Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

regardless mkuu as long as watu wanafungulia maswahibu yao na wanatoa ushuhuda baada ya kujibiwa shida zao sioni shida kabisa... hata huko katholic kuna maji ya baraka nayo yapo tu brother so i believe that Man ever
Unafahamu kuwa hata shetani anaponya? Kwahiyo kufunguliwa kwa watu siyo hoja.

Je, wajua kwamba jina Yesu linatumikq hata ktk nguvu za giza? Kwahiyo kutajwa kwa jina la Yesu kisikuzubaishe.

Mwamposa mhuni Kama wahuni wengine. Umewahi kumshuhudia akishuka ama kupata gari lake? Kama bado tuulize sisi tuliyowahi kuwa waambata wake tukujuze. Unaibiwa wewe.
 
Kipawa? Ule ni uganga tu kama uganga mwingine. Kwa wakristo Kipawa kipo ndani ya mtu sio mafuta/keki Wala kutoa fedha Ili uombewe/appointment na MMtu

Kwani waganga/wachawi hawaponyi watu? The thing is siyo mtumishi wa Mungu maana main main objective ya utumishi ni watu kuokoka umewahi ona anahubiri watu waokoke au wabatizwe?? Yeye anataka tu hata Mpagani aje apewe mafuta aendelee na Upagani wake wala Hana shida na wokovu wake!!

So nsingependa kuona anaitwa mtumishi wa Mungu.
Acha uongo mkuu mbona anawaambia ambao hawajamkiri Yesu kuwa mwokozi huwaabia wakiri.
 
Tuambie

Unafahamu kuwa hata shetani anaponya? Kwahiyo kufunguliwa kwa watu siyo hoja.

Je, wajua kwamba jina Yesu linatumikq hata ktk nguvu za giza? Kwahiyo kutajwa kwa jina la Yesu kisikuzubaishe.

Mwamposa mhuni Kama wahuni wengine. Umewahi kumshuhudia akishuka ama kupata gari lake? Kama bado tuulize sisi tuliyowahi kuwa waambata wake tukujuze. Unaibiwa wewe.
 
Kuomba Kuthibitishia si ndiyo mojawapo ya Matumizi ya hiyo akili niliyonayo Mkuu au...... hahahahahah
Inaonyesha huwa unasoma biblia lakini huilewi kama yule Towashi aliyebatizwa na Filipo.
Ukristo una misingi yake ya uponyaji na sio huu uganga.
Uponyaji sio kigezo pekee kuwa wewe ni mtumishi wa Mungu.
Hata wapiga ramli huponya.
Dawa huponya.
Wanajimu huponya.

Lijue neno la Mungu kama ilivyoandikwa;
Mkiijua kweli hiyo kweli itawaweka huru.
 
Kwani waganga/wachawi hawaponyi watu? The thing is siyo mtumishi wa Mungu maana main main objective ya utumishi ni watu kuokoka umewahi ona anahubiri watu waokoke au wabatizwe?? Yeye anataka tu hata Mpagani aje apewe mafuta aendelee na Upagani wake wala Hana shida na wokovu wake!!

So nsingependa kuona anaitwa mtumishi wa Mungu.
Ulishawahi kuhudhuria mikutano yake ama kusikiliza mahubiri yake??

#MaendeleoHayanaChama
 
Mimi Kila siku nasikia wale ambao wanataka kumrudia Mungu anawaombea na akimaliza anawambia nendeni kwenye dhehebu lolote lilokaribu yako na muone mchungaji ili uendelee kuishi kiriho sasa Mkuu yeye anazunguka nchi nzima atawabatiza wangapi?
Muulize kama Yesu aliwahi batiza mtu?..chamsingi watu wahubiriwe kweli waponywe shida zao nao watalihimidi jina la Mungu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Unafahamu kuwa hata shetani anaponya? Kwahiyo kufunguliwa kwa watu siyo hoja...
Kupanda Gari akitokea wapi? Ila kushuka huwa namuona ila kwa kuwa kunakuwa na watu wengi na ulinzi mkubwa wakiwepo Polisi, Usalama na wengine na walinzi wake huwezi ukaona kwa kuwa linakuwa ni jambo la dakika chache na anakuwa alutareni.. hata wakati wa kuondoka vivyo hivyo ni kama alivyo mdogo wako Diamond.... Sioni hilo unaweza liambatanisha na huo uhuni unao usema
 
Unafahamu kuwa hata shetani anaponya? Kwahiyo kufunguliwa kwa watu siyo hoja.

Je, wajua kwamba jina Yesu linatumikq hata ktk nguvu za giza? Kwahiyo kutajwa kwa jina la Yesu kisikuzubaishe.

Mwamposa mhuni Kama wahuni wengine. Umewahi kumshuhudia akishuka ama kupata gari lake? Kama bado tuulize sisi tuliyowahi kuwa waambata wake tukujuze. Unaibiwa wewe.
Si uweke wazi unaficha nini sasa.?

#MaendeleoHayanaChama
 
JF
Kwa heshima na taadhima ningependa kujua Nabii Mwamposa amefikaje fikaje hapo alipo na namna Mungu anavyoendelea kumtumia.. nadhani ni muhimu watumishi Hawa wawe wanatuwekea historia zao ili kuweka mazingira halisi ya mahusiano yao na Mungu wetu kabla ya kufikia hatua hiyo...wengine utakuta waliishi maporini na milimali wakimtafuta Mungu kabla hawajafanikiwa
Amefanikiwa kupata wapuuzi wanaoamini katika MIUJIZA
 
Back
Top Bottom