi pia uyafanye sirini
Watu kama wewe hamkosekanagi
 
Sasa amle kwa siri kwanini? Kwani wewe unalazimishwa kumla kisa ameliwa hadharani?
 
Hawachelewi kulalama kama kawaida yao, halafu utashangaa wadada wanaotembea nusu uchi watapungua hapo ndio ujiulize ni akina nani wanavaaga hivyo??
Kuhusu kuvaa nusu uchi.. Kuna wakristo ukiingia tu mfungo wanaamua kuvaa nguo za stara kuuheshimu mwezi wa Ramadhan. Pamoja na kuwaheshimu waislam wenzao wanoishi nao au wanaofanya kazi nao
 
Ndugu zangu wanafunga lakini ndo kipindi wanachonenepeana sana..inabidi nifanye research shule ya biochemistry na physiology ninayo.
Hehe mtu anaahirisha kula tu.....msosi wa asubuhi+mchana+usiku na wa kesho asubuhi tena ,unaliwa ndani ya masaa kadhaa ya usiku
 
Ndugu zangu wanafunga lakini ndo kipindi wanachonenepeana sana..inabidi nifanye research shule ya biochemistry na physiology ninayo.
Tuwe wakweli hawa jamaa hawafungi wamebadilisha ratiba ya kula tu,

imagine mtu anakula daku la nguvu saa10 alfajiri njaa ataisikia saa10 jioni sasa hapo kuna funga??
 
Hehe mtu anaahirisha kula tu.....msosi wa asubuhi+mchana+usiku na wa kesho asubuhi tena ,unaliwa ndani ya masaa kadhaa ya usiku
Ivi kuna mtu anaweza kula ivo kweli?

Tena watu wengi wakifunga hawali sana. Hao wanaokula namna hio tangu na mwanzo walafi tu.

Nafkiri ni aina ya vyakula vinavotumika Ramadhan ndio vinavyonenepesha. Hasa sukari na uwanga.

Wengine ndio huwa mwezi wetu wa kupungua.
 
Hakuna kipindi kibaya cha biashara ya kitimoto kama hiki, nyama inadoda mabuchani

Kama umezoea kuuza kilo 5 kwa siku, sasa utauza kilo 2 kwa bahati.

Hivi Waislam hamuwezi kufuturia kitimoto Roast kama itachanganywa na tambi au viazi rojo?
 
Yaani utadhani wamelazimishwa,na hata wizi na ujambazi pia huwa unapungua sana kipindi hiki,ndio wakati wa kuanika nguo usiku na asubuhi ukazikuta salama salmini...
Baby pig pls come to us, we are craving of you
images%20-%202021-04-15T102925.697.jpg
 
Back
Top Bottom