Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 37,406
- 79,652
Hata hiyo ya Zanzibar ni uonevu. Au basi iwekwe sheria huko znz kuwa hayo mambo hayaruhusiwi hutaona wakienda kufanya hivyo. Mtu kuanzisha bar kuna taratibu anapitia na kibali anapewa.Nimekuelewa vyema, sasa nijibu na hili
Sidhani kama una uhakika na hiki unachoongea, kumkwaza mtu sio kwenye kufunga tu, bali hata kuanzisha biashara ya vinywaji (bar) kwenye eneo lililozungukwa na Waislam pia ni kukwazana....
Kwanini asinyimwe kibali? Aambiwe kuwa huku Zanzibar bar haziruhusiwi. Unadhani atalazimisha? Kwahiyo wewe ukiona pombe udenda unakutoka? Pombe ni Haram according to you..how come utamani kuinywa? Ni wakati wa ramadhan tu ndo mkataze? Kwanini isiwe siku zote?
Au ndo kama kawaida matendo mema tufanye wakati wa ramadhan, ikiisha tuendelee na dhambi kama kawa?
Mna sheria za kushangaza