Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,659
- 28,621
Itabidi ufanye kidijitali, unachukua Rambo unachukua luse 2 unaenda zako home mapemaaaa.Wamevunja hadi Buswelu, asubuhi nilivyopita pale mbogamboga na centre yaani vibanda viko chini! nasikia alivunja saa tisa usiku wa leo! Kuhusu vibaka itakuwa balaa hasa mie mzururaji wa kupata kilaji ni balaa aisee!