Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

Kipawa? Ule ni uganga tu kama uganga mwingine. Kwa wakristo Kipawa kipo ndani ya mtu sio mafuta/keki Wala kutoa fedha Ili uombewe/appointment na Mtume!!
Acha kukariri..unaikumbuka story ya naamani yule jemedari?
Unaikumbuka habari ya nyoka wa shaba?
Unakumbuka yule kipofu aliyepakwa tope?
Unafahamu wafalme walikua wakipakwa mafuta kwaajili ya upako wa kuwa wafalme?

Kama unaamini hizo story kwanini usiamini la mafuta na maji ya upako?
 
Kipawa? Ule ni uganga tu kama uganga mwingine. Kwa wakristo Kipawa kipo ndani ya mtu sio mafuta/keki Wala kutoa fedha Ili uombewe/appointment na Mtume!!
regardless mkuu as long as watu wanafungulia maswahibu yao na wanatoa ushuhuda baada ya kujibiwa shida zao sioni shida kabisa... hata huko katholic kuna maji ya baraka nayo yapo tu brother so i believe that Man ever
 
Alianza uinjilist wa kukaa na kuhubiri barabarani Mke wake akawa anaona aibu akasema tutafute kazi akasema hayupo tayari Mke wake akamtosa naye akajiwekea nadhiri kuwa hatuaacha kumtumikia Mungu hadi Ajue Mungu huyu ni nani ndiyo akampa hicho kipawa Chake.. I do not know lakini I think hadi leo hana Mke tena hata yule alipotaka kumrudi alikataaa.. A little I know though sina uhakika ready to be corrected
Maelezo Yako yanafikirisha na yanaweza kuwa kweli.Ila ningetamani nabii asimwage baraka kama njugu Bali awatafutie watu njia ya kuingia ufalme wa Mungu ambalo ndio tatizo kubwa kwa wengi
 
regardless mkuu as long as watu wanafungulia maswahibu yao na wanatoa ushuhuda baada ya kujibiwa shida zao sioni shida kabisa... hata huko katholic kuna maji ya baraka nayo yapo tu brother so i believe that Man ever
Kwani waganga/wachawi hawaponyi watu? The thing is siyo mtumishi wa Mungu maana main main objective ya utumishi ni watu kuokoka umewahi ona anahubiri watu waokoke au wabatizwe?? Yeye anataka tu hata Mpagani aje apewe mafuta aendelee na Upagani wake wala Hana shida na wokovu wake!!

So nsingependa kuona anaitwa mtumishi wa Mungu.
 
Kwani waganga/wachawi hawaponyi watu? The thing is siyo mtumishi wa Mungu maana main main objective ya utumishi ni watu kuokoka umewahi ona anahubiri watu waokoke au wabatizwe?...
naomba unithibitishie ni mganga yupi wa Kienyeji ambaye amemponya mtu akajitokeza hadharani na kusema ameponywa na mganga Fulani? au unaongelea hawa wanasiasa wanaotoa kafara ya ufumbaji wa macho wapiga kura? au?

Kwa kifupi hakuna Mganga wa Kienyeji yeyote ambaye anaweza kuponya Ugonjwa .. Yeye atatibu ila hawezi kumponya.. Mwenye uwezo wa Uponyaji ni Mmoja tu naye niyule aliyempa uhai huyo mganga na huyo Mgonjwa tu ambaye Ni Mungu.
 
Kwani waganga/wachawi hawaponyi watu? The thing is siyo mtumishi wa Mungu maana main main objective ya utumishi ni watu kuokoka umewahi ona anahubiri watu waokoke au wabatizwe?? Yeye anataka tu hata Mpagani aje apewe mafuta aendelee na Upagani wake wala Hana shida na wokovu wake!!

So nsingependa kuona anaitwa mtumishi wa Mungu.
Mimi Kila siku nasikia wale ambao wanataka kumrudia Mungu anawaombea na akimaliza anawambia nendeni kwenye dhehebu lolote lilokaribu yako na muone mchungaji ili uendelee kuishi kiriho sasa Mkuu yeye anazunguka nchi nzima atawabatiza wangapi?
 
Ilikufa kifo cha mende. Na ndiyo maana Mwamposa hutokaa ukamsikia akihubiri Mambo ya ndoa. Piga ua hagusii huko, maana yeye mwenyewe yalimshinda.
Anahubiri bwana.... Kuna kongamano moja lilikuwa la wanandoa na kuwakumbusha majukumu yao hasa ya Usafi wa Mwanamke ... hasa ile walokole wanavyojisahau kwenye suala la Usafi na kuwa sopu sopu akidhani kwa kuwa wote ni walokole kwa hiyo kuwa rafu kwao siyo shida as long ameshaolewa na ambalo ni changamoto kwa wanawake wengi tena hasa akishajifungua.... hahahahahah
 
naomba unithibitishie ni mganga yupi wa Kienyeji ambaye amemponya mtu akajitokeza hadharani na kusema ameponywa na mganga Fulani? au unaongelea hawa wanasiasa wanaotoa kafara ya ufumbaji wa macho wapiga kura? au? Kwa kifupi hakuna Mganga wa Kienyeji yeyote ambaye anaweza kuponya Ugonjwa .. Yeye atatibu ila hawezi kumponya.. Mwenye uwezo wa Uponyaji ni Mmoja tu naye niyule aliyempa uhai huyo mganga na huyo Mgonjwa tu ambaye Ni Mungu.
akili unazo lakini hauzitumii
 
Back
Top Bottom