Kwani Nyakato National kuna sehemu gani ya kukaa? labda pale barabarani Star Light hahahahahahahahh au Chanya, Iloganzala kwa mzee Kafiti hahahahahahahahahh au tukae pale Bwalo la Polisi. Ila mie naishi Buswelusiku zote najua we ni mkaka! sasa mbona hukusema siku nyingi ili tuonane mitaa ya National ????
Yote sawa! we nipm ili tujuzane wapi tukae na kupanga yanayotuhusu kama Me na Ke!Kwani Nyakato National kuna sehemu gani ya kukaa? labda pale barabarani Star Light hahahahahahahahh au Chanya, Iloganzala kwa mzee Kafiti hahahahahahahahahh au tukae pale Bwalo la Polisi. Ila mie naishi Buswelu
tehe tehe tehe mbona kama me na ke hahaahhahah, sawa nita ku pmYote sawa! we nipm ili tujuzane wapi tukae na kupanga yanayotuhusu kama Me na Ke!
hapana sijahofu mie ni mwanamke ninayejiamini, tena from KilimanjaroUsihofu, tarajia mema!
Mpare kiumeni na ukeni ( naamanisha baba na mama wote ni wapare)Masai au
Hilo ndo litakalotokea; itabidi tujipange kukabiriana nao..Lakini madhara yatakayotokea kutokana na kuwahamisha hao chinga ni makubwa mno ...hv unadhan wote waliokuwa na biashara ni raia wema?....si ulisikia pale mitaa ya Bigwish kulitokea nini...ikiwa kuna ukali wa maisha na rate ya crime kwenye jamii huongezeka....tuwe macho....
kwa hiyo unamaanisha kuwa ni kweupe kwa sababu HAKUNA HELA au wamekatazwa? naomba kueleweshwa plzAliyekuwa akiwatimua wamachinga kipindi akiwa Meya wa jiji ... kwa sasa ndiye anajifanya kuwatetea wamachinga / wafanyabiashara wadogowadogo ... mbunge huyo ..
Sasa yametimia ya kuisoma namba ... hakuna anayeendelea na biashara ya kutandaza bidhaa barabarani wala vibanda vidogo vidogo hakuna tena mitaani.. hata vile vya magazeti hakuna kabisa.
Namba inasomeka kwa watanzania wote!
teh we Mshana wewe,,,,,,,,,,,,,,,,,nmecheka kwa tumboNdio maana siku hizi hata hamu ya kufanya matusi imepotea