Mwanza Safi, hakuna Machinga yeyote mtaani

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,618
Aliyekuwa akiwatimua wamachinga kipindi akiwa Meya wa jiji ... kwa sasa ndiye anajifanya kuwatetea wamachinga / wafanyabiashara wadogowadogo ... mbunge huyo ..

Sasa yametimia ya kuisoma namba ... hakuna anayeendelea na biashara ya kutandaza bidhaa barabarani wala vibanda vidogo vidogo hakuna tena mitaani.. hata vile vya magazeti hakuna kabisa.

Namba inasomeka kwa watanzania wote!
 
Mkuu hebu fafanua kwa undani. Naimiss sana Mwanza
8ff605a6b89da88e6b25da4b039803b0.jpg
 
Mie mwenyewe leo nimepita Makoroboi nikashangaa kumbe kuna barabara kubwa kabisa ambayo gari inapita bila tatizo lolote, na pale Tanganyika peupeeeee, ukija hapa Nyakato National ile barabara ya kuingia Buswelu kwa mzee Kafiti kumbe na penyewe ni papana tu, wale akina mama wa matunda wametolewa! Buzuruga karibu na Mapokezi baa na kwenyewe peupeee! Ila tujiandae kwa yote maana hao vijana sijajua kama wataendelea na biashara zao huko walipopelekwa au ndio tutakabwa hata saa kumi jioni!
 
Aliyekuwa akiwatimua wamachinga kipindi akiwa Meya wa jiji ... kwa sasa ndiye anajifanya kuwatetea wamachinga / wafanyabiashara wadogowadogo ... mbunge huyo ..

Sasa yametimia ya kuisoma namba ... hakuna anayeendelea na biashara ya kutandaza bidhaa barabarani wala vibanda vidogo vidogo hakuna tena mitaani.. hata vile vya magazeti hakuna kabisa.

Namba inasomeka kwa watanzania wote!
Ndio maana siku hizi hata hamu ya kufanya matusi imepotea
 
Mie mwenyewe leo nimepita Makoroboi nikashangaa kumbe kuna barabara kubwa kabisa ambayo gari inapita bila tatizo lolote, na pale Tanganyika peupeeeee, ukija hapa Nyakato National ile barabara ya kuingia Buswelu kwa mzee Kafiti kumbe na penyewe ni papana tu, wale akina mama wa matunda wametolewa! Buzuruga karibu na Mapokezi baa na kwenyewe peupeee! Ila tujiandae kwa yote maana hao vijana sijajua kama wataendelea na biashara zao huko walipopelekwa au ndio tutakabwa hata saa kumi jioni!
he! wale machinga wa makoroboi wametolewa..?
 
yaaani hakuna mtu! na wale waliokuwa wamevuta vibaraza vimetolewa, yaani nimeshangaa kumbe Makoroboi ni pana! mjini hakuna mtu barabara zote za Makongoro, Kenyatta na Nyerere zote kweupeeee. Hii fatiki imefanyika kwa wilaya zote mbili Ilemela na Nyamagana.
 
Tujipange kupambana na vibaka!
 
Machadema bana! Sasa swala la mipango miji na kusoma namba vina mahusiano gani? Akili zenu kama za ng'ombe tu.
Umekaririshwa vyama! Utakalia kukakariri hadi maji yatakapokufika shingoni. Tumia ufahamu wako sawasawa kujua kinachoongelewa!
 
Tujipange kupambana na vibaka!
Wamevunja hadi Buswelu, asubuhi nilivyopita pale mbogamboga na centre yaani vibanda viko chini! nasikia alivunja saa tisa usiku wa leo! Kuhusu vibaka itakuwa balaa hasa mie mzururaji wa kupata kilaji ni balaa aisee!
 
Kaka ni shida! Igoma naona bado hawajawafikia ila nasikia wanakuja hata huko!
 
Ndio watakuja hadi Igoma, Nyakato National tayari, wanaenda hadi Buhongwa , Airport na huko nadhani watafika Nyamhongolo.
 
Jiandaeni kisaikolojia na nyie kubomolewa usiku wa manane uzuri wao hawatatumia greda ni JIWE FATUMA TU NA KOLEO AU NONDO msichekelee sana [emoji40][emoji125]
 
Safi.Mwanza waisome namba.Na wa Bukoba wakome.Sasa hivi tunagawa piki piki jimbo la Lema.
 
Hapa hakuna siasa wala nini tuishi kwa kufuata sheria zilizowekwa
Yaani sasa hivi kidogo mwanza
Imeonekana siyo kama mwanzoni
Unakutana na foleni kumbe watu
Wamepanga bidhaa barabarani
Yaani kama mnadani shemu zote
Na mnaosema vibaka sisi tunawakaribisha tu
Tukikukamata polisi wanakuja
Kuchukua maiti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom