silasc
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 3,347
- 1,988
Maeneo waliyopelekwa ni pembeni ya mji. Biashara itakuwa ngumu sana.Mie mwenyewe leo nimepita Makoroboi nikashangaa kumbe kuna barabara kubwa kabisa ambayo gari inapita bila tatizo lolote, na pale Tanganyika peupeeeee, ukija hapa Nyakato National ile barabara ya kuingia Buswelu kwa mzee Kafiti kumbe na penyewe ni papana tu, wale akina mama wa matunda wametolewa! Buzuruga karibu na Mapokezi baa na kwenyewe peupeee! Ila tujiandae kwa yote maana hao vijana sijajua kama wataendelea na biashara zao huko walipopelekwa au ndio tutakabwa hata saa kumi jioni!